Kiukwelii...CHRISTIAN ungekuwa mzawa Tanzania,,,unastaili kuwa zaidi ya Diamond..... #WatoaTuzoMbadilike... Hata kama si Mtanzania Anastahili kama mnavyowapa kina Diamond
Sina uhakika na ubaguzi! Mimi ni mtanzania lakini napenda sana genre ya Bella kuliko ya diamond. Muziki ni lugha inayojitegemea hata kama we na roho ya kibaguzi vipi muziki utazungumza na wewe kwa vile moyo wako unataka. Napenda sana kazi nyingi za Bella.
KONGORE CHRIS BELLA, UNAWEZAA! SIYO SIRI KILA UKITOA MPYA NI MZURI ZAIDI KWA KWELI MIMI NI MEMBER WAKOWA UKWELI KWANI NYIMBO INA UJUMBE MAHUSUSI, BIG UP MWANANGU
Hizi ndyo nyimbo za kusikiliza na kuangalia sio ujinga unaofanywa sasa hivi, upumbavu mtupu. Well done King kiba na Bella. Nice collaboration. 29 sep 24 hapa chuga. Kwa wadudu.
miye miye dadie mamie love for all kazi nzuri nice i love it hongereni yani mnanikosha kinoma big up sana wadau wote mliofanikisha wimbo huu kutufikia angalau kidogo najisikia nipo duniani
wela welaaaaaaa KING OF MELODIES i appreciate you waonyeshe jinsi mtu anavyopenda kazi kiukweli ndo mana miziki yako inapendwa ni vile unafanya kwa umakini na kagharama kanaonekana kuwa ulijiandaa kikazi zaidi BIG UP BRO.
Yoooooh I'm really sorry. Bcz i don't know really what to comment in this song guys. It looks like he was sing it about my life. ... mwana mboka courage bro.. I always support you wherever you're
Jamani tulio shindwa ku move on gonga like apa tutatoka tu Kwa jina la yesu😏
00bb9kbjkkk😅lkkkn😊j😊de 0😅yi😊y😊9j😊kkuyoyklijko😊6😅ljl😊for n😅😅
Mimi si toki hata kidogo
😂😂😂😂😂😂😂
Aisee kweliii nimeshindwaaa ku move on
😂😂😂😂
Tunaosikiliza Leo 2024 gonga like
Tupo wengi 😅😅
Tupo
Tupo wengi sana❤
Maisha ya ndoa shenzi sana 2024 naisikiliza tenaaaa😢😢
Relax Kila sehem Kuna nyesha
😂😂😂OK tuko wote
Kiukwelii...CHRISTIAN ungekuwa mzawa Tanzania,,,unastaili kuwa zaidi ya Diamond.....
#WatoaTuzoMbadilike...
Hata kama si Mtanzania Anastahili kama mnavyowapa kina Diamond
Uyu jamaa anajuwa
Tatizo ni ubaguzi
Eliazere mwasi boy hawa wa tz sio watu wazuri ni wabaguzi sana tu
Eliazere mwasi boy wenyewe tz wanajua kama wa congo 🇨🇩 ni fimbo ki mziki
Sina uhakika na ubaguzi! Mimi ni mtanzania lakini napenda sana genre ya Bella kuliko ya diamond. Muziki ni lugha inayojitegemea hata kama we na roho ya kibaguzi vipi muziki utazungumza na wewe kwa vile moyo wako unataka. Napenda sana kazi nyingi za Bella.
Tunaoendelea nayo 2024 tusomàne kwa like Hapa
Naipenda xna hii nyimbo ❤
Nani anasema hii kitu haichuji km nnavyoona mimi stiil October 2019
💯💯❤️❤️😍
30.12021am here
KONGORE CHRIS BELLA, UNAWEZAA! SIYO SIRI KILA UKITOA MPYA NI MZURI ZAIDI KWA KWELI MIMI NI MEMBER WAKOWA UKWELI KWANI NYIMBO INA UJUMBE MAHUSUSI, BIG UP MWANANGU
2024 batoto ba two thousand tupo hapa😊
We're here😂😂😂
Bella 2024 🇳🇬🇹🇿🔥🔥
Angejua kabisa ninavompenda sijawahi kupenda
One of the best vocalist Ive heard in my lifetime. You make singing sound so so easy........
