HARUSI JAMBO LA KHERI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2011
  • เพลง

ความคิดเห็น • 35

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 ปีที่แล้ว +2

    Hekma na adabu zilzomo kwenye nyimbo za ustadh Abbass wallah ni za juu znashinda hizo zinazoitwa qaswida za maukht na ma akhy wa sasa.... yaan ile fitina mbaya, yatima na hii pia ni vtu adhim ujumbe murua. Allah amswameh makosa yke pamoja na mait wetu wa kiislaaam... اللهم آمين

  • @jumaali1390
    @jumaali1390 ปีที่แล้ว +2

    Tunatoka mbali sanaaaa... Vya kale ni dhahabu...

  • @rashidamashaallahnyimbohio1664
    @rashidamashaallahnyimbohio1664 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah nyimbo inamafunzo na kupata mjukuu raha sana

  • @abdulazizqasim7815
    @abdulazizqasim7815 10 ปีที่แล้ว +4

    Hekma nyingi na Busara za kiwango cha juu zimetumika humu Masha Allah.

  • @iddyfadhily6763
    @iddyfadhily6763 10 ปีที่แล้ว +3

    Kwa kweli wimbo ni mzuri sana.

  • @mwajuma1734
    @mwajuma1734 7 ปีที่แล้ว +3

    abass mzee kaimba maneno kuntuuuuu

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 ปีที่แล้ว +3

    beautiful island Zanzibar

  • @zeinabbreik3585
    @zeinabbreik3585 2 ปีที่แล้ว

    Old is gold nice song

  • @shabanmbajo3938
    @shabanmbajo3938 6 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah.

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 หลายเดือนก่อน

    Majirani wote pia ni Wazazi.... si Leo😢

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว +2

    Ukaingie peponi Abass" Maneno yako ya maana sana..

  • @ChamaKchama
    @ChamaKchama 11 ปีที่แล้ว +2

    Wallah nasikia raha sana

  • @aliboa4220
    @aliboa4220 3 ปีที่แล้ว +2

    Sio nyimbo za siku hizi hazina maadili

  • @saidalshidhani2668
    @saidalshidhani2668 7 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo nzur sn nawakumbuka wazazi wangu waliotangulia mbele ya haki.

    • @ameirameir4930
      @ameirameir4930 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awarehem awalaze pema peponi aamina

  • @abdulazizqasim7815
    @abdulazizqasim7815 10 ปีที่แล้ว +1

    Harusi jambo la kheeeeeeir yassalam

    • @saleemalshuk8147
      @saleemalshuk8147 5 ปีที่แล้ว

      Nakubuka harusi yangu kutoka lek tanganyika kirando

  • @nillantibu4300
    @nillantibu4300 4 ปีที่แล้ว +1

    Majirani wote pia ni wazazi !

  • @saidalshidhani2668
    @saidalshidhani2668 6 ปีที่แล้ว +1

    😥nawakumbuka wazazi wangu waliotangulia mbele ya haki. Inna Lillahi Wa Inna Ilahi Rajiun.

    • @ameirameir4930
      @ameirameir4930 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awalaze pema peponi aamina

  • @UmzuwenaSam
    @UmzuwenaSam 6 ปีที่แล้ว +1

    👌

  • @makamevuai6132
    @makamevuai6132 5 ปีที่แล้ว +2

    HUU WIMBO NI MZURI SANA NA UNANIKUMBUSHA SIKU NILIYOFUNGA NDOA.

  • @aliboa4220
    @aliboa4220 3 ปีที่แล้ว

    Akhree Zaman,Tilkal Ayaam

  • @saidimussa701
    @saidimussa701 4 ปีที่แล้ว

    Muimbaji Abas Mzee

  • @zaryasabrinyimboumeitowakw7676
    @zaryasabrinyimboumeitowakw7676 7 ปีที่แล้ว +1

    hii nyimbo nzuri sana harusi jambo la kheiry lakini sijamjuwa muimbaji nani aloimba wimbo huu

    • @momomella9845
      @momomella9845 5 ปีที่แล้ว

      Abass mzee

    • @dadamaisha4470
      @dadamaisha4470 4 ปีที่แล้ว

      Marehemu Abbas Mzee Mungu amrehemu. Na hii ilikuwa Egyptian Musical Club Dar ya enzi hizo... tulikuwa watoto wadogo zikiimbwa hizi nyimbo- ujumbe maridhawa sana Ma sha Allah

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 ปีที่แล้ว

    ❤🔥❤🔥❤🔥😍

  • @aliboa4220
    @aliboa4220 3 ปีที่แล้ว

    Haya ni maneno ya Quran na mafunzo ya dini

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 5 ปีที่แล้ว +4

    Kila nafsi itaonja umauti,ewe mola waweke pema peponi watunzi wa nyimbo,na marehem wote walio mbele ya haki" Hamisi Dale Boston USA

  • @mohdmassoud7500
    @mohdmassoud7500 5 ปีที่แล้ว

    .

  • @mohdmassoud7500
    @mohdmassoud7500 5 ปีที่แล้ว

    msondo ngoma izakaza moyo

    • @iddiiddi5585
      @iddiiddi5585 5 ปีที่แล้ว

      VIPI SHEIKH, MBONA MAUDHUI TAFAUTI !!!!!!!!!!!!!!!!!

    • @ummmohammed593
      @ummmohammed593 4 ปีที่แล้ว

      Mbingu zotè huwa wazi harusi jambo la kherii. Yasalaam bwanaharusi na bibiharusii waishi vizurii