Rahma, wimbo mtamu. Ahsante sana kwa huu wimbo, Chidi anafanya mambo yake hapo kwa ustaraab, habahatishi, shukrani sana Rahma, Ila tunasubiri kwa udi wimbo mpywa kutoka kwa wana Nakshi Nakshi
hili jimbo limenifanya nimepaki gari pembeni ya barabara na kuanza kucheza hatari sana motooo unawaka mm nawakubali sana nyie watu mnatufanya damu zinatembea kwa ufasaha roho inasuuzika toeni na mengine zaidi mashabiki tupo
Saaaanaaa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
bila shaka funzo la maisha, mwanadamu yeyote hakosi kupitia ila subira,napenda taarabu.
Kila ninalolipitia yote mipango ya mungu, 💖
Sitokata tamaaa,nitafanikiwa tu bila shaka✊🏿
masha Allah👑
Ahsante sana his balaaaa
Kuna taarabu sijuw kaimba nani najuwa kipande cha maneno tu,,,kinadema SITACHOKA KUWALEA WANA NAOMBA PLZ
Ahsante sana wng huu wimbo ni balaaa sana
Haya yote yapo kwa kitabu cha muhubiri kwa Bibilia. Hongera dada.
Ahsante sn na upo sahii
Nimoto pongezi kwa naksnaks wote ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsante sana shukuran
Kwenye uzito wepesi niwekee nice song Rahma unajua kuimba dogo langu
Hatar sn palipo na kiza taaa niwashie balaa sn na shukran sn
Ahsante Rahma mamaa la ukweh kujiamini ndo zetu Penda sana.
Ahsante sn wng shukrn
Rahma unaweza mama kaza buti
Ahsaante sn my dear
Kama subra nnayo imani imenijaaa jamani nyimbo nzuri sana big up sana Nakshi Nakshi from🇧🇮🇧🇮
Kupata kukosa ndo ilivyo hakuna alo shujaaa ahsante sn sapot ndo kila kitu inshallah
mshallaaah uko vizuri bibiee
@@mtinangially5508 shukuran sana
Nakupenda mwimbaji da fet mungu yupo pamoja nawe
ahsante sana twakupenda pia
Hongera sana dada kwa uimbaji wako ,kweli mtu huwezi kukosa milele❤❤🙌👌👌
sahihi kabisa haiwezekan
Wapi kelele ya rahma ake,number 1 from kenya
Ahsante sn wng watu weweeeeeeewew
@@nakshnakshmoderntaarab karibu sana
@@husnahomar5133 pamoja sn
Wewee
Ni sheeedah
Uko vizuri,, ongela
@@MarryFabian-s9t ahsante sana
Kila linalonifika mipango ya mungu na linalonifika pia mipango ya mungu 💃💃💃
sana ndo ipo ivyo kwetu sisi waja kila linalolufika ujue ni mipango yake allah
Siwezi kukosa milele...nyie mupate daima 🥰🥰🔥🔥🔥
Naaam ndo ipo ivyo
Rahma, wimbo mtamu. Ahsante sana kwa huu wimbo, Chidi anafanya mambo yake hapo kwa ustaraab, habahatishi, shukrani sana Rahma, Ila tunasubiri kwa udi wimbo mpywa kutoka kwa wana Nakshi Nakshi
Ahsante na inshallalh muda sio mrefu utaisikia wimbo mpya wa Rahma machupa
Mungu akutangulie ktk kazi zako maana unajua sana kuimba rahma mungu afugue mlago ktk kaz yako rahma
Ahsante sn kwa uwezo wake Allah inshallah
Rahma my namesake huu wimbo umeniingia Masha Allah 😍
Ahsante sn nashukuru kwa ilo pia ahsante kwa sapot yako
Kama subira minnayo Imani imenijaa kupata kokosa ndoilivuo hakuna aloshujaaa
Sana hakuna haloshujaaa mungu ndo mpangaji wa yote
Mungu akuona dada wa meseji ulio watumia watu nimeguswa na wimbo wako
Ahsante sn sisi kazi yetu kufikisha ujumbe kwa Jamie kwa njia ya miziki
Keep it up, this song the msg is powerful
Dada asante Kwa nyimbo hii nzuli san nakupenda sana dada rahim
Ahsante sana mambo mazur ayo
Umejitahi.nyimbo.nzuri.naksh.nakshi.moto.umetisha
@@AliMasudi-mc2sj ahsante sana
