Huyo ashtakiwe ili aache mazoea ya uongo kama amehama awaeleze Wana ccm ni nn anaenda kuwafanyia sio kuzungumzia Tena mbowe maana mbowe kwa Sasa sio kiongoz wa chama chake! Ni unafki huo!
Temana nae! Msigwa anatafuta kik kupitia Ww Mheshimiwa Mbowe. Anaona hatasikika bila kukuchokonoa wewe. Wewe Mbowe watanzania wawe CCM AU CHAMA CHOCHOTE tunakukubali. Unaikosoa Serekali na kupambana na uhalifu mwingi nchini. Sasa hayo mengine achana nae.
Huyu msigwa ana kififi na mbowe atakoma sasa
Msigwa amechanganyikiwa
Mahakama itaamua
Huyo ashtakiwe ili aache mazoea ya uongo kama amehama awaeleze Wana ccm ni nn anaenda kuwafanyia sio kuzungumzia Tena mbowe maana mbowe kwa Sasa sio kiongoz wa chama chake! Ni unafki huo!
Hiyo ni kweli.
Temana nae! Msigwa anatafuta kik kupitia Ww Mheshimiwa Mbowe. Anaona hatasikika bila kukuchokonoa wewe. Wewe Mbowe watanzania wawe CCM AU CHAMA CHOCHOTE tunakukubali.
Unaikosoa Serekali na kupambana na uhalifu mwingi nchini. Sasa hayo mengine achana nae.