KIJANA YATIMA MCHOTA MAJI, AJITOLEA KUWAJENGEA NYUMBA WAZEE WASIOJIWEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 108

  • @veronicaromwald8311
    @veronicaromwald8311 9 หลายเดือนก่อน +3

    Vijana huyu ndiye influencer sasa 👏👏

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +2

    Subhannahllah bibi kasema MUNGU atawajibu watoto wake..wamekaa wana roho mbaya Allah ampe umri mrefu na mwisho mwema huyu kijana, amfungulie milango ya rizki.

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 5 ปีที่แล้ว +11

    Umeniliza kutoa ni moyo sio utajiri umenifuza jambo kubwa sana MUNGU afungue milango ya baraka daima wewe na watoto wako wewe ni mfano wa kuingwa 💘🙏

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 ปีที่แล้ว +12

    Hili ni fundisho kwa sisi sote ubarikiwe kijana mwenyeezi mungu akuzidishie umri mrefu hapo na penginepo inshaallah 🙏 🙏 🙏

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 ปีที่แล้ว +24

    Kaka nahisi una roho nyingine ndani yako! Mungu akuzidishie

  • @paulmshanga4177
    @paulmshanga4177 5 ปีที่แล้ว +25

    Kwa kweli hakuna maskini asiye na cha kutoa ,cha muhimu ni upendo

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani hongera sana kaka Mungu akuongoze mwandishi weka no ya cm tumpe sapot kaka

  • @idayakei8349
    @idayakei8349 5 ปีที่แล้ว +5

    Ongera sana kaka mungu atakulipa watoto wengine bwana unaacha mama na baba wanateseka hivi kweli jamani namini lile neno kuza siyo kupata ila mungu ana waona nyinyi watoto

  • @drrahaburubago6303
    @drrahaburubago6303 2 ปีที่แล้ว

    Dha! Huyu ana fungu lake, kwanza Mungu ana mipango nae si bure. Barikiwa sana.

  • @remmykubanda3393
    @remmykubanda3393 5 ปีที่แล้ว +4

    God bless you bother..you have a big heart..napenda kazi yako...ningependa kutoa machango hata kidogo tu..is there .anyone with contact?

  • @carrenkapia7841
    @carrenkapia7841 5 ปีที่แล้ว +5

    Niliwah kuibiwa my wallet, nikawa Sina Hata sh. 100 ya kunifikisha nnapoenda nkaamua kuzunguka kuomba Hata 2000 tu nifike Nyumbani ,nilizungukia kwa watu wenye maduka makubwa Hakuna alienipa Hata senti, ila Nilikuja kusaidiwa na mama muuza karanga akanipa sh 2000!ndipo nilipojifunza kuwa watu wenye uwezo mdgo kifedha Ndo wana utu, usitegemee kupata msaada kwa tajili,tajil husaidia tajil mwenzake

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 5 ปีที่แล้ว +16

    Jamani huyo kijana ndio anatakiwa kusaidiwa serekari tu nawaomba msaidieni huyu kijana na watanzania wote tumsaidieni❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @TheSalma1999
      @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

      Raya Alaisari sana jamani

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu mungu akubaliki azidi kukupa wahaai mrefu na afya njema pamoja na vikongwe vyetu wazidi kuwa na afya njema na maisha marefu nasi ndiko tunakoelekea kunako majaahariwa tuwe pamoja na wazee wetu bila kujali dini wala kabila tuwasaidie unapopata japo kidogo mungu ibariki tanzania ibariki afrika

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu akubariki akuinue viwango vya juu akupe zaid na zaidi kutoa ni moyo aisee mpk nimeumia moyoni ,huna lkn unatoa aisee nimejifunza

  • @mrshila1260
    @mrshila1260 5 ปีที่แล้ว +1

    shukran sana kk angu😍😍😍umeoa mm nataka mume

  • @shijakaneleja6741
    @shijakaneleja6741 5 ปีที่แล้ว +6

    Dini ya kweli...... Mungu akutie nguvu

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukutunza kijana...kazi yako c bure..
    Mungu atakuinua mpk shetani atashangaa!

