NAMNA YA KUCHANGANYA SWALA MBILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @Selemaniramadhanikusila
    @Selemaniramadhanikusila 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shehe umetutoa gizani mungu akupe Imani.amina

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah mungu akupe umri mrefu uzidi kutupa elimu waislamu

  • @hidayarrashidi3939
    @hidayarrashidi3939 5 ปีที่แล้ว +13

    Shekhe Allah akufanyie wepes tuwakumbuke na mayati katika dua yetu ya mawaidha inshaallah

  • @mohawafissa
    @mohawafissa 5 ปีที่แล้ว +27

    Kwamba swala ni swila baina ya mja na mola wake. Wallahi ninafaidika sana na darsa zako ustadh. Allah akubariki kila utakalo la kheri!

  • @mamounmamoun7877
    @mamounmamoun7877 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah 😀😃kwenye masahala je ustadhi kwa ss tulio ughaibun kimikataba Salah zetu inakuwaje

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah akulipe kila lenye kheri ustadh wetu wallah darsa zako zina manufaa makubwa Alhamdulillah

    • @caydengrady8626
      @caydengrady8626 3 ปีที่แล้ว

      you probably dont care at all but does anyone know of a trick to log back into an instagram account..?
      I was stupid lost the account password. I would love any tips you can give me

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin

  • @mohasirleam3599
    @mohasirleam3599 ปีที่แล้ว +3

    Allah akujalie elimu yenye manufaa uzid kuuelimisha ummat Muhamad 🤝🤲🏼

  • @user-xh4ct2fb3j
    @user-xh4ct2fb3j 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe mwixho mwem

  • @bilalmuhammad859
    @bilalmuhammad859 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shekh wangu Allah akulinde na shali zote

  • @bintshariffmuhammad620
    @bintshariffmuhammad620 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah wafahamisha vizuri sana hatta dubu ataelewa
    Allah akujazi kheri

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ashallah mashaallah
    Amiina yarabbi
    Shukran yaa sheykh mungu akuhifadhi amiin

  • @swadrathswaib2251
    @swadrathswaib2251 4 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah .
    shekhe Allah akujaalie kheri mafundisho yako ni mubashara

  • @hora8707
    @hora8707 4 ปีที่แล้ว +4

    Shukran sana Sheikh Jazaaka llahhu khayr

  • @lilianhigilo4255
    @lilianhigilo4255 3 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH akulipe mema kwa elimu unayotupa inshallah 🙏

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kututoa kizani akhy. Jazaakallahu khayr.

  • @twahambowe440
    @twahambowe440 4 ปีที่แล้ว +1

    Allaahuakbar 😂😂😂😂😂sheikh wangu Leo umenichekesha kwa jambo la dharura.

  • @mwendamwenda7998
    @mwendamwenda7998 ปีที่แล้ว

    YANI HUYU SHEKHE NI NGUMU SANA KUMUELEWA YANI ANA MANENO MEEENGI MPAKA NASHINDWA KUMUELEWA ..ANACHANGANYA MANENO MPAKA ANAKUWA HAELEWEKI

  • @user-fn9ve4jj1p
    @user-fn9ve4jj1p 29 วันที่ผ่านมา

    Amin

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +5

    Ameen yaa Rabbil allamiin 🤲🏼

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukran ustadh. Allah baarikk

  • @user-ej9kz1yz4l
    @user-ej9kz1yz4l 4 หลายเดือนก่อน

    Amiin

  • @rehemamujib6736
    @rehemamujib6736 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka'Allah kheri

  • @najmaomar6262
    @najmaomar6262 5 ปีที่แล้ว +3

    Aamiin, aamiin, aamiin

  • @hawamohd8215
    @hawamohd8215 5 ปีที่แล้ว +2

    Na pia mm nikiwa ndani ya swala nakuwa na mawazp mengi sanaaa najitaidi kuyasahau lkn nahofia sal yangu kuharibik je unanisaidiaje

    • @halisiherbalandnaturalremedies
      @halisiherbalandnaturalremedies 4 ปีที่แล้ว

      Huyo ni shetan akuchezea akili, kwanini usiwaze kabla ya sala? jaribu kuacha kuwaza ukiamini Mungu yuko mbele yako na anaona unayoyafikiria kichwani si ktk swala.

