Duh! Roma ni noma. Lisaa limoja watu wamealikana. Mi nimefurumushwa twitter mpaka TH-cam. Yani huu wimbo kesho # 1 kwenye trending hutaamini. Gonga like kama na wewe umeibuliwa kuja kusikiliza huu wimbo.
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara 20 lakini sijaumaliza. Kila nikifika verse ya pili naanza mwanzo tena yaani kwa jinsi ulivyo mzuri. Haya mashairi ni hatari. This is what we call rap and hip hop.
Yuda usimwaribie Dani kumfurahisha mtukufu, sisi wote wanao kwanini unampenda sana Yusuph... aisee🙌🏽 kama umesikia na kuelewa hapa acha like tu.. UONGOZI NI KUACHA ALAMA❤️ #vivaroma🗣 Naaaaaniiih wakumnyamazisha🔥🔥🔥🔥... aisee dude kali sana hili🔥
@@margarethalyimo5475 ✌✌✌TATIZO WABONGO TUNATISHWA SANAAAAR, Ukitaka kuwa mbaya na uine maisha imekuwa ngumu kwa upande wako wewe Jaribu Tu kudai haki eneo lolote lile lenye walioshikilia nyadhifa.
"yudo, usimuharibie danny, ili umfurahishe mtukufu, sisi sote wanao kwanini, wampenda sana Yusuph" Aliyesikia hii kitu inamuhusu rais wa dar, like hapa.
@@sebajosephat1861 huyu bear ni mtu mbad hii sound na beat mnaiyonaje wazee wangu na enjoy huu mziki niko na mkatoriki begakwabega tunakaba man to man toka mathematics !!
Licha ya Media kuubania wimbo huu bado unaendelea kufanya vizuri mtandoani, leo ikiwa siku ya nne unashika namba 1 TH-cam.... Pongezi nyingi wa waTZ wote mliofanilisha ili...
Viva ROMA
VIVA ROMA
BIMA YA AFYA NI BORA KULIKO NDEGE 🙏🙏🙏🇹🇿
Drop Your like
Romaaaa heshima kwako kaka
Safi sana ngoma iko poa
Kama una mkubali Roma mwana harakati gongo like hapo ching
Duh! Roma ni noma. Lisaa limoja watu wamealikana. Mi nimefurumushwa twitter mpaka TH-cam. Yani huu wimbo kesho # 1 kwenye trending hutaamini. Gonga like kama na wewe umeibuliwa kuja kusikiliza huu wimbo.
Bado roma ft Kigogo
👏👏👏👏👏👏 Siwachukii wasukuma Najua atanuna najua ya nyuma yatamtia huruma 🤔🤔 gonga like kama umeelewa hilo verse
Ukiyakubali haya maneno ya roma nakuamba like yako from USA.
Hii ni nomaaaa
💪💪❤🔥
1st to hear from Canada 🇨🇦
Gonga like kama uli miss kusikiliza michano yake Roma💪🏾
Du ujawah niangusha wangap wanaikubar hii ngoma
Hi
Kiboko kimewafika dadeki tunangoja wajifute, mwamba roma umeipaza sauti tulokuwa tunahisi imepotea,saruti kwako
Tuishi umo💪
Listening from Ottawa
Hii nyimbo ukikaa vizuri inabonge la ujumbe kama umeelewa hii nyimbo like za kutosha
VP korosho zamtwala
@@barthlomeohaule7156 hatari
Daah bonge la ujumbe
nomaaa sana hio ndo ngoma yangu ya mwaka kama umeludia kama mm hiii ngoma naomba like yako tujuane
htr sna hii
kawashaa mtooo
Dakika tano za hii ngoma zina contents zaidi ya taharifa ya habari za TBC za mwaka mzima
Tufikishe m1
Kwl kabisa
shakur kimboka kwelk
Miss buzaa
😅😅😅😅
dah! nimekuwa wa mwisho kuitazama hii nyimbo, ila kutangulia siyo kufika... naitaji like za roma, awezi kuwachukia wasukuma
R - Rhymes
O - Of
M - Magic
A - Attraction
Kweli ih nmeikubal
I like
umetisha sana💪💪💪
Umeuaaaaaaaaaa 😈😈
Polycarp Mdemu fayaa
Nani mwingine kaona mzigo umetrending no 1? Usiwe mchoyo wa like
Ngoma kali sanaaaaaaa
mtulivu industry Ltd p
th-cam.com/video/C9cmzYPI5UY/w-d-xo.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
@@derickmponzi6582 th-cam.com/video/C9cmzYPI5UY/w-d-xo.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
Bong
Sijawah kuona mpiga kinanda wa kanisa akitoa sadaka jmn we Roma kweli hakuna wa kukunyamazisha kama umeielewa hii ngoma gonga like kwa wingiiii
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya mara 20 lakini sijaumaliza. Kila nikifika verse ya pili naanza mwanzo tena yaani kwa jinsi ulivyo mzuri. Haya mashairi ni hatari. This is what we call rap and hip hop.
