- 172
- 524 905
Dua TV Tanzania (TZ)
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 30 ก.ย. 2022
Karibu - Welcome to Dua TV Tanzania! - Discover carefully selected duas from the Sunnah of the Prophet Muhammad (PBUH) and the Fortress of the Muslims invocation book. Dive into authentic supplications from the Quran and Sunnah, enriching your spiritual journey. Subscribe now for soul-nourishing content.
Our channel is dedicated to providing you with a rich collection of prayers that resonate with the teachings of Islam, aiming to strengthen your connection with the Divine and bring solace to your heart. Whether you seek supplications for protection, guidance, gratitude, or any other aspect of life, our meticulously curated content ensures you find the perfect dua for every occasion. Join us on this journey of spiritual enlightenment and empowerment.
Subscribe to Dua TV TZ today and unlock the profound wisdom of Islamic invocations that nourish the soul and uplift the spirit.
#DuaTVTZ #MaombiYaKiislamu #Sunnah #Quran #MtumeMuhammad #Uislamu
Our channel is dedicated to providing you with a rich collection of prayers that resonate with the teachings of Islam, aiming to strengthen your connection with the Divine and bring solace to your heart. Whether you seek supplications for protection, guidance, gratitude, or any other aspect of life, our meticulously curated content ensures you find the perfect dua for every occasion. Join us on this journey of spiritual enlightenment and empowerment.
Subscribe to Dua TV TZ today and unlock the profound wisdom of Islamic invocations that nourish the soul and uplift the spirit.
#DuaTVTZ #MaombiYaKiislamu #Sunnah #Quran #MtumeMuhammad #Uislamu
UJIO WA DR ZAKIR NAIK TANZANIA - RATIBA YAKE YOTE
AZAM MEDIA LTD PAMOJA NA THE ISLAMIC FOUNDATION … KWA MARA YA KWANZA TANZANIA WANAKULETEA MHADHIRI MASHUHURI WA KIMATAIFA , DKT ZAKIR NAIK AKIAMBATANA NA MWANAE SHEIKH FARIQ NAIK
KATIKA MDAHALO WA MASWALI NA MAJIBU
TAREHE 31/12/2024 MSIKITI ZINJIBAR, UNGUJA ZANZIBAR KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
TAREHE 2/01/2025 DIAMOND JUBILEE DAM KUANZIA SAA 1 USIKU HADI SAA 6 USIKU
TAREHE 5/01/2025 BENJAMIN MKAPA STADIUM UWANJA WA TAIFA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
MATANGAZO HAYA YATAKUJIA MUBASHARA KUPITIA CHANEL YA ZBC2 WEMA UNAOENDELEA PIA TUTAKUWA MUBASHARA KATIKA DUA TV AOMBWAE NI MOLA PEKEE
JESUS AND MUHAMMAD PEACE BE UPON THEM BROTHERS IN FAITH
KATIKA MDAHALO WA MASWALI NA MAJIBU
TAREHE 31/12/2024 MSIKITI ZINJIBAR, UNGUJA ZANZIBAR KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
TAREHE 2/01/2025 DIAMOND JUBILEE DAM KUANZIA SAA 1 USIKU HADI SAA 6 USIKU
TAREHE 5/01/2025 BENJAMIN MKAPA STADIUM UWANJA WA TAIFA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 7 MCHANA
MATANGAZO HAYA YATAKUJIA MUBASHARA KUPITIA CHANEL YA ZBC2 WEMA UNAOENDELEA PIA TUTAKUWA MUBASHARA KATIKA DUA TV AOMBWAE NI MOLA PEKEE
JESUS AND MUHAMMAD PEACE BE UPON THEM BROTHERS IN FAITH
