Kama hujui kitu nyamaza kimya Mambo ya kubumba bumba hatutaki, si kila kitu ukisikiacho mtandaoni no kweli hakuna ushahidi wa hili huyo NI msomaji wa tandale Kama wasomaji wa kibidaa wengine
Masha allah ndi kusikika saut mwanzo wa sura wakat wa sala kaka mtume hajawai sikika saut yake sasa wakisema kosa au wewe unamfata nani mtume au watu tunasema ktk sala sio nje ya sala elewa
Kwani hapa baya lipi mpaka mkaihusishaa bida'a? Yeye kafanya utafiti wake aka gundua hilo alilotuletea hapo. Sasa wewe iwapo utafiti huu ni dhaifu lete wakwako ambao ni bora na ulio tofauti na huu.
Assalaamu alaykum, mm shaka yangu hapo Dr. Cristian aliingiaje hapo ktk mji wa Makka? Hali ya kuwa kuna ahadi tukufu kuwa hautokanyagwa na kafiri mji huo wa Makka na Madina?
Enzi hizo usomaji haukus wa Saudia ulikua wa Hijjaz. Kabla ya kukamatwa na Wahabia. Kwanza jina Saudiarabia linatambuliwa wapi katika Uislamu, tupeni japo aya, hadithi athari za Maswahaba au dalili za wanachuoni kua Hijjaz itabadishwa iwe Saudiarabia.
Huyu ni Mmisri, siyo mtu wa Makkah!!! Nashauri, fanya tafiti kupitia Watanzania au Wazanzibari waliopo chuo cha AL AZHAR, utamjua mpaka jina la huyo msomaji!!!! Ni Misri hiyo, miaka ya 1920's huko!
Huyu muongo suudia wakati huo ilikuwa ninchi ya tauhiidi sasa mambo ya swakallaahu-laadhwiimu, na mambo ya alfaatiha,yametoka wapi??, huyu kajirekidi alafu akaunganisha na ile historia
Ndo waislam wa Leo hao hasira jazba ubishi kila wakati ndo maana Leo palestina ni sunni wanauliwa hakuna sunni yeyote anaowatetea kuwasaidia mpaka mashia ndo wanasaidia sunni , sunni wamekaa kubishana tu nakutukanana
YANI WAISLAMU MNAKWNDA WPI MTU MUONGO ANAANGALIA MITANDAO ANADANGANYA WATU NANYINYI MNAKUBALI HII NI MTU KWENYE CHANALIYAKE KAWEKA NAYEYE HUYU UPEPO KAICHUKUA ANAKUJA KUWAPELEKA KAMA UPEPO hii hapa ipo mtandaoni nimtu kaweka nayeye anakuja kuwadanganya mnaingia tele أقدم تلاوة مسجلة للقران في مكة قبل ١٣٠ سنه مع فيلم فيديو لمكة نادر جدا. المقطع لسورة الضحى تم تسجيله في اثناء حكم العثمانيين عام ١٨٨٥ م أي قبل ١٣٠ عام في مكة المكرمة لأحد المشايخ سجل بواسطة أسطوانات الشمع وهي من أوائل إختراعات تسجيل الصوت للعالم توماس أديسون.
Wao wakisasa ndio bidaa wameyakuta mambo hawayaelewi, kila kitu kwao bidaa tu. Na asiekubaliana na msimamo wao wanamkufurisha au wanamuisabu kua ni katika makundi ya motoni.
Mashaa Allahu alhamdu lilahi sheikh Haji upepo nakuskiliza kutoka mocambique hata Kama kiswahili sijui vizur, naongea português francês espanhol.
Ulongo wepo mmakonde😂😂😂
@@fadhilimpini who are you, my brother, I don't understand what you wrote, write, andika suaili au english au espanhol na português
Maashallah brother
Maashallah guran haibadiliki toka m/mungu ailete duniani.ingekuwa wenzetu ingekuwa kituko
MASHA ALLAH 💚 kumbu kumbu niza umuhimu sana kwetu waislamu
Mawahabi wamezivunja history zote na hawajachoka wanataka kuvunja jabal hiraa na hawapendi kuisikia history ya kuzaliwa Mtume saw
Kama hujui kitu nyamaza kimya Mambo ya kubumba bumba hatutaki, si kila kitu ukisikiacho mtandaoni no kweli hakuna ushahidi wa hili huyo NI msomaji wa tandale Kama wasomaji wa kibidaa wengine
@@mohamedigesaga143 wewe ulipo ni BIDAA
@@mohamedigesaga143 wewe unao ushahidi gani kuwa sio mtoto wa KHARAMU? Lete DAILILI katika Quran na Sunna kama wewe sio mtoto wa KHARAMU?