A
@@husseinmansoor8005 apppp mom
0:23
kaka Bella tupo kasumbalesa god bless you forever
C. bella 2024 🇹🇿🇺🇲
Yani haina ubishi ww ndo nr 1 Tanzania Wallah Bella unatisha km mvua y mawe
Bella ni habari ingine nchini hapa everibade know
I lv this guy jmn hakuna wimbo hata mmoja wa kwake nsio penda
hata na mimi pia
Ikiwa unashindwa basi rudi kwa yehovah bado anakusubiri umurudilie. Kabisa kweli.
September 2024 let's go guys
Oya wee nipo na wewe leo haina kupoa🎉🎉🎉
mwenye kufahamu jina la huyu binti mnenguaji mweusi mrefu anitajie...
adeladius makwega 😀😀😀😀😀😀
Wapo wawili hapo
@@masoudngunde6378 huyu 0.18
@@angelchibalonza8416 mbona wanicheka naomba jina la mnenguaji huyu 0.18
Bella aache tu jamani jamani unakwama wapi andaa mafestival yako
My favorite song, who's still listening 2021❤️❤️
Best of the best
And now its 2022 still cqnt replace it from my fav list❤❤❤
dah! christian bella we mkali sana babaa nakukubali sana nashindwa kujizuia kukupenda
Anafunga virago hataki kusema....Daaahh 2023 still km imetoka jana keep it up!!!
Hii ngoma kali 2020 weken like hapa
Bela umepotelea wapi tushakumbuka ngoma zako
watu wengine hawana Akili nyimbo za maana kwao ndo hatari pole sana najua tatizo
While namkubali Diamond. Ila kama wangesema TZ abaki msanii mmoja, King Masauti Bella ndo angetakiwa kubaki.
Bela uko juu
2022 ngoma Bado inagonga moyo wangu❤️ huku nachekecha kiuno taratibu!! Ni balaa
Xaxa nije nishike icho kiuno
Bella wewe ni mwamba
huyo dancer au model ?? nimemuelewa sana ..
Bella u're still the best 😍😍😍 happy New Year to everyone🤗🤗🤗 01 January 2020🔥🔥🔥🔥
It’s 2021 dude
Nime zama kutoka sasa nashindwa.angeju vile ninavyo mpenda wala asinge ni zuzu.bonge la ngoma
Still listening my favorite song 2022🥰♥️♥️♥️
Hii nyimb jmn 😘😘
We baba utantoa roho jamani unavoimba! Napokua namawazo napnda Sana nisikilize nyimbi zako.
Uko juu brother,kwa nyimbo zako unampidhani kwenye mihondoko hii
bella we mkali kaka
zaid ya kujua christian NAKUKUBAL BRO MZIKI WAKO mzur
Christian Bella yupo vizuri na nyimbo zake ananikosha nafsi
huyu jamaa hashikiki.. bella ni noma, jamaa ni fundi
Bella ni shdaaaa
Nakubali sana Christian bella Niko Canada Toronto nakupata miya kwa miya
Hizi ndyo nyimbo za kusikiliza na kuangalia sio ujinga unaofanywa sasa hivi, upumbavu mtupu. Well done King kiba na Bella. Nice collaboration. 29 sep 24 hapa chuga. Kwa wadudu.
Bella please kaa chini na KIBA muandae moto mwingine.... Sauti zenu ni mo fayaa
miye miye dadie mamie love for all kazi nzuri nice i love it hongereni yani mnanikosha kinoma big up sana wadau wote mliofanikisha wimbo huu kutufikia angalau kidogo najisikia nipo duniani
Christian Bella nisame ina sisimua tena mashabiki uku🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Back then had my stud doc girlfriend 😅😅😅 kalikuwa kanataka kenyewe ndo kabembelezwe tu. 2016 au 2016
dah bela ni mkali tisha xanaaa kaka unajua kucheza na radha tofauti za mziki wa dansi. saluti.
Yaani nikisikiliza melody ya wimbo huu I feel like crying, Christian Bella Unqjua kulalamikia penzi, love you mingi mingi Brother
Lameck Dotto, brother unaweza, tungo nzuri, sauti umepangilia sawa sawa, mdundo safi, location safi, ❤🎉🎉🎉
Dancer mwenye black. Ananidai. King of melody respect
Un jour Nako linga bo beta na Mareshal DJ un congolais aussi qui bouge la Côte d’Ivoire 🇨🇮
videos ipo poa sana na nyimbo pia ...hongera kwako christian bella
mwitee ferringula kutoka kongo muje mfanye music ya kutisha, namjua ni mjuzi wa musiki vizuri
Ferre Gola
Wew n wangu mim wako mpenz wangu ebu punguza marngo nakupenda mpenz wangu,,, dah belaaa uko juu knyama brother, unaweza sanaaa mungu akubalki broooo
juma kayumba wa BSS brought me here keep it up bella
wela welaaaaaaa KING OF MELODIES i appreciate you waonyeshe jinsi mtu anavyopenda kazi kiukweli ndo mana miziki yako inapendwa ni vile unafanya kwa umakini na kagharama kanaonekana kuwa ulijiandaa kikazi zaidi BIG UP BRO.
