Wimbo mzuri (sio nyimbo wadau) wimbo mzuri sana laafudhi nzuri Kiswahili chepesi kinaeleweka maneno yanasikika ladha ya mwambao (sio radha wadau) wimbo umesheheni ujumbe na vionjo mujaarab (sio ngoma wadau ni wimbo)
Tatizo ni kuwa hatuwaheshimu wasanii wazuri, Kasim Mganga hii kazi aliyoifanya ni kubwa sana nikiifananisha na zile za Tatu Nane. Huyu kijana ametuwakilisha kuutambulisha utamaduni wa Mswahili. Taasisi, vyombo vya habari na mtu mmoja mmoja tungewasaidia kununua kazi zao kuzitangaza kwa nguvu tungekuwa na tunu ya kujidai kwa wasanii wazuri kama Mganga. Mm namsikilza kwa makini Kasim Mganga, atapotea na uzuri wake kama wimbo Boko wa The Kilimanjaro, Indege ya Inafrika akina Bob Rubala na Bizzman bila kupata utambulisho wa Kimataifa. Naumia sana kwa kweli.
Kiukwl kila ninapo skia hu wimbo namkumbuk best angu ndugu yangu swaleh ulikuwa akipenda usikuiliza nami ndipo nilipo uskia 2017 mpka naleo 2022 nauskiliz kilanimkumbuk ndugu yangu tukiwa wote babati naupenda sana huwimbo wimbo somo
kasimu naomba umpe zawadi huyo mama yaani kaupamba wimbo wako kuanzia uzuri wake na muonekano wake na ameimba vizuri sana. nimempenda sana huyo mama jamani. bg up sana kasim unatoaga nyimbo za ukweli
Daaaah nimeskiliza hii ngoma ten times, hainiishi hamu, hivi vigoma vya wananjenje kwakweli vimenogesha sana hili goma, brooo umefanya kitu safi sana, Kasim unatuliaga sana kutunga ngoma zako zinafurahisha na kufundisha..... Somo la mwariiiiiiiiiiiiiii..................
Hautaki haraka music uliopangwa ukapingika, maadili haya ndiyo yetu pwani yanapotea, hivi video imenikumbusha mbali sana kuna mpaka kitanda cha TAUSI da zamani sana nimeipenda sana, safi mganga na nyota njenje
Somo na mwali kangalauke somo na mwali nenda nae rudi nae mwali wangu kangalauke . somo yake hoyee hoyee , somo wote hoyee hoyee . what a nice song aseeee Best Kassim
anisemesha kauli tamu ana hila Leo nmekosa kesho nmepata hewalwa..somo ya mwali uko wapi nikutunze ........MZIKI mtamu kutoka kwa tajir....saweeeee tangaiweza
mambo tng waja leo kurudi majaliwa najivunia kuzaliwa TNG huu wimbo me sichoki kuusikiliza ukifika kwenye kibwagizo naongeza sauti mpk mwisho safi sanaaaa huaga sio mpnz sana wa nyimbo hizi ila huu naupenda sana umenigusa kumoyoooooo
mashallah MASHALLAH kassim bhanaaa umetupa rahaa jamanii nakizungusha kiuno taratiiibuuuu hakuna jasho wala ninii asante nyota waziri mmanyema wa kwetu uko juu na team yoote ya kilimanjaro band mwaaah
kabla ya kulishwa nabebwa naenda koga nae anisahaulisha nsilete mwenza hapo baadae nimehalisha namwomba mola nzikwe nae kitandani hachoshi pia tukilala anikumbatia ametulia ajilia vinono vya mumewe
Kassim umetuletea bonge moja ya ngoma...huwa haubahatishi....from HAIWEZEKANI to SOMO ni muziki mzuri zaidi every single timefrom you...AHSANTE SANA kwa good music...hivyo vionjo vya wana njenje ni oooollleeeeeee oollleeee...BIG ONE
Huu sasa ndio mziki mzuri tunaouzungumzia kila siku. Kama nawe umeukubali gonga like.
