Mafundisho yako ndio yanipa furaha na Amani kila siku nilalapo na nipoamka hapa Qatar ,,kwa kweli nimeona mibaraka ya Mwenyezi Mungu tangu nilipoanza kusikiliza haya mahubiri....Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu ili uzidi kutuleta karibu na Mwenyezi Mungu kupitia Yesu kristo.
Pastor kuna swali hapa.kwanini,kupitia Adam kila mtu anahukumiwa kifo automatically (Haijalishi kama unaamini kuhusu adamu au la. Kuna watu wanaamini tumetokea kwenye masokwe mtu) ila Adamu wa pili (YESU KRISTO) neema yake inahitaji kuamini kwanza ndio uokolewe.yani kuna kitu unachangia (imani yako kwake) kwanini wokuvu wa yesu usiwe automatically kama ilivyo adhabu ya adamu.?!
Mchungaji ubarikiwe mno ila najitahidi kutoka ktk urahibu wa masterbation nashinda nikaomba sana lnavkufunga ila nashukulu tangu nilipokuwa nasikiliza ujumbe wa MUNGU kupitia wewe nimepunguza kwa kiasi kikubwa sana na huu mwaka nitaacha kabisa
pastor ni secilliah naitanji kukili mungu kama mwokozi wa maisha yangu .naitanji kupatishwa niko kenya
Barikuwa sana mchungaji Mungu na akutumie zaidi
Asante Sana mchungaji kwa ma somo Haya,kila ninapo fata somo lako napata nguvu mpya.ubarikiwe.
pastor ni secilliah kutoka kenya .naamini kabisaa maisha yangu was hii niko katika giza totoro but naamini mungu ataingilia kati
haleluya Mchungaji Mungu akupe maisha marefu
Amen Amen barikiwa sana pastor
Amen nimebarikiwa sana na mfundisho mungu wa mbinguni akubariki
Mwalimu huu napenda sana nisiseme uongo, wewe ni mwalimu wangu na pamoja na kwamba niko pentecostal but I really appreciate his preacher
Amina barikiwa paster
Ubarikiwe sana pasita kwa mafundisho manzur
Amina jamaan Mungu akubarik naelewa sana 😢
Asanteni pasta kwa kazi
Amen pr.mungu azidi kukubariki nabarikiwa sana na mafundisho mungu azidi kukutumia kwa kazi yake .nafatitilia toka mombasa kenya
Barikiwa sana mtumishi
Maubiri Yako yameniweka imara Mungu akulinde
Nabarikiwa sana
Katikati ya changa moto kuna mungu!!!..am blessed 🙌
Am blessed everyday with your preaching Man of God
Nabarikiwa sana na mafundisho Yako Mch. Dm. Mungu akubariki sana🙏
utukufu Kwa mungu 🙏🙏🙏🙏
Ijili yako inanitia nguvu Sana mbarikiwa sana pastor 🙏🙏
Nimebarikiwa sanasana na mhubiri
Amina mchungàji
😂😂 shukurani pastor,mungu azidi kukupea nguvu
Nabarikiwa sn na somo hili. Bwana atusaidie.
Nimebarikiwa sana Mungu azidi kukupa maisha marefu
Nimebalikiwa Sana pastor, God bless you
Nakiri kuwa Mungu ni mwokozi ya ya maisha yangu eeh Mungu nisaidie naomba ukombozi wa maisha yangu eeeh Mungu nisaidie
Mahubiri Yako mazuri sana Mtumishi. Mungu aendelee kukupa Afya njema tuzidi kupata mafundisho yako
Mafundisho yako ndio yanipa furaha na Amani kila siku nilalapo na nipoamka hapa Qatar ,,kwa kweli nimeona mibaraka ya Mwenyezi Mungu tangu nilipoanza kusikiliza haya mahubiri....Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu ili uzidi kutuleta karibu na Mwenyezi Mungu kupitia Yesu kristo.
Nabarikiwa
Hakika MUNGU NI MWEMA SANA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
M0mp00m0p009
Kutoka kiseran(kajiando) kila wakati ninaposikiliza mahubiri yako napata amani moyoni mwangu. Mungu akubariki wewe na familia yako.
