WACHAWI WAENDA USIKU WANAVYOWEZA KUKUFANYA MISUKULE BILA KUJUA || SHEIK KONDO JUMA BUNGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah! Maisha haya, yana mambo mengi sana. Tumuombe Allah mwisho mwema, tusiwe miongoni mwa Misukule. Ameen!

  • @Babyvai-l2u
    @Babyvai-l2u 7 วันที่ผ่านมา

    SHEIKH WANGU MIMI NIPO MBALI NAFANYAKAZI MELINI LAKINI NIMEONA PROGRAM ZAKO ZIMENINGIA SANA MENGI YANANITOKEA SHEKH WANGU NIPO CARACAS NIKILUDI PELEAUS GREECE MNAYO NAMBA YAKO MTAKUTAFUTA SHEKH WANGU 🇹🇿🇬🇷👍👏👍👏👌🙏🇹🇿🇬🇷💐

  • @abuuahmad3238
    @abuuahmad3238 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu mkubwa hii..al habib sheikh Kondo ... jazakumullah khair

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka masomo yedele mpaka wicho.🎉🎉🎉❤❤

  • @aasatt78
    @aasatt78 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo utumwa bado upo

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 27 วันที่ผ่านมา

    unatumiwa na wachawi bila wewe kujua

  • @NGENDAKUMANAIdrissaIssa-f8r
    @NGENDAKUMANAIdrissaIssa-f8r หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh big up xaana,ila hukukwetu Burundi kuna mwalim amefanyiwa msukule namamaye kumurejesha itakuaj ?

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon หลายเดือนก่อน +3

    Sheee mtaani kwetu Kuna mtu yupo ambaye anashi makaburini zaid ya mwaka kuongea anaongea ila hataki mazoea nawatu je Hili likoje unalifafanuaje

  • @walkingspringsab-wi9vb
    @walkingspringsab-wi9vb หลายเดือนก่อน

    Naomba naba yako

    • @SIMULIZIZONE
      @SIMULIZIZONE  หลายเดือนก่อน

      @@walkingspringsab-wi9vb sikiliza mpaka mwisho Kuna namba

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm หลายเดือนก่อน +1

    Ikiwa unaota wewe nimchawi unafanya uchawi lakini ukiamka yale uliofanya usingizini huyawezi tena unajiona upo sawa ila baazi ya siku nyingi unaota ni mchawi tena unaujua uchawi...HILI NI TATIZO???

    • @omyking4631
      @omyking4631 19 วันที่ผ่านมา +1

      @@KubwaKuliko-dk4bm sina elim ya hilo ila kwa hisia zangu hilo tatizo yshauri wangu wafate masgekh wenye elimu iyo wakusaidie

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm 19 วันที่ผ่านมา

      @@omyking4631 sawa ndugu itabidi tuwatafute wenye ilmu kikubwa allah utuelekeze kwa wajuzi walio sawa ili kuepuka kutumbukia katika shirki