Lugha ya kiswahili iliyosukwa kwa urari wa vina na mizani,utunzi wa kisanaa wenye kusadifu maisha ya pwani na mapenzi thabiti ya waswahili @HII YAPATIKANA TANZANIA PEKEE🇹🇿🇹🇿
Mbosso autaki tupumue kabisa yani duh huu moto sio poa kabisa ila yote kwa yote umetisha sana king of love ❤ gonga like zifike 30 tu zinatosha WCB for life 🔥🔥🔥
Kuna wasanii wanao sababisha watu tuzidi kuupenda mziki kama hawa @mbosso, simbaaaaa,vannyboy,lovebite,zuchu ndipo sasa wengine wanafata@swahili nation#WCB4LIFE❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Ngoma mbili zimeachiliwa siku moja (Your love ft Liya and Tulizana ft Njenje🔥) i can believe it Mbosso Khan is the king of love songs, Afrika Mashariki tujuane kidogo 👇🇹🇿🇹🇿🙏
Just Go And watch thise Original version th-cam.com/video/PZuQeU5x81U/w-d-xo.html You can thank me later,You can feel that lady real voice on his prime Very legendary,G.O.A.T song
Kaka nimeangalia Video zako za muziki karibu zote. Naomba tusipuuzie kwamba unajua kuigiza (handsdown) Uko vizuri. Natumai siku moja tutakuona kwenye tasnia ya filamu pia.
Mbosso , Wana nje njena na Diamond tunashukuru kwa kuwa sehemu ya kuifungua Dunia . Nimependa kipande mnachokula tikiti pamoja.Kula raha sasa ukisha kufa ndio basi tena.Kwa Mungu HAKUNA kwichi kwichi.
You work really hard. Actually, you're the most hardworking wasafi signee currently. Shooting videos to almost all songs in your album is not an easy thing.
Pure Swahili from Tanzania is sweet❤🌷,,my fellow kenyans we have spoiled swahili with our sheng😂Thats why gengetone(a genre which heavily uses sheng) is dying &Bongo music(a genre that uses swahili in its sweet purest form) is blooming like a flower🌷
Lugha ya kiswahili iliyosukwa kwa urari wa vina na mizani,utunzi wa kisanaa wenye kusadifu maisha ya pwani na mapenzi thabiti ya waswahili @HII YAPATIKANA TANZANIA PEKEE🇹🇿🇹🇿
Haswaa kiukweli
Ahsant mzee baba
Umesahau pia 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪ukanda wa pwani
Apumzike kwa amani Waziri kumbukumbu nzuri ...kitu kizuri ulifanya mboso khan
2023 liké kwa mbosso 🎉🎉
Mbosso unajua bhnaa mpk unakera
Mbosooo umetuamuliaje jamani🔥🔥254 Representing🇰🇪🇰🇪
Parody
Daah Leo amedrop two machines at the same Day 😅😅
Mbonge after mbonge
Hivyo ndio inafaa!!….KWANI NI KESHO!?😁😁🔥🔥
Ayeeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
Daah! Mbosso habahatishi ❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 if you agree give me a thumbs up👍
TUNATAKA COLABO YA NYOTA WAZIRI NA HADIJA KOPA AU ISHA MASHAUZI, ITAKUA BIG DEAL
Nina Iman Sana na wewe mbosso hukoseagiiiu
Saf sana kaka' we ndio UMEBAKI kufanya mziki wengine hao matahira wamekalia KIKI....#kazkazkaka
th-cam.com/video/r8lOCLdUMmw/w-d-xo.html
Kwel kabsa
ukute kuna kenge wengine wanasema mbosso anabebwa na lebal ivi nyie mziki mzur km huu jmn khaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbosso autaki tupumue kabisa yani duh huu moto sio poa kabisa ila yote kwa yote umetisha sana king of love ❤ gonga like zifike 30 tu zinatosha WCB for life 🔥🔥🔥
Ikienda mrama.....ikikwamakwama.....bongo 🤗
Mbossssooooooooo ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Much love from Kenyaaa a... Wakenya show some love
Fanya kama unapitia kwa Channel yangu tupike na tuwe marafiki😍😍😍😍
Kuna wasanii wanao sababisha watu tuzidi kuupenda mziki kama hawa @mbosso, simbaaaaa,vannyboy,lovebite,zuchu ndipo sasa wengine wanafata@swahili nation#WCB4LIFE❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Ngoma mbili zimeachiliwa siku moja (Your love ft Liya and Tulizana ft Njenje🔥) i can believe it Mbosso Khan is the king of love songs, Afrika Mashariki tujuane kidogo 👇🇹🇿🇹🇿🙏
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
Kali sana hii mbosso khan
@@franklinus7421 kabisa but unatazama ukiwa wapi bro
Pumzikeni kwa amani wazee wetu wa Njenje, mchango wenu Mboso ameuendeleza. Gonja like kwa wazee wetu 💕
Kwani wamefariki au wapo hai bhan
Rehema julahé
Wimbo mtamu sana,, memorial for Ally waziri..continue resting in peace
Noma Sana nakosheka kwa roho
Mbosso is a Poet. He is currently the BEST EAST AFRICAN MUSICIAN.
