Kufa katika hali ya kutenda maovu \dhambi ndiyo mwisho mbaya,mwisho mzuri ni ile mtu anakufa katika hali ya usafi, utayari lakini pia matendo mema ndiyo yatakayo muweka mtu katika ile kheri ya milele 🙏🏽
@@rasvegas8991we nae kumbe kz ya nani hmn kiumbe anaweza kuuwa ispo kuwa munguu hata wachawi hawawez kuuuwa anauwa munguu pia kama mtu siku yake ya kufa bado hawez kufa na ALLAH atamtoa tu wote waliokufa ni siku zao zimefika pia riziki zao huku duniani zilishaisha
Heee mungu wangu hii tukio ilinigusa Sana Tena Sana sijuwe mama Yao wako vipi.. 😢 Wazazi wetu walitukuza kwa shida Sana. Kesha tena watu zike....God please. Don't Le this to happened again...😢😢😢 Ime niuma Sana Tena sana binti mudogo kama.. Uyo 😭😭😭😭 my condolences for all Tanzanian nations and family for this beautiful Young ladies which sister Neema rest in heaven guys 😥😥 whiching from DRC 🇨🇩 bukavu
Ooooo mama mungu akupe nguvu Sana mungu atawafariji pole Sa sisi wote ninjia tuzidi kuishi vema duniani mama mungu akuwezeshe kuyavumiliya nasi imetugusa poleni Sana
Mungu akutiyeni nguvu mshukuruni mungu tu msikufuru hakika inauma mno lakin mungu katenda kaokowa alowahitaji ktk duniya na kawachukuwa alioona sasa imetosha mateso yenu hapo ktk jengo rudini mpumzike hatuwezi juwa huko chini walikuwa ktk hali gani
Binafsi nimeumia sana Mauti we unatisha mno yaani hawa naweza kusema ni kama walizikwa wakiwa hai harafu wamefukuliwa wakazikwe Tena baada ya kifo hakika ni maumivu makali sana yacyoelezeka ni mateso kiac gani Mungu Baba kuna wakati tunapopoteza wapendwa wetu tunaumia mpaka tunakuudhi wewe Mungu hakika kifo kunaumiza ila kaburi linatisha mno 😢laleni salama kaburini.Mwenyezi Mungu awapunguzie adhabu mliyopata wakati mnapambania uhai wenu inatosha.
Mungu amtie nguvu mam aliepoteza mabinti wawili hakika inaumiza lakin daima kazi ya Mungu haina makosa kikubwa tuwaombee awake here yambinguni wapumzike kwa amani,pamoja na wote waliopoteza ndugu zao Mngu awape faraja
Mwanadamu si chochote wallah. Tuishi vizuri, Tuishi kwa kujiandaa. Kifo huja ghafla. Na hakuna kitakachomfaa mtu baada ya kufa ispokua matendo yake.
Hakika
SubhanaAllah maneno mazito 😢
Umejua sasa
Kweli kbs
Swadaqta
Jaman maumivu yanarud upya kwa mama mzazi wa neema😭😭😭
Yaani hapa mama analia mpk anachoka..Mungu umtie nguvu mama wa watu jamani ..😢
Mungu awape subra familia yote,hasa kwa mama neema pole mwanamke mwenzangu
Yarabiiiii NDIO maana wana sema kariakoo hapaingiliki harufu kali mno kumbe maiti za ndugu zetu subhanallah basi mule wamebaki wengi bado 😭😭😭😭😭
ALLAH AWASAMEHE MAKOSA YAO NDUGU ZETU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI
Ameen
Aamiin
Amen
Amen
Amen.
Binadamu mwisho wetu mmbaya sana allah huakbar
Kufa katika hali ya kutenda maovu \dhambi ndiyo mwisho mbaya,mwisho mzuri ni ile mtu anakufa katika hali ya usafi, utayari lakini pia matendo mema ndiyo yatakayo muweka mtu katika ile kheri ya milele 🙏🏽
Allah awasameh makosa yao. Awape subra wazazi wao subhanallah yani nakosa nn niandike
Daaaah pole Sana mama Neema ni majonz kwakweli wanatunduma tunaomboleza Kwa pamoja 😭😭😭😭😭
Mwenyezi mungu awape kauli thabiti ndugu zetu inshallah 🥲🥲🥲🙏🙏
Mungu with capital M
Binadamu si kitu wallah Allah atupe mwisho mwema yarrab
Allahumma Ameen 😭
Subuhanallah nimelia mimi 😭😭😭😭😭
Nimejikuta naukumbuka wimbo wa ambwene mwasongwe misuli ya imani😢 kumbe kweli huwa yanatokea
Yan haya mambo yapo jmn😭😭
Pole sana mama mungu mkali mungu akupenguvu mama angu pigo kubwa umepata niwakati mgum sana unao pitia pole sana
Allah awarehumu😢mama jamani Mungu Ampe nguvu kwakwwli.hii dunia tunapita 😢
Pole sana wanafamilia Mungu awe pamoja nanyi kwenye wakati huu mgumu 😢
Pole sana mama Neema, Mungu akawe faraja kwako
Kazi ya mungu hainamakosa mungu awaweke mahalipema peponi amina
Sio kila kazi ya MUNGU
@@rasvegas8991we nae kumbe kz ya nani hmn kiumbe anaweza kuuwa ispo kuwa munguu hata wachawi hawawez kuuuwa anauwa munguu pia kama mtu siku yake ya kufa bado hawez kufa na ALLAH atamtoa tu wote waliokufa ni siku zao zimefika pia riziki zao huku duniani zilishaisha
Uchungu mzito..