มุมมอง: 468
วีดีโอ
ABUBAKAR BI ZUBEIR ATOA NENO DUA YA MAAFA
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
Muft wa Tanzania Abubakar Bin Zubeir bin Ali atoa neno katika Dua ya kuwaombea Ndungu zetu walio pata maafa katika jengo la ghorofa la Karikoo lililoporomoka hivi karibuni. Dua iliyoombwa katika msikiti wa Mtoro uliopo mtaa wa mahiwa Karikoo Jijini Dar es Salaam. #muftzuberi #duatv #duayamaafa #kariakoo #mtoro #maafa
CHALAMILA ATOA NENO DUA YA MAAFA
มุมมอง 327หลายเดือนก่อน
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, MH. Chalamila akitoa neno wakati wa Dua ya kuwaombea Ndungu zetu walio pata maafa katika jengo la ghorofa la Karikoo lililoporomoka hivi karibuni. Dua iliyoombwa katika msikiti wa Mtoro uliopo mtaa wa mahiwa Karikoo Jijini Dar es Salaam. #chalamila #mkuuwamkoa #duayamaafa #karikoo #mtoro #dua
TENZI YA KOBA KTK DUA YA MAAFA
มุมมอง 121หลายเดือนก่อน
Al alama Sharf Koba katika tenzi za Dua ya kuwaombea Ndungu zetu walio pata maafa katika jengo la ghorofa la Karikoo lililoporomoka hivi karibuni. Dua iliyoombwa katika msikiti wa Mtoro uliopo mtaa wa mahiwa Karikoo Jijini Dar es Salaam. #dua #kariakoo #koba #sharif #maafa
DUA BAADA YA KUJIFUNZA JAMBO
มุมมอง 136หลายเดือนก่อน
Dua ya Kurani, ‘Rabbana amanna bima anzalta’, ni dua ya kutoka moyoni inayotaka kukubaliwa na Mwenyezi Mungu na uthibitisho wa imani. Inapatikana katika Surah Al Imran, aya ya 53, dua hii ni kielelezo kizuri cha unyenyekevu na kujitolea. #duatv #jambo #duas #quranic #KUJIFUNZA
MUFT MENK GALA NIGHT - ABUBAKAR AZIZI MD AZAM MARINE
มุมมอง 2152 หลายเดือนก่อน
Huu ni Usiku wa Inspiration Gala, Ulioandaliwa kwa ajili ya Ujio wa Muft Menk. Pamoja na Kuhuriwa na viongozi mablimbali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar akiwamo makamu wa pili Mh. Alli Makame Khamis. Mahojiano ya Bw. Abubakar Azizi (MD wa Azam Marine) katika Usiku wa Fanaka usiku wa Daa'wa. Watch | Share | Like Follow Us On: INSTAGRAM: / duatvtz TH-cam: / @duatvtz #MuftiMenk #DuaTV
BARUAN MUHUZA - HALAL TOURISM ZNZ
มุมมอง 1282 หลายเดือนก่อน
Huu ni Usiku wa Inspiration Gala, Ulioandaliwa kwa ajili ya Ujio wa Muft Menk. Pamoja na Kuhuriwa na viongozi mablimbali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar akiwamo makamu wa pili Mh. Alli Makame Khamis. Mahojiano ya Bw. Baruan Muhuza katika Usiku wa Fanaka usiku wa Daa'wa. Watch | Share | Like Follow Us On: INSTAGRAM: / duatvtz TH-cam: / @duatvtz #MuftiMenk #duatvtz #Baruan
MUFT MENK GALA - ARIF ABBAS MANJI
มุมมอง 3352 หลายเดือนก่อน
Huu ni Usiku wa Inspiration Gala, Ulioandaliwa kwa ajili ya Ujio wa Muft Menk. Pamoja na Kuhuriwa na viongozi mablimbali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar akiwamo makamu wa pili Mh. Alli Makame Khamis. Mahojiano ya Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Bw, Arif Abbas Manji ameeleza kuwa kuna mpango ambao Kamisheni ya Utalii ameazimia kuleta na kukuza hamasa ya Utalii Zanzibar. Wat...