BABA MWITA ndo ivo mzee baba
BABA MWITA ni hatari 2pac wabongo viva Roma
Good xanaaa
Uzuri wa sanaa ukiwa umesoma hakuna unafiki wala uswahili
that Real rap na mix ya Hiphop
see I told to you like kama unaamini ngoma itafika No 1 trending ndani ya masaa 24
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
COSMAS MKINGA. Nilitabili.
Na imefika
Ishafikaaaa ....
ipo pale juu inakimbiza
No 1 on trending mamaeeeeeeee.....Huyu ndo baba lao sasa sio huyo yusuph anaependwa na yuda wakati sisi wote watoto wa yuda na tumekubali😀😀😀😀.....
Chegarito _ 😀😀😀😀😀
@Abdoully Yahaya . Khamissy mkimind mnamjua
Amemaanixha nan
Oyo ndio migoma yakusikiliza
... Sio uno ... Mala baba lao ....
...gonga doleee...wagumu
Tufikishe m1
Nimecheka sio uno
Bless Saimon waelewa pia
@@gracekaniki789 sio baba lao
No 1 trending kama umeona gonga like tuende sawa
tokea nikufaham sijawai kuchoka kukusikiliza Roma Mzee wa halakati💪💪
R0MA unatetea xana "wafanyakz na wananchi" mungu akubariki sana
Roma hujakoxea viongozi hawataki kukoxelewa wanafanya kaz kwa xifa 👊👊 2023
Sasa huyu ndo Roma ninayemjua na si mwingine,,,wapi likes za Roma
Hata mm ndo namtaka huyu sio vibamia mara kaolewa
Yule sio Roma
@@KingKing-uy9hq kabisa uyu ndio mkatoriki mwenyew
Kwamba , unapiga bom mochwali , unajisifu umeua😁😁😁 , Gonga like kama umesikia huu msitari kama mimi
Atariii Sana Kaka
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Rima tishio
nura hamis 👍🙌✍️🙏🙏🙏
zegreat Mkoka
Mnavunja dole lamwisho mnaliacha lakat nan kasikia iyo gonga like kwa Roma
Timu Roma twende sawa ,
AMKENI AMKENI AMKENIIIIIIII ROMA TULIEMTAKA KAJAAAA WOYOOOOO MI SIOMBI LIKE ILA NAMUOMBEA ROMA
kwel mwambaaaaaaa
Hahahahaha unamuombea romaaa
Abou msouth wew jamaa bna😁😁
Ha ha
Yap ndio yet kabixa xio mwingne
Huyu ndo Roma tunaemjua LIKE KAMA WALISAHAU DOLE LA KATI
Big up bro .ujumbe umefika
Yeah
@@salimuhozza1696 mia
@valentine
Huyu jamaa anajua
Yuda usimwaribie Dani kumfurahisha mtukufu, sisi wote wanao kwanini unampenda sana Yusuph... aisee🙌🏽 kama umesikia na kuelewa hapa acha like tu.. UONGOZI NI KUACHA ALAMA❤️
#vivaroma🗣
Naaaaaniiih wakumnyamazisha🔥🔥🔥🔥... aisee dude kali sana hili🔥
Wanapiga bomu moturi wanajisifu wameuwa.hahaahaaaa Roma Viva
Mwanangu akiuliza nani aloniteka nitamjibu nimezaa MPARE ila siwachukii WASUKUMA! - KWA WALIOUELEWA HUU MSTARI GONGA LIKES ZAKUTOSHA MPAKA MAGU AJUE TUMEMJUA!