Lucas Fredrick in
😍
Kweli kabisa huu ndio mziki wa Tanzania
yaani
Tanga rahaaaaaaaaaa
Anyone in 2024 🥰🥰
Nipo 2024
Im 😊😊❤
Jana na leo😂
Tupooooo🎉
Hii ngoma noma
Km mpaka LEO unaitizama hii ngoma gonga like twende sawa
Hii ngoma inamiaka saba7 lakin bado nipo kwenye umaskin wangu mpaka leo 2024
Ila duuh,masomo viuno vigumu sijapentaaa
Umeona eeeh 😂❤
Kwakweli 😂😂😂
😅
KAWIMBO FULANI HIVI AMAZING.....Tanga ya tajiri.
KAMA UNAMKUBALI KASSIM MGANGA ACHIA LIKE YAKO
Like
Nani bado anapenda mpaka Leo 2019
Tanga iza tenaaa
Mimi
Mm nakubali sana huyo jamaaa
Mimi
Mpaka leo nyimbo haichushi
Wimbo mzuri (sio nyimbo wadau) wimbo mzuri sana laafudhi nzuri Kiswahili chepesi kinaeleweka maneno yanasikika ladha ya mwambao (sio radha wadau) wimbo umesheheni ujumbe na vionjo mujaarab (sio ngoma wadau ni wimbo)
Mwanamama wa Mombasa nae mtaalam sana Nani kamuelewa kama mm ? Tia like
Steven Gaudence sio wa mombasa huyo wa tanga asili yake kigoma
we hii keel?
nmemuelea sana
noma
noma
Tatizo ni kuwa hatuwaheshimu wasanii wazuri, Kasim Mganga hii kazi aliyoifanya ni kubwa sana nikiifananisha na zile za Tatu Nane. Huyu kijana ametuwakilisha kuutambulisha utamaduni wa Mswahili. Taasisi, vyombo vya habari na mtu mmoja mmoja tungewasaidia kununua kazi zao kuzitangaza kwa nguvu tungekuwa na tunu ya kujidai kwa wasanii wazuri kama Mganga. Mm namsikilza kwa makini Kasim Mganga, atapotea na uzuri wake kama wimbo Boko wa The Kilimanjaro, Indege ya Inafrika akina Bob Rubala na Bizzman bila kupata utambulisho wa Kimataifa. Naumia sana kwa kweli.
Hii song imetoka Niko form for jah bless my life mwez wa kumi naowa...hii nyimbo itapigwa inagusa Sana hisia zangu
Nyotaa anikoshaa anposemaa.mkishindwa mrudisheni na mpigeni kwa upande wa kangaa😁😁😁
Ningeweza ningemfanya Kassim awe milionea kwa wimbo huu tu. Naweza kuusikiliza hata mara mia na sichoki.
Mi nimeujuwa Leo Kisha TikTok ndo imenifikisha huku😂 this song is lit
my favorite Singer Asante Sanaa nilimiss radha ya Kilimanjaro Band 😊😊😊
Kaeselion Vidoti mimi pia Nakumic ww
Apollo John hayaaa
anweza kaa kimya mwaka mzima ila akitoa kitu kinakua kitu kizur
km hvo, ucpoteze basi
Kaeselion Vidoti i love this song
NJENJE wamchukue Kassim Mganga atairudisha katika chati yake
Tsawe tamdaiweza 254 msambweni like kama zoteee za kassim
Umeonaeeee
Duh miaka 6 ishapita 😢nyie Umri unakimbia hile mbaya 2023
Kwa kaka kaxm Tonga enx hizo bado anastill vzur weka like yako hapo kama bado unasikiliza hili goma 2020 somo wote oeeeh
mesejiiii nzuriiiii sanaaaaa ladiessss tuchezeeee huku ukitafakariiii ujumbeee huuuu I hope ndoa zilizovunjikaaaaaa ziungikeeee hasa wanawakeeeeeee
lilian boimanda kwel kabisa
Ok
Vizuri may
Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo muziki mzuri hauendi Ila makapi ndio yanayoenda! Sijui tumerogwa!
