SALAMA - Vitali Maembe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2019
  • Vitali Maembe ni mwanamuziki kutoka Tanzania ambaye muziki wake umejaa sauti za Afrika.
    Mwakilishi wa jamii. Maembe ni mbunifu kwenye mashairi yake - maandishi ya nyakati maneno yanayoakisi maisha ya kisiasa na kijamii katika Afrika.
    Salama ni wimbo unaoeleza maisha ya mtunzi na kuonyesha shukurani na tamanio katika maisha.
    Kutoka katika santuri ya CHANJO YA RUSHWA.
    Furahia!
    Vitali Maembe is a Tanzanian musician whose music has traditional African sounds.
    A social commentator, Maembe is very articulate in his poetry - the writings of time; the words that reflects mostly Political and social happenings in Africa.
    Salama is a self-depict song that has writer express aspiration and gratitude towards life.
    Taken from the album CHANJO YA RUSHWA.
    Enjoy!

ความคิดเห็น • 61

  • @manticha
    @manticha 5 ปีที่แล้ว +12

    Huu wimbo naukumbuka ulitumbuiza siku ya kigoda cha mwalimu pale mlimani.Wanaokubali wanaweza kugonga like zao hapa chini,Vital usisahau kutumia ule wimbo wa HIMA au kino

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe Maisha Malefu,Mwenyezi Mungu Pekee ndiye anaweza kukulipa kwa jinsi unavojitolea kuisemea Tz,Pamoja na Magumu unayopitia kutokana na Mashairi yako

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe sasa tukuite BABU KIDUDE 🎉🎉🎉

  • @prochesslyimo4863
    @prochesslyimo4863 2 ปีที่แล้ว +1

    Akili kubwa, kipaji cha uandishi na upigaji….Unaitumia pumzi yako vyema….Harakati ziendelee na ni maombi yangu wazaliwe wakina Vitali wengi……Nakuombea maisha marefu yenye mafanikio ili uendele kuvitumia vema hivyo vyako viungo👏👏👏

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  2 ปีที่แล้ว

      Asante sana Prochess!
      Ni faraja sana kwangu kupiga muziki kwa ajili yako.

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 4 ปีที่แล้ว +2

    Yan vitali napata raha sana kuckiliza nyimbo zako Mungu akupe afya njema na hekima zaid

  • @dmsovela2409
    @dmsovela2409 ปีที่แล้ว

    Nimesikia kwa mara ya kwanza leo kwenye basi nikabidi niutafute sana..
    Mungu akubariki sana.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.

  • @sudimatembe1064
    @sudimatembe1064 3 ปีที่แล้ว

    Izo ndio nyimbo basata wanazipiga marufuku uku wanaruhusu nyimbo za matusi zikipigwa redioni na kwenye television big_up matembe tuko pamoja mpaka mwisho

  • @noelmlindwa7138
    @noelmlindwa7138 5 ปีที่แล้ว +5

    Best of Vitali Maembe potraying true African music andcultural heritage. Kazi nzuri sana Vitali, nikija Bagamoyo nitakuona

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  5 ปีที่แล้ว

      Asante, karibu Bagamoyo.

    • @adamringo9608
      @adamringo9608 2 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri sana Vitalis. Siku unafanya show zako mahali popote Tanzania nijilishe nije kona live Music

  • @mohamedfadhilisadick3912
    @mohamedfadhilisadick3912 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka leo july 2020 tuna Skiliza

  • @tariqkondo509
    @tariqkondo509 2 ปีที่แล้ว +3

    I heard this song in a show from ITV years back been looking for it ever since, only found it after news of this guy's arrest started spreading

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  2 ปีที่แล้ว +1

      Together We Stand!✊
      'Like', 'Share' and 'Subscribe'!! - Vitali Maembe TV
      Link: th-cam.com/users/vitalimaembeTV

  • @kaimuulongo1314
    @kaimuulongo1314 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali San nyumbo za zamani

  • @peterpeter752
    @peterpeter752 5 ปีที่แล้ว +2

    Moja ya wasanii wachache sana ninao jivunia Tanzania, ahsante sana kwakuchagua unachokifanya Vitalis, mana kupitia wewe nakua inspired na kugundua ninachokimisi back home. Naomba unielekeze jinsi ya kununua CD zako kaka. Nahitaji sana.