Pambe 😍umasikini sikilema
Kbs kbs ni jaala yake muumba bhana
Pendaaaa xan rahma machupa umenitekaaaa
Anasema ahsante anakupenda pia karibu sn naksh naksh modern taarab
Kaza buti unakuja vizuri big up
Ahsante sn kaz kaz tu inshallah
@Nakshi nakshi Modern Taarabu Hongera Kwa Nyimbo Nzuri Sana Nimeipenda Hongera Kwa Mtunzi Na Muimbaji Pamoja Na Mpiga Kinanda Yupo Safi
Ahsante sana tunashukuru na tumefueahi sn sapot yako muhim sn ili naksh naksh tufikie marengo inshallah
@@nakshnakshmoderntaarab Tuko Pamoja Sana Wapendwa Katika Kuwaunga Mkono Kikazi
Ahsante sana
Ndio Mambo yangu
hahahhahahaha haya bhana enjoy burudani
hili jimbo limenifanya nimepaki gari pembeni ya barabara na kuanza kucheza hatari sana motooo unawaka mm nawakubali sana nyie watu mnatufanya damu zinatembea kwa ufasaha roho inasuuzika toeni na mengine zaidi mashabiki tupo
Dah ahsante sn ndg yng nimefurahi sn yani mungu akujalie na pia usijal mengine mazur yanakuja zaid ta aya tuombeane uzima tu inshallah
Nakukubali sasa rahma machup wimbo pambe sana
👏👏👏👏👏👏
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bonge moja la song.namkubali sana musa mipango baseee.
Kazi kazi tu
dda Hongera sana
Ngoma Kali sana ❤❤❤❤❤❤
@@AllyMilunda ahsante sana 🙏
Maashaallah wimbo mzr sana
Shukran sn wng 😙
Hapa umeuwa kwa kweli, muziki una radha zote aise. Tamu sana hii. Umenikumbusha wakati taarab imeteka soko la tanzania.
Ahsante sn tunashukuru tunaomba endelea kutupa sapot inshallah
Wewewew mh xongi tamu
Ahsante sana enjoy
Tamu sana hii🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsante sana kula raha
Nimeikubari
Hii taharabu mashaallah 2024❤❤❤
@@MwanakherKhalifa Ahsante sana
Ukweli hayo mtupu✌✌✌✌
Ahsante sana
Nakshi Nakshi hoooyeeee!! Rahma Machupa penda weweee sanaaaaaa!! Very lovely video nice song pia ,, big up guys
Ahsante kwa niaba yake na inshallah kwa uwezo wake allah
Tumeenda national Eldo juu wimbo huu
@@TruphosaArara ahsante sana
Nampenda mnoo dadaangu rahm@ a.k.a messi km mess nakupenda mnooo my dada
Ahsante sn nakvpenda pia ndg yng sapot kaz zetu please
Sis uko juu,i lyk this song yani imenigusa mpka ndani ya roho
Dah pole sn pia shukran kwani ndo kaz yetu wasanii kufikisha ujumbe kwa njia ya muzik
Mm napenda wimbo umfikie mke wangu wa pili
Hahaha haha dah hatar kwel inshallah umemfikia hahahhaha
😂
@@ashamapembe6273 hatar sn
Huu wimbo siishiwi hamu kuusikiliza upo saf sana
Duh ahsante sn kwaiyo muda wote unataman usikilize tu
Waooo umaskin sijauwomba
nijaaala yake muumba
Pambeee una baya dada❤
Ahsante sana
Asante sana udugu Wang mie
Ma sha Allah tamujeeeee
Ahsante sn
Unanikosha rahma
Jimbo lipo fresh sanaaaa pambeeee hatariiii
Ahsante sn wng
pongezi kwenu kawimbo katamu hatariiiiiiiii😘
Ahsante sn wng shukran pia
Hongera sana nice song
Shukran sn sn
Amani iwe kwako my choice
@@ashuraomary-rx7yc shukuran sana
Uko sawa mungu akuinue,
Hahahhahaha inshallah kwa uwezo wake allah
Upo vizul dad yk
shukurani sana kwa niaba yake
Nampenda uyu pia sana. Maneno yakeee jamani
Ahsante sana
Songi tamu sana
ahsante sana
Naipenda sana sichoki kuangalia
Ahsante sana kwa sapot yako
Mumeweza.....igwee....safi Sana'a....jikazeni mutafika mbali....