Hinyimbo inanikusha mbali sana kaka kasimu ngoma zako Kali hujawahi kukosea kaka
NYOTA a.k.a Bi. Riziki mamake Sanura 🥰🥰SANURA series ❤
Kassim hii ngoma mashallah.somo🙏
Old is gold asikwambie mtu kila ukisikiliza nyimbo ndio bado inazidi kuwa tamu👌🏽👌🏽👌🏽
Kabisaa Old is gold👌👌👌
hiyo sauti ya NYOTA ni hatari na nusu mashallah
Daah! Kasim, 😂😂wee kachaw, aseee! M husikilizaga&hufanya ngumu(hiphop), lkn huwa spitwi ngoma ako, 👑 👑
Wagumu wenzangu, hebu gongeni like twende sawa
Niapenda Sana😍
Bonge ya nyimbo na hii ndio ilistahili Views 5M sio hizi za kipuuzi zenye kiki kwenye mitandao.
umeona Eeeh hizi ndio ngoma za madili sio huyo upuzi wa daimond 🤣🤣
umemaliza?
@@yudadaniel4867 😃😃😃👍
Fact
Kiukwl kila ninapo skia hu wimbo namkumbuk best angu ndugu yangu swaleh ulikuwa akipenda usikuiliza nami ndipo nilipo uskia 2017 mpka naleo 2022 nauskiliz kilanimkumbuk ndugu yangu tukiwa wote babati naupenda sana huwimbo wimbo somo
Mziki mzuri na ujumbe safi kwa wenye akili timamu....#Ahsante_Tajiri
Khaswaaa kwa mwenye akil timam anajua nn maana ya hii nyimboo
Yusuph Haji kweli Kabisa bro
Aki mzik mzur "somo" imekuwa somo kwel
kweli sana tuuuuuu
Mashaalah Ujumbe mzuri kabisaa
Hapa Kassim ulipiga... Miaka 100 watakusikiliza
nani anasikiliza mwaka huu mwezi huu..saa hizi
Mimi hapa 😂😂
Huu wimbo jamani sichoki kuusikiliza na kuuangalia, bonge moja la wimbo.
kasimu naomba umpe zawadi huyo mama yaani kaupamba wimbo wako kuanzia uzuri wake na muonekano wake na ameimba vizuri sana. nimempenda sana huyo mama jamani. bg up sana kasim unatoaga nyimbo za ukweli
Kweli kabisa, so classy mashaaAllah ❤️
Yaani huyu mama ana sauti nzuri hadi mwili wangu unasisimka
Pamb san huy mam
Wimbo mtamu sana mashallah
Pambeeee tuuu
lugha iko na wenyewe watu wa pwani, mashallah, Kiswahili kitamu kweli, big up guys, beautiful song. please give us more like this.
Video vixen mzuri kweli mashallah ♥️
Daaaah nimeskiliza hii ngoma ten times, hainiishi hamu, hivi vigoma vya wananjenje kwakweli vimenogesha sana hili goma, brooo umefanya kitu safi sana, Kasim unatuliaga sana kutunga ngoma zako zinafurahisha na kufundisha..... Somo la mwariiiiiiiiiiiiiii..................