  • @ALHAJIBINYAZID
    @ALHAJIBINYAZID 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah jazallahu lkhayra

  • @zenaramadhani5958
    @zenaramadhani5958 2 ปีที่แล้ว +1

    Ammina

  • @muxxacaxxan9535
    @muxxacaxxan9535 5 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah uko vizur

  • @hid89yearsago82
    @hid89yearsago82 4 ปีที่แล้ว +1

    Aamiin

  • @fatmaamadi
    @fatmaamadi ปีที่แล้ว

    Jee kama Yuko kwenye komaa

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana Sheikhe

  • @damwamsuo8473
    @damwamsuo8473 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah
    Shukran

  • @aishaabdala4961
    @aishaabdala4961 4 ปีที่แล้ว +1

    assalaam alaykum osthaz kwaiyo unaweza kuswali laakaa mbili tuu pasipokuwa naudhulu wowote ao ukiwa una kazi ndio unaswali laakaa mbili

  • @twahambowe440
    @twahambowe440 4 ปีที่แล้ว +2

    Dharura mtihani. .😂😂😂

  • @rasheedperez6860
    @rasheedperez6860 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shukrn

  • @sleyyumabdul4940
    @sleyyumabdul4940 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @abdullathabithemed9377
    @abdullathabithemed9377 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah
    Umepanda chat sana dunian
    Upo up to date darsa zako
    .
    .
    .
    .tunaomba ututembelee Pemba Ustadh wg
    +255778757900

  • @user-jj1nq6gz7m
    @user-jj1nq6gz7m 10 หลายเดือนก่อน

    Jamtaahiri,kabla,jamutakbimi baadae

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 2 ปีที่แล้ว

    Aamin, Aamin, Aamin

  • @zainabuzainabu4372
    @zainabuzainabu4372 4 ปีที่แล้ว

    Asalam alaikum ni kweli sheikh hawa mashia wanaswali maghrib na isha alafu mtu yuaenda shughuli zake..

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

    Shekhe mola akuweke uzid kutuelimisha maan napenda unachambua kwa uwazi

  • @halimaomary8650
    @halimaomary8650 3 ปีที่แล้ว

    Ass.alykum, Je shekh waweza kuswali swala za adhuhur, alasr na magharib wakati wa insha

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +5

    Allahummasalli wa yusalim Alleyh!

  • @hawamohd8215
    @hawamohd8215 5 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe je ss ambao tunakaa kwa mkataba miaka 2 je turusiwa kuunganusha swali mpka nitakaporudi maani mm niko oman kwa mkataba miwiliin

    • @maherzain615
      @maherzain615 4 ปีที่แล้ว

      Mmh hamna.nyie muko na rukhsa one week every month hamuswali acha uvivu🤣

    • @muktarmashukura950
      @muktarmashukura950 3 ปีที่แล้ว

      Na ramadhani za miaka 2 utalipia ukirudi?

  • @ustadhinyamwagatarimemara8327
    @ustadhinyamwagatarimemara8327 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah

  • @abdulkhelef8761
    @abdulkhelef8761 ปีที่แล้ว

    Na swala ya ijumaa inaswaliwaje ukiwa safarini

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alaykum yaa sheykh
    Suali jee kupunguza swala ni mda gani?