Kama unampenda na kumuelewa ONE SIX gonga like yako hapa
Huyu ndio ROMA MKATOLIKI tulie mzoea👏👏👏
Roma 2020 ugombee uraisi tutakupa maana ww unayajua yao mengi
*Kama umeiona tayari ipo #1 **#ON** **#trend** gonga like huyo ndio Roma tunaemjua sasa*
Sure# Roma is back again
Yani roma nakuombea sana maana umekubari kujitoa sadaka kwajl ya nchi yetu Nakuelewa roma kama unamuelewa Pia gonga like twende sawa
Huu ndio wimbo wa Taifa kwa sasa💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Munga Mziray kabisa
Broo
Mwanangu Roma umelud kama umeikubari hii ngoma conga like
Hahahahahahahaaa hapo sawa kama dawa nimekusoma roma
One six kijana wa dodoma Safi sana kama unamfahamu tupia like
Erick Haule naam
Bonge la ngoma...
Kama umeikubali ngoma hiii naomba like zaidi ya 200
#1 on trending 😋😎 Katikat ya Mondi na Kiba na Konde boy😂 Kweli utajua Watanzia wanatak ksikia nin nin🤭🤒
Serious watz wanahitaji kusikiliza ukomboz
Kuachia tu wimbo wakati huu ambao hao jamaa watatu wameweka ngoma mtandaoni unakuwa umegamble kweli
Dah salute kwako brooh nmekkubal
@@graphixmaster6146 true
Love from Kenya.. Pongezi Roma wapi likes za team Roma kenya
Mkatoliki
Kwetu bima ya afya ni Bora kuliko ndege.
THE RETURN OF ROMA MKATORIKI GONGA LIKE KWAKE
Yan mnapiga Bomu mochwari halafu mnajisifu mmeuaa
Uyo Ndo Roma Mkatoliki Ninaye Mjua Mm Charles Conscious
@@charlesmabena954 hahahah
Huyu.ndio roma naye mtaka
asante mungu kwa kuteletea msemaji wetu, wengine tunavipaji vya kulia tu... yanatukaba rohon hatuna pa kuyasemea
hizi ndo ngoma tunazo taka kuskia'' wanaarakati wote gonga ma like kaa zote tujuanee hapa
Hizi nyimbo ndo znakufanya tukuite roma
Sio nyimbo za ajabu ajabu Mara baba lao sijui nini
Iaaas
th-cam.com/video/C9cmzYPI5UY/w-d-xo.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
@@munguanaishitv oy kiza
Kama umesikia Waalimu Mapato yao yamesahaulika Like tu 😭😭😭 Kama Mwalimu ninaumia kuusikia huu Ukwelii.. Waalimu Tunaonekana kama Matope 😢😢😢
Na ndiyo na nyie mtoke mbele mdai madai yenu! Watetea haki inabidi liwe kundi kubwa siyo watu wachache wapambane na serikali.
nyie mki ambiwa tuka dai haki zetu mna baki nyuma endeleeni kulia lia tuu
Mkitaka kudai haki walimu msikae kama kikundi cha wahuni
@@margarethalyimo5475 ✌✌✌TATIZO WABONGO TUNATISHWA SANAAAAR, Ukitaka kuwa mbaya na uine maisha imekuwa ngumu kwa upande wako wewe Jaribu Tu kudai haki eneo lolote lile lenye walioshikilia nyadhifa.
@@chipmunks6113 😷😷😷 Haki TZ ndio kitu ambayo haisikiki kabisa, Evidence zipo za kutosha
HUYU NDIO ROMA TULIO MMISS FOR SO LONG TOKA ZIMBABWE SAUTI YA WANYONGE VIZIWI NA MA BUBU
Unapiga bomu mochwari dah nishida roma
Hapo naona mtu mfupi kakaa pembeni maana hiyo migoma haiwezi😂😂😂 stamina
My best is "unapig bomu mochwari afu unajisif umeuwa" 😁😁
mungu akulinde bro umejitoa mhanga koz inchi yetu yenyewe mamafia
th-cam.com/video/C9cmzYPI5UY/w-d-xo.html subscribe my chanel 🙏🙏support music
"Walivunja dole la mwisho wakaliacha dole la kati....mmmh,,,,,eeeh hii si nchi ya demokrasi mkimind bas mnamjua sas mbna hamuwakamati" 😂😂🙌🏽
Dole la kati linachoma
Yan mitambo inatesitiwa na inaonesha iko fiti sana haina hata kutu " viva Roma
Et unalipua bomo mochwar hahahah
Roma umetisha broo wachane maana nchi yetu itaangamia
Uyu ndo Roma ninae mjuwa Mimi ,gonga like kama unahamini kuwa Roma kaludu kutoka zimbabwe.