Ahsante sn pia shukran kikubwa dua
Kabisa yani
Ahsante sana
kazen kamba nakshinakshi munakuja poa aki mtafika mbali in shaa Allah.
Ahsante sn na inshallah kwa uwezo wake Allah shukran sn
Nyimboo nzuriii ❤❤
Ahsante sn tunashukuru
Rahma wajua Dada inshallah mungu akuongoze ufike mbaliiiii
🤲🤲🤲🤲🤲🤲!!!!!!
Inshallah may sapot yenu ni muhim sn ili tufike mbal na marengo yatimie
Nikisiliza huwa na farijika sana
Penda sana wewe nyimbo mashaallah
Ahsante sn
Mimi Kevin otieno upenda taharab hiko sawa
Ahsante sana Mtaalam Otieno
Rahma uko vizuri maa.
Ahsante sn
Shukran sn
Ujumbe jwa wote wanafki Waco penda mafanikio ya wenzao
Umasiki.si.kilema.umetisha.
Umeona eeee
Sina gari🚐 wala nyumba🏡Nina pumzi nahemaa🙏🙏
Sana ndo kitu muhim kwenye maisha yetu
Wadunia wimbo uo
ahsante sana
A encouraging song
Napenda
manshaallah song limenikuna sana
Ahsante sana
Jamani uno wimbo mtamu atariiii
Shukran sn wng pia ahsante kwa niaba ya bend nzima ya naksh naksh modern taarab
Personally i tested it n said so sweet love the songs of the mtoto mreeeembo
Ahsante sana
Atari Sana naipenda huu wimbo
Ahsante sana
Mauji & chidy boi & rahma machupa messi & nakshi nakshi mko vizur plus mtunzi
Ahsante mtunz ni father mauji pia shukran kwa bend nzima tunaomba endelea kuisapot naksh naksh
Wimbo mtaaamuu
Ahsante sn kikubwa sapot tu
Safi sana vijana wangu
Pamoja sn mkuuu
Mashaalh kz da Rahma taarab mzr mno
Mashallah pambe penda sana mm
Shukran sn sn
Beutiful
Penda sana rahma
Ahsante nakupenda pia
Nkwl
Kabisa
Wimbo mzr sana
Ni balaaa aiseeee
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌♥️
Nice one
Ahsante sn
Wimbo mtamu
Ahsante sana enjoy
Bass haya
Pambeee mmy
Ni sheedah
Nnapumzi nahemaa 🙏
Taabu marimu hamisi
Hatar sn hii kitu
nice song
Very nc
Ahsante sn
Quelle merveille tout est parfait j ai toujours adoré l artistes ❤️❤️❤️
la beauté de l'artiste est adorable mon ami
@@jumaomulubi8887 je suis entièrement d'accord avec toi
@@idriceali2740 Ironiquement, je l'aime😍
tarabu
Merci beaucoup mes amis, que Dieu vous bénisse, ne vous lassez pas de visiter notre chaîne, il y a de grandes choses à venir.
Mashaallah 🤲🤲🤲
Ahsante sn
Dada 😍😍😍😍😍😍
Hahahahahha aya dada angu kipenz
This is Tanzanian music. In this country, there are three types of music: TAARAB, BONGOFLEVA and DANSI (TANZANIAN SOUKOUS).This one is a TAARAB song
Dah shukran sn brother
Also we have singeri music
ahsante sana
Pamoja sn
Marimu hamisi
RAHMA MACHUPA ndo ameimba
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
😍😍
Shukran sn
Jamani video ya nyimbo ya hamsemi yqkaisha bado haijatoka tu
Bado ila muda sio mlf itakua tayar
@@nakshnakshmoderntaarab OK naisubilia kwa hamu sana yaani jamani