Kombination hii ni balala kuna mama nyota sauti tangu na tangu kali Kasim kumetokea kitu cha ajabu sana nategemea More than 5m views
Nyota na kassim mmetisha wimbo nzuri umetulia ukiusikia automatic nyonga inacheza Masha Allah
Ziada Singa umeona eee lazima kiuno kikupe ushirikiano
Ziada Singa kiuno cha somo tena kungwi haswaa sio viono tuvionavyo siku hizi
Nimekuja hapa baada ya kuiskia ktk harusi ya Esma , kassim unajua dah, kirimanjaro band Wana njenje 🙏🙏🙏
Hautaki haraka music uliopangwa ukapingika, maadili haya ndiyo yetu pwani yanapotea, hivi video imenikumbusha mbali sana kuna mpaka kitanda cha TAUSI da zamani sana nimeipenda sana, safi mganga na nyota njenje
Mashallah
Me huu wimbo unanikosha nataman Kila saa niuludie
Tsawee kandaiweza najivunia kua mdigo like kama zoteee za kassim
Hakika hii nyimbo inakonga moyoni
Maadili
Maufundi
Yani kila ladha ya Pwani IPO hapo
Hongera sana bro kassim mganga hujawahi kutuangusha
Bonge la wimbo .Gonga like hapa kama bado waisikiliza
I think i jst found my new favorite song ❤👌
Benigne Uz and favorite singer
aiseee good saana tanga hiyo
Benigne Uz j
Z
Nice
Goma tam ili
2020 anyone?!🇰🇪 representing..classic song
Jj
J
J
Jjj
Jj
wimbo mzuri sana
Somo na mwali kangalauke somo na mwali nenda nae rudi nae mwali wangu kangalauke . somo yake hoyee hoyee , somo wote hoyee hoyee . what a nice song aseeee Best Kassim
naikubali san hyo ngoma aisee!!
DEVOTHA PASCHAL
😂😂😂😂😂
tumekuwelewa wanzanzibari kaka ,,kwa uwo wimbo ,,nashauri mastesheni yote waupige kwa sana uo wimbo
Tunawo angalia tujuane kwa like 😊
❤❤❤
anisemesha kauli tamu ana hila Leo nmekosa kesho nmepata hewalwa..somo ya mwali uko wapi nikutunze ........MZIKI mtamu kutoka kwa tajir....saweeeee tangaiweza
vingoma flani amaizing..
Bila shaka hii nyimbo yangu ya maisha aisee
Mchukueni mkishindwa mrudishenin kwa somoe na nyakanga afundwe tena maneno kuntuje
Wa pwani mambo yakikwetu yako apa wamombasa like plz😍😍😍😄
Nyimbo itaishi kwa muda mrefu.... Hongera sana tajiri wa Mahabba
Nimepata radha ya Kilimanjaro Band mziki mzuri sana mipigo ya kiasili ya mtanzania asante Kassim Mganga pamoja Kilimanjaro Band
Nani mwengine bado anatazamaa hii 2019, the best song ever♡♥♡.
soma na mwali kangalauke somo na mwali nenda nae rudi nae kangalauke , somo yake hoye hoyee somo wote hoyeee
tajir Wang mziki unaudai hela nyingi kassim mziki mzur hujawai niangusha
mambo tng waja leo kurudi majaliwa najivunia kuzaliwa TNG huu wimbo me sichoki kuusikiliza ukifika kwenye kibwagizo naongeza sauti mpk mwisho safi sanaaaa huaga sio mpnz sana wa nyimbo hizi ila huu naupenda sana umenigusa kumoyoooooo
Kali sana tazamia 1 M views mwisho wa mwezi wa feb
Master piece my party starter every weekend
mashallah MASHALLAH kassim bhanaaa umetupa rahaa jamanii nakizungusha kiuno taratiiibuuuu hakuna jasho wala ninii asante nyota waziri mmanyema wa kwetu uko juu na team yoote ya kilimanjaro band mwaaah
wimbo una mahadhi ya pwani raha tupu, huyo mama ameplay part yake vzr sanaaaaa....