  • @rehemakinande8615
    @rehemakinande8615 3 ปีที่แล้ว +1

    Amini

  • @phauziamvuria4100
    @phauziamvuria4100 4 ปีที่แล้ว

    Maalm mm npenda sana kuswali lkn cjui kuswali cjui nfanje

    • @ALHAJIBINYAZID
      @ALHAJIBINYAZID 3 ปีที่แล้ว

      A alaykum unapenda kuswali lkn hujui upo nchi gan kwani

  • @daasha8587
    @daasha8587 5 ปีที่แล้ว +1

    Kukusuru ni kupunguza

  • @issandayisaba1576
    @issandayisaba1576 2 ปีที่แล้ว

    Aamin

  • @uweysnoorsaid1419
    @uweysnoorsaid1419 ปีที่แล้ว

    shukran

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว

    Amiina yaarabbi

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani sana

  • @abdulkhelef8761
    @abdulkhelef8761 ปีที่แล้ว

    Ukiwa safarini wakati wa swala ya alfajiri,unatakiwa uiswali wakati gani

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว

    Pia mie hukuhuku nilipo tunakua tunaondoka safari kwa mwenfo wa masaa matatu hafi manne jee nikiwa kule upande nilikokwenda pia nipunguze rakaa au niswali kamili?

  • @saidmsangi5033
    @saidmsangi5033 5 ปีที่แล้ว +1

    Kukusuru ndo niniiii

    • @shariffnassiromar697
      @shariffnassiromar697 5 ปีที่แล้ว

      Kukusuru ni kupunguza Swalah. Kwa ajili ya dharura. Mfano Adhuhuri utaswali na Alasiri pamoja. Utaswali Rakkah 2 dhuhur na Rakkah 2 Asrih

    • @halisiherbalandnaturalremedies
      @halisiherbalandnaturalremedies 4 ปีที่แล้ว

      @@shariffnassiromar697 na je ukiswali rakaa mbili za kila swala unakaa tayhatu na kutoa salam au unaswali km vile unaswali swala moja?

  • @sinumvayabo5776
    @sinumvayabo5776 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @alsam4881
    @alsam4881 4 ปีที่แล้ว +2

    Unasema kujumuisha swala ni lazima uwe umeshaondoka nyumbani;Je sisi tunaoishi nje ya nchi wakati tukichukuwa ndege kurudi nyumbani ni masaa mengi sana yaani kuanzia swala ya alfajir hadi ishaa bado tupo ndani ya ndege,Je hilo suala naomba unifahamishe tutajumuisha vp?

  • @hadijakassimila5316
    @hadijakassimila5316 3 ปีที่แล้ว

    Kama Niko safari inakuaje

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว

    Maana mimi sipo kwenye nchi yangu nipo nchi nyengine ni miaka sasa jee niswali kamili au nipunguze swala mbaka nikirejea nchini kwangu?

  • @sogoyikissoyi8400
    @sogoyikissoyi8400 4 ปีที่แล้ว

    Swali: Swala ya Isha inaanza muda gani baada ya Swala Magharibi?

    • @mussahashimu4593
      @mussahashimu4593 4 ปีที่แล้ว

      Inaanza linapozama jua na inaisha Yanapo potea mawingu mekundu

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 ปีที่แล้ว

    KISUUNZI ZENJI PIA TUNADUMIA

  • @saudasangoda3321
    @saudasangoda3321 5 ปีที่แล้ว +2

    Kukusuru ninini sheikhe

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 ปีที่แล้ว

      Nikupunguza . Kwamaana badala yakuswali adhuhuri rakaa 4 unaswali rakaa 2 ndio kukusuru

    • @saudasangoda3321
      @saudasangoda3321 5 ปีที่แล้ว

      @@IzudinAlwyDin shukran sheikh lakin naomba kuuliza maswali private tafadhali

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 ปีที่แล้ว

      Allahu Akbar Allah atuzidishie Muhammad kweli

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 ปีที่แล้ว

      Nimekusudia kusema atuzidishie kusema kweli

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 ปีที่แล้ว

      Imeangia Muhammad

  • @salimsharif5031
    @salimsharif5031 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah