JOTO LAZIDI KUPANDA VIWANJA VYA ARAFA SHEIKH RUSAGANYA AELEZA KINACHOENDELEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @mussasalimomuarabo7259
    @mussasalimomuarabo7259 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenye-zi-mungu atujaalie na sisi ambao atujabahatika kufika sehemu usika yakufanha ibada

  • @suleimanmkongwa9950
    @suleimanmkongwa9950 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atujaalie na sisi amabao hujabahatika kufanya ibada hii tukufu asichukue roho zetu ila awe ame tujaalia kutimiaza ibada hii na nguzo muhimu katika maisha yetu...,amyn

  • @RayaRashid-qc8cn
    @RayaRashid-qc8cn 4 หลายเดือนก่อน

    Allah tuzidishie amani ktk nchi ye2🤲

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 4 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdu lillahi mashallah

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallaah alhmdulillah,, 🙏🏽

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 4 หลายเดือนก่อน

    Baraka llah❤

  • @anfaeantumanebacar
    @anfaeantumanebacar 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 4 หลายเดือนก่อน +1

    MASHEKH,MNATUCHANGANYA SISI WACHINA NA NENO LENU LA KUITA MUNGU HATUJUI NINI MAANA YENU,ITENI MAJINA MAZURI YALIYOFUNDISHWA NA MWENYEWE( ALLAH. MKITUAMBIA MUNGU, TUNAJUA ZUMARIDI.BADILIKENI

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawaombea Sana, Panapo Majaaliwa Mrudi Salama InshaAlla.

  • @shuweikhahamad6392
    @shuweikhahamad6392 4 หลายเดือนก่อน

    Alhamdullah

  • @alhajisengasu5956
    @alhajisengasu5956 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alahuma amiini

  • @shabanlue7253
    @shabanlue7253 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 4 หลายเดือนก่อน

    Allahuma Amiina.

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 4 หลายเดือนก่อน

    AMIINA AMIINA 🤲🤲

  • @Zanha582
    @Zanha582 4 หลายเดือนก่อน

    Allahumma Aameeyn

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 4 หลายเดือนก่อน

    Amiin

  • @paschalcosmas6093
    @paschalcosmas6093 4 หลายเดือนก่อน

    Yohana 4:21-23 "Hamtamwabudu Baba katika mlima ule,. Lakini saa inakuja nayo sasa ipo, ambapo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli".

  • @SamirHamisi-yq9ut
    @SamirHamisi-yq9ut 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ww daudi huna akili mbwa ww

  • @hamisimirambo1139
    @hamisimirambo1139 4 หลายเดือนก่อน

    mbona kuna matokeo mabaya lakin ...

  • @MussaMussa-v4x
    @MussaMussa-v4x 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaofunga kesho wambie leo nitarehengp na siku gan

    • @abdalla8193
      @abdalla8193 4 หลายเดือนก่อน

      Na kesho wa sahihi pia

  • @kijikomuhammad2557
    @kijikomuhammad2557 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona wenzako wanafunga kesho?

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 หลายเดือนก่อน

    Zamani walikuwa wanahiji wakiwa uchi wa mnyama, siku hizi nasikia wanavaa mashuka angalau kusitiri mwili ila hakuna nguo za ndani!!? Hivi ni kweli au story tu?

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo stori zako tu.jaribu kusoma tafuta elimu kwanza ndio utajuwa ukweli wote

    • @salassalas-eo6vo
      @salassalas-eo6vo 4 หลายเดือนก่อน

      Ndugu daudi usiseme kitu ambacho hukijui katika dini ambayo sio yako uislamu ni dini ya stara na angalia waislamu wa kweli wanavojistiri tafadhali usiseme kitu ambacho huna elimu nacho please

    • @salassalas-eo6vo
      @salassalas-eo6vo 4 หลายเดือนก่อน

      Hao ulosikia wakifanya hivo kabla mtume wetu hajazaliwa hawakua waislam nataka kukufahamisha ilivokuja dini ya kiislamu ndio ilokataza hayo kwa amri ya Allah mola wa ulimwengu wote

    • @rahmaomary5134
      @rahmaomary5134 4 หลายเดือนก่อน

      huu sasa ndio unadhihirisha UKAFIRI wako