Pambee sana zinanikumbusha mbali sana jmn .muda wadrasa saanane mchana kudadek kumbe wakikua wanaosikiliza nakujua maanayake walikua wanafaid hivi sio sie makelele tuuh namatus mingi asaiv ziro awanawalijualo labda matus wakisema wenyewe ndio wanaimba hivo .pambee zaman mpo juuuh kabisaah
Yaani hizi ndo nyimbo zenye heshima. Unasikiliza popote wakati wowote pawepo yeyote bila kuona aibu lakini hizi rusha roho na fleva matusi waziwazi. Watoto wetu wanafunzwa namna ya kufanya mapenzi katika nyimbo. Jamaniiiiiii.
Saiv nishakiw mkubwa nipo Us nikinaliz kula lazima niskiz taarab za zaman kama mama aangu anapenda sna akishashiba mchana mwenyew anajiburudihsa na taarab 🥰🤗 sie anatuhimiza mda wa chuoni🤗🤗🤗miss home znz🥰😭
2018 tupo wangapi tunaotizama old is gold
Nyimbo nzur Sana maneno mazur
mashaallah hizi ndio taarabu sio hawawahuni waliopo ss wanaharibu madhehebu na utamaduni wa kizanzibar
taharab za zamani ninzuri kuliko za sasa ni kelele tupu
Raha sana vitu hivi nakumbuka mda wa chuo
Zanzibar kuna raha yake kweli
taarab ya zamani iko juuuuu
"nimempata wa maana sasa ninaishi nae wala matatizo hana ni fahari yangu mie" hahah lol stress out
taraabu asilia kweli ndio taarabu hawa wahuni wanaharibu màdhehebu ya watu na utamaduni Wa mzanzibari
Pambee sana zinanikumbusha mbali sana jmn .muda wadrasa saanane mchana kudadek kumbe wakikua wanaosikiliza nakujua maanayake walikua wanafaid hivi sio sie makelele tuuh namatus mingi asaiv ziro awanawalijualo labda matus wakisema wenyewe ndio wanaimba hivo .pambee zaman mpo juuuh kabisaah
Ilove you binsef kuna ule wimbo sishiki yawalimwengu kwajambo lakusikia tuletee plz sijui unaitwaje ila hayo nimaishair machache tu yawimbo huo
Ha ha ha ndo bas tenaaaaaa teeeenaaaaa nimempata wa maana sasa nnaish nae wala matatizo hana ni fakhar yangu....
Imenigusa sana sichoki kuaikiliza
Kitulizo cha roho yangu taarab mashallah
Nimempata wamana yuko nnaishi nae yani achatu hadi raha niko Mombasa
Yaani hizi ndo nyimbo zenye heshima. Unasikiliza popote wakati wowote pawepo yeyote bila kuona aibu lakini hizi rusha roho na fleva matusi waziwazi. Watoto wetu wanafunzwa namna ya kufanya mapenzi katika nyimbo. Jamaniiiiiii.
Ilike zenj Old is Gold that's true
Hehe kuja mm kwako tena hilo situmainie maneno kuntuba zuhra shaabani nakupenda😭😭😭😭
Zanzibar raha
iko poa sn hii nyimbo
Nataka tena miye pia
Daaah vinyweleo vinasimama
Mwengine hajamuona kwa yy kuishi nae👌👌👌
Mashalah
Saiv nishakiw mkubwa nipo Us nikinaliz kula lazima niskiz taarab za zaman kama mama aangu anapenda sna akishashiba mchana mwenyew anajiburudihsa na taarab 🥰🤗 sie anatuhimiza mda wa chuoni🤗🤗🤗miss home znz🥰😭
nyimbo safi
Safi Sana nimempata wa mn sasa nnaishi nae ..well
mm nimetosheka sitaki tena
Asee hizi ndio taarab
wapi kayatupa tena hahahaha
Nice
Mwengine hajamuona kwa yeye kuishi nae....😃😃😃
Kuja mimi kwako tena hilo situmainie...... lisahau tena sana tamaa sijitie mimi nishatulizana ilobakia uliee!!!
swadaqata asanta
Et anatak tena turud mimi na yeye mwengine hajamuona wa yy kuish nae lol....
Zainab mussa maneno kuntu
Pambee tuu
Mm nishatulizana iliyobaki ww ulie
Once more
Na ukamuacha "aende" na unyonge!
hahahahah kurudi katu hahaha penda hiii mimi damwaniii
natafuta nyimbo inaitwa utapendaje wawili wakati unamoyo mmoja
UTAPATA . TAFUTA VILE UMESEMA. TAFUTA UTAPATA
ASIKUBALI FITINA MTATAKA MSIKIE
Dah kwl zakale zahabu
heheheheh eti anataka tena
Haitham Suleiman mashaallah uzuri asili yako mungu akueke na akulinde na kila baya
anataka tena nini
hee
hongera sana Haitham
Ety anataka tena aliniachiya nn NA sasa kaona nn?nijibuni wadau