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  4 ปีที่แล้ว

      Fuatilia kwenye link hizo hapo chini.
      Asante!
      twitter.com/vmaembe
      facebook.com/vitali.maembe
      instagram.com/vitalimaembe
      soundclick.com/vitalimaembe
      reverbnation.com/vitalimaembe

  • @ndekirwambise8665
    @ndekirwambise8665 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti hii naifananisha na sauti ya Fundi Konde, hongera sana Vitali Maembe

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  2 ปีที่แล้ว

      Asante!
      Unajua muziki mzuri. 🙏🏾

  • @joelntile9078
    @joelntile9078 5 ปีที่แล้ว +2

    Msanii wa umma

  • @allykivunja5511
    @allykivunja5511 2 ปีที่แล้ว

    Km nakosa kitu cha kuikumbuka bagamoyo bc huwa natafuta nyimbo zako tu nasikiliza najikuta najiambia mkataa kwao ni mtumwa najivunia bagamoyo najivunia we we maembe jah bless u live longer

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana Ally!
      Wakumbushe wengine pia. Na uwalete hapa kwenye hii chaneli wapate burudani.

  • @richarddominick3172
    @richarddominick3172 ปีที่แล้ว

    One of the best song EVER and one Of MANJU all-time favorite

  • @msafirishamge7223
    @msafirishamge7223 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitakuja Bagamoyo na nitafanya hima nimuone Vitali Maembe

  • @abuunyalioto1752
    @abuunyalioto1752 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako anasikiliza kila lika kaka hongera kipaji cha kipekee

  • @dicksonmadembwemadembwe6753
    @dicksonmadembwemadembwe6753 ปีที่แล้ว

    Ww mzee nakukubali sana

  • @immakombajr6297
    @immakombajr6297 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiye Vitali Maembe ninae mjuwa mimi

  • @evanstweve7720
    @evanstweve7720 3 ปีที่แล้ว

    hujamuonesha hapa aliye piga solo du, kafanya kazi nzuri sana

  • @13obbyviral77
    @13obbyviral77 2 ปีที่แล้ว

    Fundi 💥💥💥💥

  • @rajabupongwa5150
    @rajabupongwa5150 3 ปีที่แล้ว

    Kaka kazi mzuri sana sichoki kuisikiliza

  • @anitaabdiely1609
    @anitaabdiely1609 5 ปีที่แล้ว +1

    Mziki mzuri nakukubali mnoo

  • @atleyutonga6131
    @atleyutonga6131 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana Vitalis

  • @fidiankwera6305
    @fidiankwera6305 5 ปีที่แล้ว +2

    nakupenda hadi naumwa. huu ndio muziki haswaaa

  • @chiwayakapanga6724
    @chiwayakapanga6724 3 ปีที่แล้ว

    Namkubali sanaaa

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 5 ปีที่แล้ว +1

    Mziki Mzuri sana

  • @bashirumandwanga130
    @bashirumandwanga130 3 ปีที่แล้ว

    mziki mzur

  • @allybalozi8656
    @allybalozi8656 3 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri

  • @marlynhangali9463
    @marlynhangali9463 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @manjoledaddy4143
    @manjoledaddy4143 3 ปีที่แล้ว

    💣🔥

  • @samsonrichard9675
    @samsonrichard9675 5 ปีที่แล้ว +2

    Vitalis naitafuta ile nyimbo yenye maneno yafuatayo -"nimetandika majamvi nimetandika nje

  • @allankashoro2077
    @allankashoro2077 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri Vitali Maembe

  • @abusalman5139
    @abusalman5139 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Vitali. Upload audio za kutosha kwa ajili ya mashabiki

  • @frankwambura4628
    @frankwambura4628 2 ปีที่แล้ว +1

    Best Swahili song I ever heard, he is an activist singer.. very proud of yot

    • @vitalimaembe76
      @vitalimaembe76  2 ปีที่แล้ว

      Thank you Frank Wambura.
      Be blessed! 🙏🏾

  • @zuberikalenzi5262
    @zuberikalenzi5262 5 ปีที่แล้ว

    Big music! Safi ndgu M'mungu akujalie uendelee kutupa burudani