Sheikh alie nifundisha madrasatul anasauti mashallah alikua akiswalisha mpaka machoz yana kutoka ni kijinini sio mtu maarufu 🙏🙏🙏
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema
Alha amuhifadhi huyo shekhe naampe nuru ya kaburi inshaalha
❤kumbu kumbu isiyosahaulika maa sha allah
Mashallah kweli Quran kitabu kitakatifu yaani usomaji wake ni toka zama na zama bado ni vile vile Allah Akbar
Mashaallah. What a wonderful voice.
Mashallah Shekh haji upepo tupo pamoja
إن الله وملائكته يصلون على النبي.. يا إيه الذين آمنوا صلوا عليه وسلموا تسليما 🎉
Maqaam Hijaaz katika asili yake. Shukran sheikh Haji kwa kumbukumbu tukufu
Mashallah, Allah tunakuomba mwisho mwema😢
Maishallah Shukrani Shukrani ❤
Mashallah sheikh swaluu alaa nnabiy waislamu
Kumbukumbu ni muhimu sana ndo zinazotukumbusha matukio muhimu ya DINI yetu, maa shaa Allwah walhamdulillaah walaa ilaa hailla llwaahu Allwahu akbar.
Mawahabi wanapamnana kuvunja history ZA WAISLAMU na josefu katusaidia😂. Afadhali ya josefu kuliko mawahabi
Hapana bora mawahabi kuliko Joseph muislam ndugu yake ni muislam
@@OmarSalum-y9c josefu hakuchukia waislamu. Mawahabi wanawachukia waislamu.
Allah Akbar ! Shukran sheikh
Jazakallah khaira
Hijaaaz jina la sauti maaashaalahu❤
❤❤ Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah 🤲
Mashaallah allahunarham bilqur,an karim
Alikua na sauti nzuri mashallah
ALLAH AQBARR
Maashallah Sauti original
Jazaka llahu khaira
ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR.... SUBAHANA ALLAH
Mashaallah Allahu akbar
Mashallah
Jazakallahi Khair
Enzi zilipokuwa uwislam haujavurugwa na wasakatonge mawahabi c mnaskia apo alfaatiha kubwa tu mashallah
Unajidanganya
Mi mwenyewe nimectuka yaan mwanzo kabisa alfaatiha inackika lkn walipo kuja walio zailiwa jiran na mtume wanakwambia ni uzush dah Allah tunusuru
Tatizo lako ww sufulia elimu yako ndogo
@@mussahally9163 INSHA ALLAH SHUKRAN SANA
Sema tu unachuki nao mawahabi
Ma Shaa Allah
Masha Allah tabarak Allah
Maashalaah
Masha allah ndi kusikika saut mwanzo wa sura wakat wa sala kaka mtume hajawai sikika saut yake sasa wakisema kosa au wewe unamfata nani mtume au watu tunasema ktk sala sio nje ya sala elewa
Mashaallah Allah amuhifadhi
Mashallah Allah tujalie na mwisho mwema
Masha Allah
MAA SHAA ALLAH
Mashallah ❤
MashaAllah ❤❤❤
Ma aha Allah
Mashaallah
Nmeisikia Bismillahi Live hakupunguza sauti wala kusoma kwa moyo
Very interesting MaashaAllah😢
Macha alhah
Insha allahu
MMZEEE WA KUTUKANA MAULAMAAA
😢😢 saut adhwimu ipo hadi leo
Manshalaah
Mashallah
Subuanallah al azizi
masha Allan
Sheikh haji mche Mola wako makka haijawahi kudhihiri bidaa hapo bidaa ya dhahiri baada kumaliza halafu hicho sio qiraa cha suudia
Maa shaa Allwah,
Hii umeitoa wapi
mashaallah
Takbir
Al quran karim
Kwani hapa baya lipi mpaka mkaihusishaa bida'a? Yeye kafanya utafiti wake aka gundua hilo alilotuletea hapo.
Sasa wewe iwapo utafiti huu ni dhaifu lete wakwako ambao ni bora na ulio tofauti na huu.
Uongo mtupu danganya waislamu wenzako
😮mimi nakufata kutoka kongo
Mrongo kabisa wadanganye watu Allah subhanaallah wataala.anakuona 2
Uongo wake ni upi?
WEE MWEHU NINI!!
HIVI NI KWA NINI KILA KITU AMBACHO HAMKUFANYA NYINYI NI LAZIMA MKIPINGE NGURUWE NYINYI!!
Watu wa p dd ndiyo walivyo
Hapo umeshasikia Bismillah roho limekuuma
Assalaamu alaykum, mm shaka yangu hapo Dr. Cristian aliingiaje hapo ktk mji wa Makka? Hali ya kuwa kuna ahadi tukufu kuwa hautokanyagwa na kafiri mji huo wa Makka na Madina?
😆 unaishi dunia gani wewe
Mbona saivi kuna makafiri tele Makka na wanafanya vituko kuliko vya Mafirauni.
Kuna watu wakisikia Bismillah mwanzo wa sura hapo lazma waje juu
Uongoooooooooo huo usomaji sio wa Saudi Arabia umekaa kizushi mwanzo Hadi mwisho.