Balaaaaaaaa sanaaaa kaka Viva Roma vivaaaaa
"yudo, usimuharibie danny, ili umfurahishe mtukufu, sisi sote wanao kwanini, wampenda sana Yusuph"
Aliyesikia hii kitu inamuhusu rais wa dar, like hapa.
Noma sana Roma
Mi ni soja niko vitani kama umeilewa hyo like twende pamoja
@@sebajosephat1861 huyu bear ni mtu mbad hii sound na beat mnaiyonaje wazee wangu na enjoy huu mziki niko na mkatoriki begakwabega tunakaba man to man toka mathematics !!
Akuna nyimbo inayo gusa apa kwa 2019 anaiungana na mim liki kama zote
Hivi nyimbo ndio imemfanya brother akae mbali na familia yake.... Daaah Roma 🔥
Mungu akulinde brother 🙏
👍
Trust me ur my hero bongo mzima yupo pa1 milele yan.. WatanzaniA bado tumelala na wanafikii
Gonga like kama ume download na umekuja kuisikiliza youtube
Like nyingiii kwa romaaaaaaa jesh la mtu 1
Alie skiliza goma zaid ya mara3 tujuane hapa.
Hahahahahahahahahahahahahaha yaaan nimeidonload lakin nimeingia youtube kuisikiliza sijui kwann hata
Hahaha mimiiio
Napenda nyimbo zako wew kaka hakuna hata moja ambayo l siikubali...❤❤❤❤❤ like kama umeipenda nyimbo na umeirudia kama mimi...
Safi sn bint unasikiliza dude la harakati ,,this must be a xmss cake
Kumbe na mademu pia mnaiyelewa hip hop ya mkatoriki 🤣
Unaupenda mpaka ule staki kibamia mm kweli sikuupenda
@@amiriramadhan7753 yaani naelewaga sana tu...
@@miriamcharly8383 🤣🤣🤣🤣🤣loooooh
Umenikumbusha wimbo wako wa Tanzania, huu ndiyo mziki wako.. Viva Roma Viva Roma.
Genius. May God protect you brother. You are a great treasure to our nation.
Kama una amini hakuna wa kumsimamisha Roma weka like
He is indeed
First one to comment. Nipe like za Roma 🇰🇪🇰🇪
WANACHI, Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndeeeege
😂😂😂😂ROMA, atafanya yote tumuombee na tuimbe Yesu nibebeeeeeee. ROMA ROMA ROMAAAA GENIUS
I love Roma's work ...Bear is equally an excellent producer for hip-hop ...Love from Kenya🇰🇪
This is the Roma i know, This is my classmate. Proud of you dude.
Tungo ngumu Sana inahitaji ujasir kuandika Na kuachia hewani
VIVA ROMA
VIVA ROMA
VIVA ROMA
huyu ndio Roma tunaye mfahamu kama upo pamoja na mm bas gonga like
Roma hizi tungo ni zaidi ya warakah wa waebrania 🤣🤣
Mwanajeshi kamili sio mgambo nakukubali sana jeshi
Licha ya Media kuubania wimbo huu bado unaendelea kufanya vizuri mtandoani, leo ikiwa siku ya nne unashika namba 1 TH-cam.... Pongezi nyingi wa waTZ wote mliofanilisha ili...
Huyo ndio Roma ninae mjua mimi
naombeni hata like 100 kama mnakubali hii ngoma
Nakuli
Namkubali Roma,
pamoja sana
Imezidi moja afu naitoa ni yangu
hii nyimbo ni fire
Roma 💥💥💥💥💥 Naombeni LIKE' kama umesikia neno hatuwachukii WASUKUMA
From Zimbabwe to USA ROMA Mkatoliki ongea kweli kabisa
ROMA PAN AFRIKAN...MOB LOVE FROM +254 🇰🇪 🇰🇪
Roma hizi ndonyimbo ambazo tunakuelewaga 🇹🇿🇨🇦🇹🇿🇨🇦 VIVA ROMA 🙏
Roma mkatiliki.
The best hiphop.unajua mzeee.love from Zanzibar nungwi.