Mwenyezi Mungu wape pumziko la milele.
Mungu atuepushe na majanga kama hayo maana kwa nchi yetu bado hatupo vizuri kwa kweli
Mungu tusaidie sana wapokee uko kwetu mbinguni naamini walikuomba uwe nao ktk ufalme wako
Kumbe ni pumzi ya uhai inatudanganya jaman, mama yake atakua mgeni wa nani jmn Mungu mtir nguvu mama Yao😭😭😭😭😭😭
Pole sana familia ya Neema.May God comfort you and family
Mungu amlaze mahala pema peponi 😭😭
Nampa pele sana mama wahao mareem mungu ampe guvu nimapenzi yamungu
Mmmmh nikifo cha mateso mno jaman😢😢😢😢
Sana mno Maumivu makali sana
Kweli,
Kifo cha maumivu sana jaman.😢😢😢😢😢
Sure broo...Nadhani wangemhifadhi tu kwa haraka asizidi kukaa
Kama ameharibika ni bora tu mungezika hapo hapo dar poleni sana mungu awape subra
Uwiii jaman sk nane ni nyingi sana lazima aharibike uwiii pole sana mama kwa wakati huu unaopitia jaman inauma sana 😢😢😢😢😢😭😢😭🙏🙏🤲🤲
Mungu muweza yote mpe nguvu huyu mamamzazi wa hawa wtt. Inaumiza mno. RIP
😢😢😢 Wapumuzike salama
Mungu akawe mfariji kwa mama na familia nzima
Huzuni kwa kweli 😢na alivyomremboo😢😢hii imenifunza kua binaadam sio kitu chochote hapa duniani😢😢tupendane tusameheane 😢 hakuna sanda za mitumba 😢😢😢
M/Mungu tunusuru na kutuongoza katika maisha ya duniani
Heee mungu wangu hii tukio ilinigusa Sana Tena Sana sijuwe mama Yao wako vipi.. 😢 Wazazi wetu walitukuza kwa shida Sana. Kesha tena watu zike....God please. Don't Le this to happened again...😢😢😢 Ime niuma Sana Tena sana binti mudogo kama.. Uyo 😭😭😭😭 my condolences for all Tanzanian nations and family for this beautiful Young ladies which sister Neema rest in heaven guys 😥😥 whiching from DRC 🇨🇩 bukavu
Zikeni tuu dar jamani kesha haribika jamani
Mungu awe mfaliji wa yule mama yao😢Allah awalaze pema pepon wote walotangulia Aminah😢
Ooooo mama mungu akupe nguvu Sana mungu atawafariji pole Sa sisi wote ninjia tuzidi kuishi vema duniani mama mungu akuwezeshe kuyavumiliya nasi imetugusa poleni Sana
Mungu akutiyeni nguvu mshukuruni mungu tu msikufuru hakika inauma mno lakin mungu katenda kaokowa alowahitaji ktk duniya na kawachukuwa alioona sasa imetosha mateso yenu hapo ktk jengo rudini mpumzike hatuwezi juwa huko chini walikuwa ktk hali gani
Pole sana kaka kupoteza watoto 2 kwa mpigo ni Mungu tu akutie nguvu
Mungu Ampumzishe mtanzajia mwenzetu mahali pema peponi amen.
Ingetosha kusema tu mwil umepatikana, kulko kusema umeharbika, sijui Fuvu macho hamna, ni unproffesional. RiP to her
Sana hlnamie nimewaza maana daaah zinasisimua watu mno 😢😢
Ni bora kusema ivo ili liwe fundisho kwetu binadam si chochtr tuache dharau na majivuno ni vzr kuelezwa hali halisi ili iwe mawaidha kwetu tulohai
Kweli hakukuwa na haja ya kutoa details zote hizo ambazo zinaumiza sana aisee.nimeumia moyo.