MUFT MENK DINNER GALA HALAL TOURISM ZNZ
มุมมอง 2092 หลายเดือนก่อน
Huu ni Usiku wa Inspiration Gala, Ulioandaliwa kwa ajili ya Ujio wa Muft Menk. Pamoja na Kuhuriwa na viongozi mablimbali wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar akiwamo makamu wa pili Mh. Alli Makame Khamis. Na ilifunguliwa kwa Quran Tukufu iliyosomwa na MD wa Azam Marine Bw. Abubakar Azizi. Usiku wa Fanaka usiku wa Daa'wa. Watch | Share | Like Follow Us On: INSTAGRAM: / duatvtz TH-cam: / @duatvtz...
QARI MZANZIBARI AISHIE UK
มุมมอง 1132 หลายเดือนก่อน
Katika usiku wa Daw'aa amekuwa ni miongoni mwa wasomaju wazuri walioupamba usiku huo kwa Quran adhim. Usikuwa wa Muft Menk zanzibar akiwa pamoja na wahadhiri wa kimataifa katika maegesho ya meli yaliyoko katika viwanja vya Hotel Verde Zanzibar. Watch | Share | Like Follow Us On: INSTAGRAM: / duatvtz TH-cam: / @duatvtz #MuftiMenk #DuaTV
HALAL TOURISM IN ZANZIBAR
มุมมอง 1052 หลายเดือนก่อน
Hii ni Awamu ya pili kongamano katika Utekelezaji wa Dhana ya Utalii wa Halal, Yaani Utalii wenye kuzingatia mila na Desturi za Mzanzibari. Ulifanyika katika kumbi za mikutano za verde Zanzibar katika kuangazia masuala mbalimbali ya Halal Tourism. Watch | Share | Like Follow Us On: INSTAGRAM: / duatvtz TH-cam: / @duatvtz #MuftiMenk #DuaTV
#MAMBO 5 YA SWALA - Sheikh Othman Khamis
มุมมอง 4363 หลายเดือนก่อน
#MAMBO 5 YA SWALA - Sheikh Othman Khamis
Ujio wa Sheikh Wasim Kempson Tanzania 2024
มุมมอง 724 หลายเดือนก่อน
Ujio wa Sheikh Wasim Kempson Tanzania 2024
Ujio wa Sheikh Assim Al Hakeem Tanzania - 2024
มุมมอง 4994 หลายเดือนก่อน
Ujio wa Sheikh Assim Al Hakeem Tanzania - 2024
MAKALA YA JINSI YA KUFANYA HIJJA - Na Sheikh Nurdin Kishk , 2024
มุมมอง 27K6 หลายเดือนก่อน
MAKALA YA JINSI YA KUFANYA HIJJA - Na Sheikh Nurdin Kishk , 2024
#LIVE SWALA YA IJUMAA - FRIDAY PRAYER RAMADHAN 2024 (25)
มุมมอง 516 หลายเดือนก่อน
#LIVE SWALA YA IJUMAA - FRIDAY PRAYER RAMADHAN 2024 (25)
MSHIRIKI 3 KWA MKAPA ABDERRAHMENE MORSLI FROM ALGERIA
มุมมอง 1027 หลายเดือนก่อน
MSHIRIKI 3 KWA MKAPA ABDERRAHMENE MORSLI FROM ALGERIA
QIRAAT HAFS 01 KWA MKAPA AHMED ZAKHY MISRI
มุมมอง 507 หลายเดือนก่อน
QIRAAT HAFS 01 KWA MKAPA AHMED ZAKHY MISRI
QIRAAT HAFS KWA MKAPA 2024 AHMED ZAKHY KUTOKA MISRI 🇪🇬
มุมมอง 2767 หลายเดือนก่อน
QIRAAT HAFS KWA MKAPA 2024 AHMED ZAKHY KUTOKA MISRI 🇪🇬
MNATULETEA UYO MZEE MPUUZI AMBAE UKIMUULIZA SWALI GUMU ASILOWEZA KUJIBU ANAKUZIMIA MIC, UKIONGEA UKWELI ANAKASIRIKA. ATAKI WATU WAJUE KWAMBA MTUME NI NABII FEKI, MZINZI NA MUONGO WA KIMATAIFA. HANA JIPYA UYO MZEE, NSHAANGALIA VIDEO ZAKE NYINGI TU MTANDAONI.