Brother Roma shikamooo ww ni mfalme wa hip Hop Africa nzima
Eti una rap? Unarap nin wew " aliyesikia hapa gonga like
Dah bro nilikuwa nakusubiri the true Roma unastahili shahada ya heshima mana visanii vingine vioga. Knm
We ndo mnyamaaa
😂😂
Tufikishe m1
Tanga boy wakimuuwa tutawauwa na hao watakao muuwa
Kama imeikubalii hii ngoma kama mimi gonga like twende sawa❤️❤️🙌🙌
Ngoma ya funga mwaka
Konki sana hii ngomba
Wanaojiita babalao haaa roma ndobabalao
Viva Roma^ anaekubali ni ^ daraja la wanyonge ^like apo "
Wamevunja dole LA mwisho wameacha dole LA katiiii daaaa kwel kiumbee hichooo
Viva ROMA hamna wakunyamazishaa 👐👐
Like please
Viva roma vivaaaaaaa
Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndege ######100% wangapi wanakuli like apa.
ANAYE MUOMBEA MABAYA ROMA YAMRUDIE MWENYEWE QUMAMAEEE👊👊
NAMKUBALI SANA ROMA WASANII WENGINE WOTE WAMEFYATA HUYO. NDIO ROMA NAMPONGEZA SANA JAMAA ANAJUA SANA
Kweli bibilia unaijua kabsa..piga like kama umeskia chochote kuhusu biblia
Unaweza baba wapasue aoo wasiojurikana
Anaitwa Roma hakuna wa kumnyamazisha watching from Moro town
Nasikia Jimbo la ubungo kuna mtu amelipania 😁😁😂km umesikia gonga like twende sawa
Makonda bablai
2020 ngoma kal baada ya kaka tuchat
Anaeamini kuwa roma ndie amejitoa mhanga kutusemea wanyonge nipe like yako
Jaman da roma fundi like kama unamkubali fundi wetu
Yesss uyu ndio Roma big up mi nipo nawe kama nawe upo na mkatoriki like zako zinatakiwa apa
walio jua kuwa ngoma itakuw namb one on trend leo tuonane kwa like
Wanao Taka loma Aimbe nyimbo kama Izi 2juane apa👍👍👍👍
@@yohanapetro4937 usiseme "loma" sema "Roma" na sio "izi" bali sema "hizi"
Nimekusoma mzee bb saf
Nomasana
Uyu mwamba ninoma sana siasa unaiweza ingia mzigoni ukatutee asee
Like za Bima ya Afya ni Bora kuliko Ndege ...
ata like 10 inakotosha kama unakubali huyu ndio msemakweli
Hii ngoma imewapenya kwenye vinasaba na ubongo hadi kwenye mishipa ya wenye madigreee manneeee...🤣😂😅😅
yani mnapiga Bomu monchwari mnajisifu mmeua huyu ndio Roma ninaemjua mm naombeni ata like 10
haya sasa mnaopiga bomu mochwari afu mnajisifu mmeuwa
jueni kwamba #ANAITWA_ROMA
@enosuper_tz
#toto_ya_mama_mariam
♥YCB
ENOS ELIKANA 😂 😂 😂 😂 hahahahaa
@@stevstephano950 🙈🙈🙈🙈🙈
Nime mzaa mpare ila siwachukii wasukuma . . .ilo jiwe lime mwendea jiwe wallah!.
Hii ngoma ukisikiliza huku unacoments wallah lazima utarudia tena 🔥
Ebu tujuane hapa wale tunao kimbilia kukoment😁
Mimi mmoja wao
Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndegee gonga lyk waliouelewa huu mstari
Unapiga bomu mochwari unajisifu umeua 💪💪
Hii ngoma nmesikia saizii mejikuta nacheka kama chizii msomii, Na Ubachela nilonao, Nahisi ningekuwa namke Angeniona Mme Chizi
Tusilete uchama kwenye ishu za kitaifa. Roma kama anawaburuza sana
Msenge huyu kaimba ukwel mzm kmmke. ..mtu kabakisha mwez mmoj astafu eti unamtumbua. ..Asante roma
@@pauljohnson7455 hahahaa noma kwelii
Kumamaeeeeeee😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍Umezaliwa upareni Ila huwachukii wasukumaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mnipe tu nawaambia had kesho ipo 1trending🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪
Hatarii huu ndo wimbo sio nn wala drama hapo amejitoa haswaaa
Bora umewakandia 👏👏👏 wao wanataka wasanii wote muwe Kama Konde boy muwaimbie nyimbo za kuwatukuza na kuwasifu mxhiuuuu😎