Are u serious? Kwani hujui mtu akifa kinachofuata ni mwili kudecompose? But s vyema kuusemea mwili wa watu ulikuwa vipi si njema @@ahmedalkiyum7592
I agree 💯
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭mwenyezi mungu tupe mwisho mwema mungu Andulinde
Poleni sana, Mungu awafute machozi, awape faraja ya mile. Kazi yake Haina makosa tunamshukuru
kwa zanzibar hatutasahau ajali ya meli spice islander ilikua ni mbaya sana na hatutasahau
Mungu awape nguvu wana familiya wote😢
Asante MUNGU umetuachia tunaowapenda pia umechukua unaowapenda zaid
Mwenyezi Mungu atie nguvu famlia yake 😭😭
heeh mungu ! wape nguvu wafiwa
ALLAHU AKBAR ALLAH AWAONGOZE POLENI SANA NDUGUU
Poleni. Mungu ampokee pahali pema peponi
Inauma sana eeeh mwenyezi mungu tusaidie
Polen sana ndugu zetu mungu awape uvumiliv katka kipind hichi kigumu
Binafsi nimeumia sana Mauti we unatisha mno yaani hawa naweza kusema ni kama walizikwa wakiwa hai harafu wamefukuliwa wakazikwe Tena baada ya kifo hakika ni maumivu makali sana yacyoelezeka ni mateso kiac gani Mungu Baba kuna wakati tunapopoteza wapendwa wetu tunaumia mpaka tunakuudhi wewe Mungu hakika kifo kunaumiza ila kaburi linatisha mno 😢laleni salama kaburini.Mwenyezi Mungu awapunguzie adhabu mliyopata wakati mnapambania uhai wenu inatosha.
Mungu kampe ujasili kwa mama huyu pia mungu azilaze pema peponi amina
Pole mama jamani
Nimeumia sana 😢😢😢😢 poleni familiar kweli inauma sana 😭😭😭😭😭😭
Mungu nyieee😢😢😢
Siku zote hzo ingekua ngum mpaka leo Mungu awape faraja ndugu na familia kiujumla😢😢🙏🙏
Maisha bhana!!!! Poleni sana wafiwa....
Jamani
Mungu wetu tupe mwisho mwema
Dunia hii hakika ni wageni, tumuombe Mungu atupe mwisho mwema
Mungu awatie nguvu na awe faraja kwenu
Eeee Mungu wangu Mpe subra mama yao 😢jamani 😢
RIP. MMMHM MAMA MZAZI POLE SANA SANA.
Pole sana Mungu hawa tiye nguvu
Hatuna cha kusema zaidi ya kuku shukuru ww mungu japo inauma sana 😭😭😭😭😭
Mungu awatie faraja
Mungu amtie nguvu mam aliepoteza mabinti wawili hakika inaumiza lakin daima kazi ya Mungu haina makosa kikubwa tuwaombee awake here yambinguni wapumzike kwa amani,pamoja na wote waliopoteza ndugu zao Mngu awape faraja
Rest in peace Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehem Mahala pema pepon 😢😢😭😭🙏
"Nini maana ya maisha ikiwa wote tutaonja mauti"
Jacklin Wolper
Poleni sana wapendwa mungu awatunze
Eeh mwenyez mungu awapumzishe kwa aman
Mungu tupe mwisho mwema
Jamani😢
Inalillah wanailah rajun allah awasame makosa yao awepe makaz mema amin yarabiy ni huzuni sana
Pole sana akina mbembela
Polen sanaa wanafamilia
Kalikuwa kanzuli sana 😢😢😢RIP
Daaah! Imenihuzunisha sana
Poleni sana
Lord Have Mercy🙏🙏🙏
Duuuh dada wawatu kafa kifo kina maumivu sana aiyiiiii😢😢😢😢😢
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐮𝐰𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐩𝐨𝐤𝐞𝐚 😢😢😢
😭😭 inauma sana nimeshindwa hata kuendelea kuangalia nashindwa maana ni majonzi na uchungu
Nasisimka jamani tuishi vzr hatujui muda Wala saa
Daaaah inauma sana
SubhannAllah
Da!!Apumzike Kwa Aman..
Polesana mama😭😭😭😭
Pole wafiwa wa neema
Poleni sana ndugu na jamaa marafiki kwa misiba
M mungu atawapa subra
Pole sana ndg zetu
Yupo sahihi op
aiseeee inaumizaa sana hii
Mungu am samee makosayake ishlll😢😢😢😢
Mungu awape. Nguvu
Nchi yetu Tanzania, Mwili ndio inaopolewa leo Tangu Kuanguka kwa ghorofa Hakika Tuko nyuma sana Kwenye kukabiliana na majanga😢😢😢
Sasa ulitakaje watu wanze kufukua vifusi kabla yakutoa watu
Serikali walichelewa kuanza kuokoa...
Acha kulaumu kama hukuenda eneo la tukio kusaidia, weee👆
@@pascofp145Usikurupuke kujibu kama hujaelewa
@vanessalaizer4363 Tatizo Sio kwenda, JANGA la kitaifa sio la Mtu binafsi eti tuseme hakuishirikisha SERIKALI No, Ni government ilikuwepo Tangu lo!
Mungu atupe mwisho mwema
Mwe mwe mweee!!! inauma mnooo, no way.
Dah sio poa 😭 poleni sana