Leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uchaguzi huu ni wakukisambaratisha Chama, lakini kama Uchaguzi huu utapita salama bila vurugu basi Chadema itakuwa imejipakulia minyama Kisiasa Tanzania. Kwa mtazamo wangu namna na jinsi watia nia walivyo tumia kujitangaza kugombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama ilikuwa na kasoro kubwa kwajinzi utaratiibu ulivyo tumika wa kujitangaza nia yakuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chama taifa, kabla ya uteuzi watia nia wameanza kufanya kampeni tena za kuchafuana kabla ya huteuzi hili ni kosa na halikubariki kwa maana litasabanisha vurugu na mgawanyiko wa wanachama siku ya Uchaguzi ambao unaweza kusababisha Siasa za kikanda na ukabila ndani ya Chama.