Hakuna anaejali unachoongea kwani hata yesu kristo alipokuja wayahudi walikataa na kumtukana na muhammad makuraish walimpinga hivyo hata ukimtukana zakir ni kawaida ya watu wema hawakosi maadui
@Arkhamz_95 kaa ivyo ivyo.
Nenda kaulize swali,acha makasiriko
Tanzania lazima achemke huku sio Kwa kuja kichwa kichwa. Yesu Kristo Tanzania ndio nyumbani kwake haswa
Na ukitaka uyo mzee umtoe jasho, ichambue mikanganyiko ya kwenye Quran ambayo wanasema imekamilika. Ili hali aya kibao zinapishana.
Hhhhhhhhhh et maswal magumu kuna maswal magumu juuu ya uislam njoo kwanza tuongee namm nikpe majb yote usiende kwa huyo mwamba utaaibika ww kama unatafta jamaa atakuelemisha vzr lkn kama unatafta ushindan jamaaa s mshindan
@mrishohamisi4726 m'search TH-cam huone anavyowazimia watu mic na huo uislam wake mfukoni. Apo ndo utajua uislam si chochote, zaidi ya uongo uliogeuzwa kuwa ukweli.
Nenda kaulize swali mkuu
Yesu kristo alitumwa kwa waisrael we mtanzania hakutambui
Baaaas
tunaomb namb za mwalm
Maa shaa Allah,kutoka Kikole Kilwa
Sheikh Said Ma Shaa Allah umetufurahisha sana nyumbani
Mashallah❤❤
MAASHAA ALLAH
Hijaz 💥💥
Hijaz
Mashallah
❤❤❤❤❤❤
Mashaallah
Mashallha
Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman 🤲❤
Masha Allah
shee napend ufike huk kwetu go au gallapo
Mashallah ❤
Mashallah ❤❤❤❤
Mashalah
Shukran sana Sheikh Wetu ALLAH Akupe Umri Mrefu Na Maisha Mazuri hapa Duniani Na Kesho Akhera
Barakallah
Shehe Allah akubariki,amin
❤❤❤❤❤❤❤❤
Sheikh mashallah Lakini Kwa kweli waislamu tunatia huruma Yan darsa imeingizwa ndan ya mwezi mmoja bas ata comment mtu 1 na nina Imani wengi wetu wallah hatujui kuswal lkn Dunia tumeipa kipaombele tubadliken jamn hii elimu inatolewa Bure utakuja kutafta hta kama ni Kwa gharama subir mauti ya kukute than uambiwe ww swala zako zote batili isipokuwa swala 1
❤❤❤❤❤
Mashallah ❤❤
❤❤❤❤❤
Mashallah ❤❤❤❤❤
Mashallah
Maasha Allah in sha Allah Allah amjaalie iwe elimu manufaa fiy duniya wal akhera amiin
Masha Allah
Mashaallah
When the Country or the Government start Introducing or zimolementing Religious Stuff in the Tourism industry as a Mandatory it will Kill Tourism in the Country because most Visitors and Tourists are Nit Muslims or are not from Middle East but Europe. Tanzania as a Country has no Religion and fir that Reason, it should not engage in a Religion Stuff or leaning on ine side of Religion and ignoring other Religions. Tanzania as a Country should Stay away from engaging Religions in Tourism business in order to save the Industry.