Christian bell sauti yako naikubali kupita maelezo, sichoki kukusikiliza. Hongera sana
One of my favorite songs of the moment...... keep it up dude .
Kutoka sasa nashindwaaa!
Hatar
nashindwaaaaaa duh bonge la muvie bonge la song.
Siwezi hata siku moja kumuacha Esther Wangu ❤️
Unajuwa. Kwa nini hutunzwi TZ?
Wewe ni wangu Mimi ni wako punguza malingo kweli ww kiboko ya wote Mimi nimemalizika
Bella we ni kioo wengine waache wajitazame tu.big up bro
Sijui unakwama wapi,labda groups,uko vizuri sana
Aiseeee tunzo wapewe ila uking wa melody wakuachie we ni nouma
Othuman Massanja nice
Nice songs boy 😍😍😍😍😍
Koffiolumide
Wimbo mzuri.....mchanganyiko wa bongo flava na bolingo....."u ali kiba" flan hiv.....!
Nashindwa _ _!!! Nashindwa_ !!! Nashindwa _ _ ! kaneno Mapenzi _ _! Nakubali hapo Hongera Sana Mr Bella
Hio guitar na drums, duh! Matata! Lingala, rhumba, taarab na bongo all in one track! Viva!
angejua kabisa ninavyo mpendaaaa .....wimbo mzurii
Oyo eza kitoko🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇬🇨🇬🇨🇬
king of melody,mm umenifumba cha kusema b`coz kazi zako zinajieleza kwa kila mtu, one love brother.
Wimbo mzuri na video pia ni nzuri beat pia imefanya niupende zaidi.
Bella upo juu sn hongera kw kz nzr ila rekebisha uvaaji wa suruali zko cz haiko vzr
for real namkubali sana christian bella.Binafsi namvisha ufalme hapa ugenn.
Yoooooh I'm really sorry. Bcz i don't know really what to comment in this song guys. It looks like he was sing it about my life. ... mwana mboka courage bro.. I always support you wherever you're
Adam Juma huna jipya .
This is a really good music, however this video didn't do this master piece justice. One love from Nigeria
Mbona kama unanionea kwanini kila siku unanionea
Hongera Sana Christian Bella.Kende liboso yaya!
This hit 😍✨
Kill music awards waachie mzee baba ila mfalme wa hii' kitu ni wewe asikudanganye mtu
Bellaa @christian bella. Tunataka melod hii uimbe bana
Best vibe from bongo....congratulations Christian bella. Nairobi tuko rock....Alvin
Christian bella you’re my favorite 🎶 come back in game plz plz plz usiache pengu my bro 🇧🇮🇺🇸🇷🇼🇨🇩🇿🇼🇺🇬
Bellaaaaaaaaaaa hatari kaka noma unatisha kama njaa hakuna nakubali kaka toa ngoma nyengine na cassim au kiba ni balaa 😊✌🏿️👊🏿
Bella unatisha nyimbo zk nzuri sn nazipenda sn.
Tunasepa nayo 2022 good job♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Kk Bella kinomanoma kutoka moyoni nazielewa kazi zako sana
Kazi mzuri bella. much love from +254
Where is Christian Bella? Since 2015 umekimya sana
Bella we ni nyoooko,na huyu aslei quine wako mwenye top na tite nyeusi ni noumaaa
Nimezidi kukuelewa kuwa ni king of melody
Naipenda sana, hasa jinsi mlivyocheza mm kwisha kabisa
I keep listening to the song. I can't get enough of it!!! Keep it up!!!
yeah
Huu mziki ulifunika pamoja na ule wa mama
Aisee bro we ni mkaleeeeeeeeeeeeee ile mbaya! I like your songs, makes me happy.
Dah wewe kiboko yao unanichanganya na ngoma zako Bella
Excellent son ! vraiment il me rappel les bons sons des années 80 des grands Papa Wemba et autre ..Magnifique
Exactement ! Quel bonheur ❤️
Ghafla tu anafunga virago namuuliza hataki kusemaaa..😢
truly speeking christian bella you are only you
well done bella ! hao dancers noma hasa aliyevaa black dahhhh , hongera bella .