Ok wewe tuambie ni ya wapi
Kabisaaaa
Kwahiyo huyo aliesoma kasoma aya nyingne saudia wanasoma kivyao?
Enzi hizo usomaji haukus wa Saudia ulikua wa Hijjaz. Kabla ya kukamatwa na Wahabia. Kwanza jina Saudiarabia linatambuliwa wapi katika Uislamu, tupeni japo aya, hadithi athari za Maswahaba au dalili za wanachuoni kua Hijjaz itabadishwa iwe Saudiarabia.
Huyu ni Mmisri, siyo mtu wa Makkah!!!
Nashauri, fanya tafiti kupitia Watanzania au Wazanzibari waliopo chuo cha AL AZHAR, utamjua mpaka jina la huyo msomaji!!!! Ni Misri hiyo, miaka ya 1920's huko!
Kwani wapi ulipoambiwa ni Sheikh wa Makka kutaka kujifanya mjuaji na mkosoaji tu
Au kinachogomba ni Bismillahi na Alfaatihat?
Haji upepo acha uwongo usidanganye watuu muongo mkubwa wee
hizi ndio style zenu ktk kuwalaza Watu wasiofaham maarifa Ya Dini.
ACHA BANGE HAPO UNACHOKOSOA NI NINI?!
Kasikia Bismillah kashaumia @@rayisadesigns2646
@@rayisadesigns2646 kama _i msomi huwez kuelewa mbinu za Watu waovu kama Haji Upepo
@@rayisadesigns2646 nawe acha pombe
Kweli wewe mpungufu was akili jitathmin
Huyu muongo suudia wakati huo ilikuwa ninchi ya tauhiidi sasa mambo ya swakallaahu-laadhwiimu, na mambo ya alfaatiha,yametoka wapi??, huyu kajirekidi alafu akaunganisha na ile historia
Jamaa ongo sana
Mwaka 1885 hijaz ilkuwa chini ya dola ya uthmaniya (waturuki), hijaz imeanguka mikononi mwa familia ya Saudi miaka ya 1920+
Hakuna unachojua kuhusu Hijaz
@@ramadhanngwilili6261Allah ailinde hijaz dhidi ya fitna za mahizbi
Haha upepo hii ni kwetu tz kabisa
Hivi ukweli ni upi? Kila kitu hua kunatokea matusi tu. Ni bora mukishakumrudi mtu mukatoa ufafanuzi wa ukweli.
Ndo waislam wa Leo hao hasira jazba ubishi kila wakati ndo maana Leo palestina ni sunni wanauliwa hakuna sunni yeyote anaowatetea kuwasaidia mpaka mashia ndo wanasaidia sunni , sunni wamekaa kubishana tu nakutukanana
Sasa hapo tumepata faida gani??
Hii ndio Quran nayoijua
Mashallah👏🥲❤❤❤🎉🎉🎉
Kama mahadhi ya abdul basit
YANI WAISLAMU MNAKWNDA WPI MTU MUONGO ANAANGALIA MITANDAO ANADANGANYA WATU NANYINYI MNAKUBALI HII NI MTU KWENYE CHANALIYAKE KAWEKA NAYEYE HUYU UPEPO KAICHUKUA ANAKUJA KUWAPELEKA KAMA UPEPO hii hapa ipo mtandaoni nimtu kaweka nayeye anakuja kuwadanganya mnaingia tele
أقدم تلاوة مسجلة للقران في مكة قبل ١٣٠ سنه مع فيلم فيديو لمكة نادر جدا. المقطع لسورة الضحى تم تسجيله في اثناء حكم العثمانيين عام ١٨٨٥ م أي قبل ١٣٠ عام في مكة المكرمة لأحد المشايخ سجل بواسطة أسطوانات الشمع وهي من أوائل إختراعات تسجيل الصوت للعالم توماس أديسون.
Sas leng lako shekh ni lip?
😂😂😂😂
Nimeskia mwishoniapo ametia alfatihaaa sasa nyie vipi wakisasa mnasema bidaa
Wao wakisasa ndio bidaa wameyakuta mambo hawayaelewi, kila kitu kwao bidaa tu.
Na asiekubaliana na msimamo wao wanamkufurisha au wanamuisabu kua ni katika makundi ya motoni.
Ww upepo ni jirongo ushahidi wa hayo usemayo ni nini??
Mawahabi hawana alfatiha wala bida'aa...ww wataka views wengi na subscribers basi ...kadhaab
Mashallah ❤❤❤
Ma Shaa ALLAH
Mashaallah
Mashallah
Masha allah
Mashallah ❤❤
MAASHA ALLAH
Mashaallah
Maashallah
Mashaa allah
Maa shaa Allah
Masha Allah
Mashalaah
ManshaAllah
MAASHA ALLAH
Maasha Allah
Maashaallah