DAZ BABA - Huyu Hapa Daz Baba Daz Mwalimu | Amefunguka Yote - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Meza ya Bongo Project tumekuletea mkali wa Wakali wa enzi zile, Daz Baba, Daz Mwalimu. Usikose hii
    #dazbaba #dazmwalimu #daznundaz #bongoproject #bongofleva
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 28

  • @FadhiliKato
    @FadhiliKato 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kati ya wasanii waliotoa albamu bora ni Daz baba Elimu dunia❤❤

  • @shabani6631
    @shabani6631 3 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali sana Daz baba miaka 2000 mwanzoni alikuwa fire

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 หลายเดือนก่อน +1

    LEGEND🔥🔥👊👊👊

  • @kaijagemalik
    @kaijagemalik 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bigup sana tunaomba interview na besta, juma nature

  • @habari254
    @habari254 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safi aisee

  • @empafricatv
    @empafricatv 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉

  • @ramadhankakai7303
    @ramadhankakai7303 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji kuna kitu ulifanya kwenye interview ya Darkmaster ukaniboa sana...Yaani Dark yuko busy anakujibu maswali lakini wewe upo busy una scroll simu yako tu..yaani unamuonyesha guest wako kwamba umeshamchoka. Ukichoka na interview sign out uondoke. Eye contact kwenye interview ni very important

    • @bongo_project
      @bongo_project  3 หลายเดือนก่อน +5

      Shukrani kwa feedback kaka. Ni kwenye kujipanga na maswali yanayokuja…in fact camera haikutakiwa kuonesha hilo. Ila tumekupata

    • @ramadhankakai7303
      @ramadhankakai7303 3 หลายเดือนก่อน

      @@bongo_project hilo naelewa lakini kuna wakati ulikuwa kama unatafuta post fulani sijui ya Mange ukabaki kwenye simu yako kama dakika mbili mfululizo yaani mpaka mwenyewe nikaona ni kama unamdharau mshkaji... ila freshi bado mimi shabiki mkubwa wa bongo project kutoka Nairobi 254

  • @jumazahoro3537
    @jumazahoro3537 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 3 หลายเดือนก่อน +1

    Irie Rastaman🇰🇪

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji fanya uchunguzi kabla ya kumuhoji legend kama huyu. Mambo mengi anakujibu unarudia kumuuliza

    • @bongo_project
      @bongo_project  3 หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani kwa feedback. Tumeipokea

    • @controlTheoryChamps
      @controlTheoryChamps 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@bongo_project Pamoja

  • @MOSAMYOG
    @MOSAMYOG 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa anafanana na bob marley

    • @bongo_project
      @bongo_project  3 หลายเดือนก่อน

      😀 Kabisa kabisa! Subiri sasa akiimba wimbo wa Reggae

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 หลายเดือนก่อน +1

    Namuona Daz ameanza kutulia akili, kuna kipindi alikuwa anasikitisha ni kama alidata

    • @bongo_project
      @bongo_project  3 หลายเดือนก่อน

      Yeap! Tunashukuru mwamba yuko vyema

  • @user-hh7df4mq1j
    @user-hh7df4mq1j 3 หลายเดือนก่อน

    Bro kama unatumia Aina yoyote ya kilevi punguza bro game bado linakuitaji

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mziki umechange sana hawezi cope na muziki wa sasa.Its too late.

    • @user-hd7vt8fk5t
      @user-hd7vt8fk5t 3 หลายเดือนก่อน

      Mzuki sio mpira Haina kustafu

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-hd7vt8fk5t Ni sawa ila muziki huu wa sasa wa bongofleva sio kama ule mziki wa miaka ya 2000 mwanzoni..Muziki umebadilika saaana saaana huyu atakuja na swags za 2000 kitu ambacho itakua ngumu sana kutoboa.Fuatilia wanamziki wa bongofleva wote wa zamani sasa hv wako wapi na wana hali gani kimuziki.

    • @bongo_project
      @bongo_project  3 หลายเดือนก่อน

      Soko limebadilika ila bado kuna uhitaji wa Bongo Fleva ile

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 3 หลายเดือนก่อน

      @@bongo_project bongo fleva ile kwasasa huwezi kuuza mziki umekua biashara sana kuliko uhalisia.Note That.