Brother, Let me take you through:- 1st: What is the meaning of halal tourism? Halal tourism is a subcategory of tourism geared toward Muslim families who abide by Islam's rules. In that case, Halal tourism is a specialized segment of tourism aimed at Muslim travelers who seek vacation experiences that align with their Islamic values and practices. This includes accommodations, food, and activities that comply with halal standards, such as hotels that do not serve alcohol and provide prayer facilities. The concept is growing in popularity and offers Muslim-friendly travel options worldwide, including destinations like Tanzania. Also, the main features of halal tourism include: Halal Food: Availability of food and beverages that are compliant with Islamic dietary laws, meaning no pork or alcohol is served, and meat must be halal-certified. Prayer Facilities: Access to prayer rooms in hotels and at tourist attractions, along with information on prayer times. Gender Segregation: Accommodations and activities that respect Islamic customs regarding gender interactions, such as separate swimming areas or women-only facilities. Cultural Sensitivity: Options for activities and attractions that align with Islamic values, ensuring respectful and modest environments. Family-Friendly: Activities and amenities that cater to families and provide a safe and comfortable environment for all ages. Islamic Heritage Tours: Opportunities to explore sites of cultural and historical significance to Muslims, such as mosques, historical landmarks, and Islamic art. Customer Support: Tour operators and hotels that are knowledgeable about halal requirements and can offer assistance tailored to Muslim travelers. Local Community Engagement: Encouraging tourists to engage with local Muslim communities and experience local culture while being respectful of Islamic practices. Overall, halal tourism aims to provide Muslim travelers with comfortable and fulfilling experiences that respect their religious beliefs and lifestyle choices. For more clarifications please don't hesitate to subscribe to Duatv Tanzania.
"Did you know that halal tourism has an estimated global worth of $ 230 billion according to many reliable international sources"
Maskin hizbi kaja kuwapotosha walolala
CX
wao
🎉. ❤
yap!
MASHALLAH MASHALLAH ❤️ ❤️ ❤️ ❤️
Tabaraka Allah
Mashaallah uwongoz wako uwe wenye Haki Kwa ALLah ❤❤❤
Amen
Masha allah❤
Tabaraka Allah
Habbibb Mohammed
Tabaraka Allah
Nime muona mama ake kanumba wa jeniffer
MashAllah ❤
Tabaraka Allah
Mashaallah
Tabaraka Allah
Can you please define halal tourism, as it is seen by the govt of Zanzibar? Thank you.
Yes, I will. 1st: (What is the meaning of halal tourism?) Halal tourism is a subcategory of tourism geared towards Muslim families who abide by Islam's rules. 2nd: (as it is seen by the govt of Zanzibar?) The main features of halal tourism include: 1. To give opportunities to those who align with Islamic values, ensuring respectful and modest environments. 2. To use such Halal opportunities to explore sites of cultural and historical significance to Muslims, such as mosques, historical landmarks, and Islamic art. 3. To support Investors Who Invest to operate the hotels that are knowledgeable about halal requirements and offer assistance tailored to Muslim travelers. Eg: Hotels like Tembo and Verde are huge investments. And if it’s not a serious Government it wouldn’t thought of such an idea to support investors. Thanks.
"Did you know that halal tourism has an estimated global worth of $ 230 billion according to many reliable international sources"
@duatvtz As halal tourism will ensure community involvement and social inclusivity to the main driver of the economy which is tourism
@@duatvtz Thanks for your explanation. The opposite of halal tourism is haram tourism, right? How does the govt of ZNZ intend to combine the 2? In the long term, is ZNZ going to be halal tourism only destination?
Maashaallah Allah Akbar umeisoma vizuri Sana kur Ani ninatamani niwepo hapo Verde nikutunze .lakini kwa uwezo was Allah iko siku nitafika inshallah.Aamiin.
MashaAllah
Tabarka Allah
Mashaallah
Tabaraka Allah
Mashaalla❤❤
Tabaraka Allah
MashaAllah
Tabaraka Allah