Taarab zilipendwa-Abasi Mzee -Harusi jambo la kheri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 ปีที่แล้ว

    Sauti iliyobeba ujumbe wenye muwala. Maneno yenye kuishi miaka kwa miaka bila kungia ukungu.Kiko wapi kizazi kilichokuwa kikiasika na kuifanya jamii izinduke,kuogopa na kumhofia Muumba mbingu na ardhi.
    Allah msamehe makosa yake na kumfutia madhambi sheikh Abass Mzee

  • @iddiiddi5585
    @iddiiddi5585 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa kuuweka huu wimbo. Pamoja na hilo, nahisi huu wimbo beti zake hazikutimia.
    Kumbukumbu zangu zinakumbuka maneno yafuatAyo ambayo ktk wimbo huu yanakosekana:-
    USIJIONE NADHIFU WAZAZI KUWAKATAA
    JAPO WAZAZI DHAIFU NDIO WALIOKUZAA
    HAPANA JAMBO TUKUFU JAMBO TUKUFU JAMBO TUKUFU - KAMA KUOLEWA
    HAPANA JAMBO TUKUFU JAMBO TUKUFU JAMBO TUKUFU - KUOA NA KUOLEWA
    WAZAZI WANALOKHOFU KIZAZI KUJA KUPOTEA KIZAZI KUJA POTEA
    KIZAZI KUJA POTEA WAO WATALAUMIWA

  • @reginaldmallya6801
    @reginaldmallya6801 8 ปีที่แล้ว

    Huo ndio muziki wa taarabu ni mtamu sana hebu wekeni nyimbo za vikundi vyote mfano Jkt kiwira bima shani yaani vikundi vyote vya kabla ya 1995 hata hivyo shukrani kwenu mlioweka hizo chache

  • @husseinabbas2549
    @husseinabbas2549 9 ปีที่แล้ว +3

    Hakika sina lakusema zaidi bali kuwaombeya Mngu awaweke umri mrefu na afya njema . langu ni kuwaomba mutuletee nyimbo zote za Egyptian Musical Club

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 ปีที่แล้ว

    jamani ahsanteni sana Mungu akujazeni kheri nyie watu mnotutilia nyimbo hizi zote ahsanteni jamaa

  • @amneabdallah5969
    @amneabdallah5969 6 ปีที่แล้ว +1

    Wakati huo mziki ulipokua mziki Allah amrehemu Abbasi Mzee

  • @sashashamsia6894
    @sashashamsia6894 2 ปีที่แล้ว

    mawaidha tele

  • @salmayusuph3653
    @salmayusuph3653 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 ปีที่แล้ว +1

    hatuwezi katu kusahau nyumbani Zanzibar

  • @baalawy100
    @baalawy100 6 ปีที่แล้ว

    Harusi jambo la Kheri

  • @vuaimud144
    @vuaimud144 7 ปีที่แล้ว

    hakika ni za kwetu

  • @omaryiddy9163
    @omaryiddy9163 3 ปีที่แล้ว

    ,