Vitalis Maembe Kijijini Maisha Plus

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania Vitalis Maembe alipotembelea kijiji cha Maisha Plus.

ความคิดเห็น • 16

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 ปีที่แล้ว

    Jamani Jamani Bado Naingalia🙌

  • @lwingagabby7298
    @lwingagabby7298 ปีที่แล้ว

    Naikumbuka sana hii siku

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 ปีที่แล้ว

    29/09/2022 Nmekaa Hapa🔥🔥🔥🔥🙆

  • @johnstartv5455
    @johnstartv5455 4 ปีที่แล้ว +1

    Genius!🙌🙌🙌Mbona watu Hawa sio famous!!? Media plz be real!

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 5 ปีที่แล้ว +1

    Blaza we ndo mwanamuziki wengine ni waganga njaa tu!

  • @allankashoro2077
    @allankashoro2077 9 ปีที่แล้ว +3

    My favorite musician in Tanzania ever!

    • @quentinkian2434
      @quentinkian2434 3 ปีที่แล้ว

      i guess it's kind of randomly asking but does anyone know a good site to stream new tv shows online ?

    • @anthonyjudah472
      @anthonyjudah472 3 ปีที่แล้ว

      @Quentin Kian Flixportal :)

    • @quentinkian2434
      @quentinkian2434 3 ปีที่แล้ว

      @Anthony Judah Thanks, signed up and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it!

    • @anthonyjudah472
      @anthonyjudah472 3 ปีที่แล้ว

      @Quentin Kian Happy to help xD

  • @fanuelmulumba9976
    @fanuelmulumba9976 10 ปีที่แล้ว

    NASHUKURU SANA KUKUTANA NA NYINYI JANA,ASANTENI KWA KUJA NAIROBI KENYA.TUKO PAMOJA,NAWAPENDA WOTE,NYINYI WOTE KAKA ZANGU NYI WOTE NDUGU ZANGU

  • @kelvinmlingi3956
    @kelvinmlingi3956 8 ปีที่แล้ว

    Ndg.Maembe mziki wako umenigusa,mziki wako una ujumbe. Kwa wale watulivu wanaosikiliza kinachoimbwa na kutafakari watauelewa mziki wako na kujifunza na kuelewa ukweli wa mambo mengi ktk jamii na nchi yetu.

  • @samweliibwela4070
    @samweliibwela4070 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anajua hadi namuogopa.... !!! I feel the Power of music.

  • @stephenfayu3301
    @stephenfayu3301 8 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa izo CD sie tunazipataje huku bara ?maana unauza uko Dar tu, huki Igunga,Nzega mwanza na nchi mzima kwa ujumla wake tuna hitaji kuponywa na huo mziki wako.

  • @kelvinmlingi3956
    @kelvinmlingi3956 8 ปีที่แล้ว

    Natamani nipate cd zako lkn cjui nazipataje. Nipo Sakina Arusha.