Sijapenda mtangazaji unavyomlazimisha msanii akubaliane na unachokiamini wewe, mfanye msanii awe huru kujieleza, wakati mwingine kuna vitu hawezi kusema moja kwa moja kwa sababu nzuri tu.
I'm sorry to say this, kipindi ni kizuri sana hasa kwetu wachache tunaopenda sana muziki wa zamani ila tu mtangazaji hakitendei haki, anahitaji sana kuboresha namna ya kuhoji.
Ferooz tunakupenda sana apa Congo rudi kwenye gamme
nakukubali sana mwanangu ferooz
Sijapenda mtangazaji unavyomlazimisha msanii akubaliane na unachokiamini wewe, mfanye msanii awe huru kujieleza, wakati mwingine kuna vitu hawezi kusema moja kwa moja kwa sababu nzuri tu.
Sawa mkubwa! Tutalifanyia kazi.
Alaf pia hakupewa zawadi ya gari na Rais! @@bongo_project
Ndugu mtangazaj muulize ferooz iv nyimbo gan imemtagaza ferooz naokuomba
Imemtangaza!? Mbona alisema kwenye interview…
Maji ya shingo
Ferooz, Grande Artista ❤❤❤❤ o Lendário 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
💯
Kumbe bro msomi kbs
Good job
Kipindi kipo fresh
Shukrani Asha
appreciate you brooo
dah
jamaa kwel ana safar ndefu
😢msanii anamaanisha nn kuvaa heren
I'm sorry to say this, kipindi ni kizuri sana hasa kwetu wachache tunaopenda sana muziki wa zamani ila tu mtangazaji hakitendei haki, anahitaji sana kuboresha namna ya kuhoji.
Shukrani. Tunapokea maoni. Ni wapi tuboreshe kwenye kuhoji?
Mtangazaji ana-bore hana mtiririko mzuri wa kuuliza maswali alafu unakuwa kama wewe ndio unaelezea story ya msanii kuliko yeye mwenyewe
Shukrani kwa feedback. Tunajifunza, tutaimprove
Yani wewe mtangazaji haujui kuhoji unamtilia maneno mdomoni kwakua Stori yake unaijua