Aibu khasaa kusema skuli ya ghorofa mmekua km washamba wa zanzibari wakati ni wastaarabu 😅 semeni kumejengwa skuli nzur yenye heshma. Naskitika kwann kumechelewa kujenwga skuli miaka 60 naa bado tunazungumzia skuli na bararara
Kabla ya uongozi wa Rais Hussein Mwinyi hebu niambie kulikua na Skuli Bora za ghorofa ngapi au mahospital bora mangapi hasa kwetu Tumbatu na mkokotoni? Acheni ushabiki mbovu jifundisheni kushukuru kama wasiseme skuli za ghorofa wafundishe waseme nini?
@Shamshuu-z6l jamani sms yangu ukisoma inajitosheleza kwa kila kitu bila ya mtu kujibiwa ila hamutaki tuu kuifahamu km ulivosema miaka yote hakuna skuli yaa maana ilojengwa nakunga mkono ndio nikasema naskitika kuchelewa kujenwga kwa skuli nzuri yenye heshma kwa muda mrefu miaka 60 naa bado tuko kwenye skuli wakati sasa hivi tuzungumzie maendeleo mengine makubwa zaidi.
Mungu mkubwa tutafika tuuuu
Comediii
❤❤❤
Wazee wanazeeka kwa kutangulia wanakuja Vijana
Muunge mkono ww na mkeo cc hatuna haja nae huyo mtalii
Watumbatu ni sawa na Wapemba hao. Haambulii kitu.Tumbatu mwinyi
Kwani hizo fedha za Mwinyi.? Wee jenga hadi ikulu hupati kitu Tumbatu
Hamna kitu vichwani😅😅
Aibu khasaa kusema skuli ya ghorofa mmekua km washamba wa zanzibari wakati ni wastaarabu 😅 semeni kumejengwa skuli nzur yenye heshma. Naskitika kwann kumechelewa kujenwga skuli miaka 60 naa bado tunazungumzia skuli na bararara
Naila mohd kwaio unataka vp wewe km wewe
Kabla ya uongozi wa Rais Hussein Mwinyi hebu niambie kulikua na Skuli Bora za ghorofa ngapi au mahospital bora mangapi hasa kwetu Tumbatu na mkokotoni? Acheni ushabiki mbovu jifundisheni kushukuru kama wasiseme skuli za ghorofa wafundishe waseme nini?
@Shamshuu-z6l jamani sms yangu ukisoma inajitosheleza kwa kila kitu bila ya mtu kujibiwa ila hamutaki tuu kuifahamu km ulivosema miaka yote hakuna skuli yaa maana ilojengwa nakunga mkono ndio nikasema naskitika kuchelewa kujenwga kwa skuli nzuri yenye heshma kwa muda mrefu miaka 60 naa bado tuko kwenye skuli wakati sasa hivi tuzungumzie maendeleo mengine makubwa zaidi.
@ oooo Okay hapo nimekuelewa waajiriwe waalimu wazuri na Madaktar kuendeleza maendeleo ya nchi
Haaa milimbukeni wa majengo wanataabu
Miaka 60 mumeutenga kuibeza na kuizarau leo mnajifia skul ati miaka 60 bada uhiru tunazungumza huduma za lazima kwa kujivuna .