Kwakweli Mungu ambariki Pastor wetu.❤❤❤
Amen hallelujah WOW YESU NI BWANA
Tunakuombea ktk utumishi, Mungu wetu azidi kukutumia.
Asante 🙏🏿
Mungu akubariki paster
MUNGU anatubariki sana
Barikiwa sana pr Kwa somo zuri sana 🙏🙏
Mh waumini shikeni hio zawad mlio pewa na Mungu hio nibahati mlio pewa kama Isirael na mmependwa sana
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU, hivi vitangazo ulivyosema tusi skip vinaurefu sana ni nyimbo zima za watu
Nimebarikwa sana pastor kwa mafundisho yako yananipa tumaini kwa moyo Mungu na zidi kukuinua na akutunze.🙏🏻🙏🏻💕💕
Barikiwa sana Pastor 🙏
From Kenya following and learning alot from this channel
Amen. Share to others
@philistinahwambugha3251😊
Kweli mafundisho yako ni ya nuru.Barikiwa mtumishi.
Kiukweli ubarikiwe sana Mchungaji neno hili nikiwa bagamoyo nalipata na kubarikiwa sanaaa
Bwana azidi kukuimarisha Pastor
Ameen ubarikiwe sana kwa somo lako
Amina mungu asindi kuwa na uweza
Mungu Akubariki Mtumishj wa Mungu
Thank you pastor mahubiri ya leo yamenichenga mungu akubariki sana
Napata hili Somo nikiwa nchini kenya, nabarikiwa sana mchungaji
Barikiwa Past karibu kwetu Burundi tukune na tu nunuwe vitabu
Usafiri ndio shida! Ila tukipata mtu ni rahisi
Amen pst barikiwa sana🙏🙏
Jina la bwana libarikiwe
Naomba namba ya Mchungaji mbaga
Amen nimebarikiwa sana
Natamani mchungaji tukutane machokwa macho,au unitumie mama junior aje anipokee airport plzooo
Nabarikiwa nikiwa Beirut
Pastor kuna swali hapa.kwanini,kupitia Adam kila mtu anahukumiwa kifo automatically (Haijalishi kama unaamini kuhusu adamu au la. Kuna watu wanaamini tumetokea kwenye masokwe mtu) ila Adamu wa pili (YESU KRISTO) neema yake inahitaji kuamini kwanza ndio uokolewe.yani kuna kitu unachangia (imani yako kwake) kwanini wokuvu wa yesu usiwe automatically kama ilivyo adhabu ya adamu.?!
I'm getting blessed from Kenya
Napitia hofu saa hii juu ya mtoto wng nikipata mafundisho yk moyo unapoa
AMINA 🙏🙏🙏🙏
Asant kwa neno mucungaji
Neno Zuri kabisa barikiwa mmbanga nko garrissa
Amina sana
Amen 🙏🙏
Amen amen
Am blessed
Pastor naomba number zako
Mahubiri haya yanafanyikia wapi?Natamani niwepo live.
Amina
Mchungaji ubarikiwe mno ila najitahidi kutoka ktk urahibu wa masterbation nashinda nikaomba sana lnavkufunga ila nashukulu tangu nilipokuwa nasikiliza ujumbe wa MUNGU kupitia wewe nimepunguza kwa kiasi kikubwa sana na huu mwaka nitaacha kabisa
NaBarikiwa Sana
Ameni
Naitwa Daniel Chacha nabarikiwa sana kutoka Arusha ameni Mungu awabariki
Ll0lpp
Napata mafundisho na amani tele moyoni ninaposikia mafundisho yako.
Amen
mtumishi mimi nipo tabora nitakipataje hicho kitabu?
Nimebarikiwa sana
Pr. Ikiwa jua iliumbwa baadae Dunia iliumvwaje ikiwa hakuna Nuru ya kua??
Somo liko mbele
Giza halimzuii Mungu kuona chochote
Mutumishi tumekumisi sirari kenya
Amina
Amen❤
Amen
Amina
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen