CHANZO CHA MIGOGORO KWENYE FAMILIA - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 22

  • @bonge1865
    @bonge1865 ปีที่แล้ว +1

    Broo Joel ww mkali sana hayo yote unayoyasema tunayaona kwenye famili zetu Big up sana Broo.

  • @sikituukololo1161
    @sikituukololo1161 ปีที่แล้ว +2

    uliyoyasema ni kweli tupu Joel, Kuna wanafamilia hawana jema kabisa na ukisema nimekwama kukutimizia ni vita.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 ปีที่แล้ว +1

    Maendeleo yanakuja kwa
    Migogoro
    Ahsante

  • @tukaesanatu2754
    @tukaesanatu2754 ปีที่แล้ว

    Ni kweli unachoongea ,,,mambo hayo yapo sana...
    Asante baba kwa ushauri mzuri.❤

  • @simonmkumbo9762
    @simonmkumbo9762 ปีที่แล้ว

    Yani mwalimu umeongea ualisia kabsa ubarikiwesana mungu akuinue zaidi nazaidi

  • @leonardmagaba2711
    @leonardmagaba2711 4 หลายเดือนก่อน

    Kabisa mtumishi, familia nyingi zimesambaratika, Asante kwa ushauri wako

  • @hadasuleimanhaji7823
    @hadasuleimanhaji7823 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa, ningeomba unijuze na suluhisho katika familia

  • @rubenmangoli5035
    @rubenmangoli5035 ปีที่แล้ว

    Tisha tichaa

  • @AsteriaNdakidemi-w7h
    @AsteriaNdakidemi-w7h หลายเดือนก่อน

    Acha amegusa watu sana

  • @leebalama2152
    @leebalama2152 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mwalimu🙏🏼

  • @mwanjumasilima57
    @mwanjumasilima57 ปีที่แล้ว

    Kaka joel yani duh

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว

    Amina

  • @adamzullu8970
    @adamzullu8970 ปีที่แล้ว

    Dah very true bro kugombania sauti au mamlaka

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 ปีที่แล้ว

    Nakuja kuchukua kitabu

  • @mussarobert4506
    @mussarobert4506 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo zuri brother Joel

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 ปีที่แล้ว

    Nikweli yapomambo kamahaya katika familia lakini kwanghumimi chamsighi huwanaonagha nikunyamaza amakujitengha liisilete maneno meghi kuanzakukosana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    💕✌️

  • @king-gtv2010
    @king-gtv2010 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kaka

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante sana

    • @hamisinyanda488
      @hamisinyanda488 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli kaka pia kweny maisha Kama walikuwa wanakuzidi ukiaza kutfta Tena wanakuchukia cjui wanatak tukae bila hela