Vp
Sure 💯%
No dought
We go with "lyrics" here in Kenya 🇰🇪that's why we call him "best"in WCB..Mbosso crush wa mashirima Kapombe 💞
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
th-cam.com/video/r8lOCLdUMmw/w-d-xo.html
Eee Bhana Hii nyimbo ni kali hatarii aisee respect Brother Mboso
That lady's voice gives me hints of how angels sing in heaven
Not even close brother.
Just Go And watch thise Original version th-cam.com/video/PZuQeU5x81U/w-d-xo.html You can thank me later,You can feel that lady real voice on his prime Very legendary,G.O.A.T song
Hahahahaa thank you
th-cam.com/video/8TKd-KyQDWI/w-d-xo.html
She is legend that is remix
Waaaaaaooooh!!!! Ni nyimbo nzurii mnoo daaaah!!!! Inanikumbusha mbalii sana hiii nyimbo zilee kabla ya Simba
That vixen is a whole vibe. The way she is looking deep in mbosso's soul is making me jealous.
she is real
Absolutely true
someone knows her name?
@@alain2139 did you ever get this answer?
She is a great actress
Aiii mbosooo unajuaa unajua unajuaaaa tenahh
Mboso is Kenyan and everyone is okey with that.
Mbosso is Ugandan 🇺🇬 and everyone is okey with it
@@fahadnani Because UG is part of KE and we are okay with that
Mbosso is east African and everyone is okay with that 😂😂😂😂👑
@sammy kibiku🤣🤣
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
DAH! NYOTA WAZIRI YAANI SAUTI BADO MBICHII! MASHALLAH MUNGU AKUPE UJASIRI WA KUENDELEZA MZIKI WA MFALME WA NJENJE WAZIRI ALI RIP 🙏
MBOSSO KHAN MSHEDEDE UMEAMUA KUTUKOMESHA......ASANTE LOVE FROM 255
Tulizana mpenzi Tupendane🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbosso never disappoint in love songs..🥰🥰🥰💕💕
🌹🌹
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
acha kuimba staili moja
Kama kawaida ya Mbosso ngoma nzito na kila ikipigwa haipasuki
I have really waited for this video. So sad we lost Waziri. May his soul rest in eternal peace. He will be dearly missed.
umetisha mbosso, sjui kwnn ila ww unajua kuimba sjaona aisee
R.I.P WAZIRI, THE DAD CHARACTER! 🙏🏾
RIP.
Mbosso DR .LOVE ....
WEWE Ni GWIJI WA MISTARI
AAAH !MOLA AIBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO 💕
Reprenting KENYA
Wapi upenzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 🇷🇼🇰🇪🇺🇬🇸🇸🇹🇿🇧🇮 ?
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪TWAKUPENDA
Haujawahi koseaa fundii💯💯💯💯💯💯💯💯
The king of Bongo music. Mapenzi huniwia na ladha zaidi kutokana na zinga lake Mbosso.👏👏👏🥰
Kama umeona mobosso akikimbia kila akimuona baba na panga nipe like shirini 2020😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂☺️☺️☺️☺️☺️☺️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
My favorite in the whole East Africa. Mbosso you've done it again yawa. A real lyricist, poet tosha! Twataka show huku Kenya ♥️🇰🇪♥️🇰🇪♥️🇰🇪
Kama wakenya tumekaa kubaliana Kwa kauli moja kuwa mbosso ni mkenya
Ni kazi juu ya kazi WCB4LIFE
I actually love you mbosso,
Aki walai bapenda hii wimbo
Iko moooto
I love this vibe💯💯 ..mbosso is like kenyan our own ..nipeeni likes za mbosso
Kaka nimeangalia Video zako za muziki karibu zote. Naomba tusipuuzie kwamba unajua kuigiza (handsdown) Uko vizuri. Natumai siku moja tutakuona kwenye tasnia ya filamu pia.
His whole album is 🔥
Kwanza line ya Sura ya Kisomali Shepu nyama nyama tele🤣🤣
Mashaallah
th-cam.com/video/Q6gDWf1AdbI/w-d-xo.html
Tujenge sanam lako hapo mpakani wa Kenya na Tanzania kwajili ya kumbukmbua bingwa wa mahaba nakuoenda ww kaka aiiiii❣❣❣
💕💕 awww mbosso did it again...
Love from Kenya
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
Mboso Khan mshedeeeee ⚓🙌🧨🔥📌⚡
Nyimbo nzuri tumpe like nyingi iende trending tuwatoe wengine
Unaweza kaka
Wait what? 🥺Mbosso umeturudisha to the roots, zile enzi yaani, like if you agree
Kazi safi na tamu. Mbosso ni hatari giza liingiapo
Ikienda mrama isukumie
Mbosso wacha uzungu kabisa tulia kwa hi style ,iko sawa
Video vixen mzuri kweli alaf kachangamka hatari😘😘😘😘😘wimbo mkali sana jamani nimrydia zaidi y mara mbili#
One of my favorite song from mshedede mtu mbad......u never disappoint. GOD BLESS U..LOVE FROM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kilungi👑👑👑
This son show how the Tz’s love how it gos with respectfully. Our family’s love ❤️. TZ forever
th-cam.com/video/Q6gDWf1AdbI/w-d-xo.html
Hi
Napenda uswazi style...Mbosso is their King
I like the fact that you continue to sustain the taarab element in your music and aslo sticking to what we love Bongo not what we are hearing of late.