kabla ya kulishwa nabebwa naenda koga nae
anisahaulisha nsilete mwenza hapo baadae
nimehalisha namwomba mola nzikwe nae
kitandani hachoshi pia
tukilala anikumbatia
ametulia ajilia vinono vya mumewe
snahlicious
Santa kichuna
snahlicious ateriii sn
snahlicious s
Mmmh kweli analishwa?
oooohh,kassim hukufanya kosa kumchukua Nyota Waziri kwa kweli.angekaa mwingn sijui kama ingekua nzur hivi
My best brother singer, sijawah juta kukufaham broo safi sana na Mungu akubariki sana Mziki mzuri wenye mpangilio wa aina yake.
muziki safi ujumbe safi haswa wanaojua umuhimu wa sooomo jamani
Daaaaaah!!! Kaka tangu nianze kufatilia muziki wako hakika hujawai kukosea kira wimbo utakaotoa ni mkali
kasim hongera tulimis Sana iyo radha
Yusuph Haji mm mwenyewe huwa namuelewa sana
Yusuph Haji
kira = kila
Huyu jamaa ni fundi sana napenda anavoghani ana sauti ya kuimbia
siye waungwana wa pwani unatuwakilisha vyema mno ndani ya bongo flavour hupotezi ladha za naghma za waungwana.....
hakika
Nkiwazia ndoa yng tu naikmbka nymbo hii,,wish npate somo kama huyu,,somo wote ooyeeeeeh!!!
Kassim umetuletea bonge moja ya ngoma...huwa haubahatishi....from HAIWEZEKANI to SOMO ni muziki mzuri zaidi every single timefrom you...AHSANTE SANA kwa good music...hivyo vionjo vya wana njenje ni oooollleeeeeee oollleeee...BIG ONE
Nice
Hii ni mahsusi kwasisi wa mwambao...karibuni Tanga.. #This is Music
dah kwel mzik mtam wenye ujumbe hauchok kuuskiliza, khassim mganga umetishaaa na kilimanjaro band.
Ramadhani Said ametisha kaka
❤❤❤wa mombasa tuliochanganya damu na Tanga mambo yetu haya
2023 coast vibe always lit🇰🇪🇰🇪❤️🤗
Mziki mtamu huu jmn sichoki kusikiliza, kassim nyimbo zako hazichoshi uko juu kaka
Kwa Cassim ni maraha tu big up brother
oyeeee😘
Kasimu unajua na dada nyota
watu wanapenda muziki mzuri sio mziki wenye promo nzuri ukalazimishwa kuupenda
Hamad Dede
Nimeipenda Comment yako na umenena ukweli
Mwari fundi akizungusha mashaalaa mpishi oda ajui kuunguza mashaalah
Daah music unajua xn, talent yko kubw xn, honger xn bro 👏
wasanii wa nyimbo za maana na zenye ujumbe na maadili;cassim
Wale wa Tanga wenzangu ambao bado waiangalia hii mukuje hapa ,,tupia like yako Tangaa raha bhanaa😍😍 najivunia kwakweli kuwa mtangaa
Nzuri
wacha nijisfu somo #kassim umetisha sana
Yani nyumbani kabisa wallah
Mwaari fundi akizungushaa mashallah
Msanii wangu pendwa kassim haya wale wa Tanga tujuane hapa, ila kuna watu wanaimba bhana yani kamziki katama kanapenya hadi kumoyo
Nani bado upo 2018🔥🙌😘✅👌
nzr
fatuma Ababy tupo
Nipo
fatuma
fatuma Ababy wawoo
My favourite song
@2021 still feel goose bumps, the guitar ,the lady's voice, and mwambao theme... damn still good
Natumaini wengine wataiga huyu jamaa nammisi sana
Safi sana muziki mzur ladha nzuri vinanda vizur
Tajir ni mmoja tu 2024
Niceeee song full kkata viuno hapa
chezea ww,hah habhaaaaaa
miziki y nyumban mitamu sna. the kilimanjaro band hwajawahi niangusha