Rest Easy sir Waziri...Mama sauti mubashala kbs🙂
Haya ndio maisha yetu.
Simple and plain
No extravagance or fantasy
sikukosea nilipochagua mbosso kama mentor wangu maanake kila nyimbo yee hukill kabisaa,,big up mbosso my mentor
It's just a matter of time. Mbosso will be the king👑👑👑
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
To me he is already a king on his own empire..he has built his own empire and he is doing gud always..
@@farkafarida313 credits to people who made him big. He was in yamoto band and aslay was a big deal than mbosso. Where is aslay now?
Kila nikitaka kusifia ngoma hii imesifiwa lakin mboso umenimaliza
Bila kudanganya I can listen to mbosso songs 24 hrs... Love this guy
So hot 🔥haupoiiiii mbosso kama mboso huku hunaa mpinzaniiiii kaka wabuluzeeeeee
Noma hii! Napenda sana hizo drums! 254 loves you
Mbosso , Wana nje njena na Diamond tunashukuru kwa kuwa sehemu ya kuifungua Dunia . Nimependa kipande mnachokula tikiti pamoja.Kula raha sasa ukisha kufa ndio basi tena.Kwa Mungu HAKUNA kwichi kwichi.
I just love mbosso no matter the konshikwenshe, rigardiress of the sitiweshens nor the sikamustances 😊😊💪❤️❤️❤️
Mbosso mkali wao wa malavidavi tanzania mpya, nakukubali sana,#twaulizana mpenziiiii tupendaneeee... tamu sana.
Rest In Peace Waziri Ally
Kafa lini waziri?
@@farhenfaris88 kama week 2 zilizopita
producer 👏🙌
Another one ...💥💥💥 imekuwa ajee Leo ukadrop two songs at once 🔂
Mbosso is simply the best, Amechukua nafasi ya diamond platnumz wa kitambo sijui now days anaimba nini! #kamata
Wimbo mzur nimeipenda Mbosso fans gonga like 🇹🇿
Mbosso nakushauri mauzo ya hii nyimbo kama itakupendeza yapeleke kwa Mke wa marehemu Nyota Waziri kama njia ya kumuenzi mfalme wa Njenje Waziri Ali
Who else agrees that mbosso is such a poet💯❤️
Location n Tanga moa na vuo wilaya ya mkinga hongera director kwel kaz inafanyika
Eish....already in love with this song.lots of love from Kenya😍💕
Ayeh th-cam.com/video/qjXNoDVF89E/w-d-xo.html.,
Mbosso unajua sana
Best Vocalist, Best lyricist, Best Melodies... Best music artist in Africa 🙌🙌
Hiki ndio chuma kilichobaki WCB hakuna kama hyu pale getto mamae
Did you know apart from singing you are also a very good actor?? The actions and words really rhyme...lots of love Mbosso😘
mbosso ni hatarii hujawahi kukosea na wcb wote nawakubali sanaaa na hao kilimanjaro mmekutana wote mnajua
You work really hard. Actually, you're the most hardworking wasafi signee currently. Shooting videos to almost all songs in your album is not an easy thing.
imeweza
Pure Swahili from Tanzania is sweet❤🌷,,my fellow kenyans we have spoiled swahili with our sheng😂Thats why gengetone(a genre which heavily uses sheng) is dying &Bongo music(a genre that uses swahili in its sweet purest form) is blooming like a flower🌷
th-cam.com/video/r8lOCLdUMmw/w-d-xo.html
Well said,
mambo ya sheng achia watu wa sheng we kaa ukijua ngumi ni mbewgze na uwache uwaganis saawa?
@@mohamedtahlil5891 hhhhhh
@@mohamedtahlil5891 Nitakufinyaaaa
Shairi kamilifu. Muziki safi kabisaa
Banger after banger 🇰🇪
Fundiiii mboso
Mbosso anaweza kukufany uone haupo kwenye mausiano bali kikundi cha maigizo tu 😂😂
Eeeee bwana eeeh asee umesema
Safi sana kaka nmeikubali tena kw mwendo kasi from+254
Lovely thats all i can say . He brought the sweet old back to life !! Was young then ndani ya Mombasa
Kali sanaaa
Rest in peace legendary, Mbosso umefanya kitu hadimu sana
Mbosoo hapa kwetu Kinshasa tunasemaga wumela
Karibu king poo tv kupata habari za wasanii woooooooteeee tz na nje ya tz uburudike
Mapenzi matamu jamanii 🔥🇰🇪
Best Album of the year DIVINITION OF LOVE 🌹🌹
Tulizana mpenzi tupendanee❤️❤️