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 15 วันที่ผ่านมา

    Katika ufalme wa MUNGU wewe ni tajili unahazina kubwa sana kwa mungu kuliko tajili yeyeto hapa duniani mungu akubali naamini atakufungulia milango

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akujalie sana kwa juhudi hizi za kujitolea

  • @shamzone388
    @shamzone388 5 ปีที่แล้ว

    Wallah Allah yupo na wewe kijana kweli kabisa ukipitia mahali pagumu huwezi kutaka mwengine apitie tabu ulizo zipata
    Mimi ni mmoja nilipitia tabu sana lakini sitaki kuona mtu anapata tabu kama mimi
    Allah akufungulie milango ya kheir na baraka kaka yangu uzidi kubarikiwa amin
    Upande mwenginge makonda angalia upande huo uwasaidie kama huyo kijana kutoa ni moyo sio utajiri

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 6 หลายเดือนก่อน

    hiyo ndiyo dini ya kweli..mungu akupe neema ktk maisha yako

  • @elesiaelia3740
    @elesiaelia3740 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akibariki sana usiwe na hofu juu ya mungu

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyeezi Mungu atampa furaha yake hapa duniani kwa haya anayoyafanya kwa wazee hawa In Sha Allah.

  • @fatmakarata260
    @fatmakarata260 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akulipe kheri na akupe zaid ya ulichotoa. Kweli kuzaa si kupataaa... hata km wanaima magumu kias gani huko mjini lkn naamin nguvu wanayo mbona kijana mwenzao hana uwezo wakutisha kifedha lkn katumia nguvu zake na kawastiri wazee.

  • @kayombotv9758
    @kayombotv9758 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana na afungue milango yako zaidi ili ujitoe kwa wengi zaidi.

  • @EvaFuraha
    @EvaFuraha หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubarikisana kijana wa Mungu.

  • @familylove5417
    @familylove5417 5 ปีที่แล้ว +5

    Asante umenifunzaa kitu

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa'Allah Mashaa'Allah Mashaa'Allah mwenyez Mungu atakufungulia zaid

  • @mgoiink4739
    @mgoiink4739 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuingize peponi,inshaallah

  • @ZenabazigaZenabaziga
    @ZenabazigaZenabaziga 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukubariki kabis

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah maashallah mungu akuzidishie akupe kila lakheli yaarabi kuzaa si kupata

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว +3

    dah ila wewe una moyo wa upendo ndugu yangu nimejifunza kwakuona uliyowafanyia hao wazee nakutakia maisha marefu.

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie napia akupe umri mrefu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 16 วันที่ผ่านมา

    M/mungu azidi kukubariki

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atakufungulia zaidi nazaid mpendwa kutoa c utajir

  • @hadijaabdallah5879
    @hadijaabdallah5879 5 ปีที่แล้ว +6

    Daah mwenyezi mungu akupe maisha marefu kaka inshallah.

    • @pilikhamis2924
      @pilikhamis2924 5 ปีที่แล้ว

      kaka mung akubarki sana unamoyo wakipekee

  • @msfatma946
    @msfatma946 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mungu akujalie akufungulie milango yakher na Baraka tele in shaallah 🤲 mungu akuweke uwe na umri mrefu

  • @mimihapa1892
    @mimihapa1892 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi mungu akubariki sana na endelea kuw na moyo huo huo

  • @nusralilobwa4752
    @nusralilobwa4752 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuzidishie moyo wa huruma hakika mfano wa kuigwa

  • @tinnaebunka8848
    @tinnaebunka8848 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mungu akuinue

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishie mahari ulipopunguza.

  • @muinjiristimgimbe6678
    @muinjiristimgimbe6678 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Mungu akutie moyo

  • @asheryissa6100
    @asheryissa6100 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani nimejipa kulia afu watu waima mazingira daah Allh shusha.rehma

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢mungu akubariki kaka😢😢piya huna rorote ira unajitaidi😢😢

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana Mungu akubariki

  • @neyneema5584
    @neyneema5584 5 ปีที่แล้ว

    Mungu Akubarik Kaka

  • @حواءال
    @حواءال 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akujariye unamoyo mzuri Sana mwenyezi mungu akuzidishie

  • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
    @ukhtyashurasakinamnyoti1786 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu atakulipa kwa wema unaowafanyia hao wahitaji

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 5 ปีที่แล้ว +1

    Ooh masikin mungu akuzidishie sana

  • @sharommiriam2674
    @sharommiriam2674 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika mungu akuongezee ulipotoa kijana ❤❤❤

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 3 ปีที่แล้ว

    God bless you bro

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupe kila la kheir kaka

    • @felixmagulu6142
      @felixmagulu6142 5 ปีที่แล้ว

      Ndugu kwa unachokifanya unaweka Hazina kubwa sana kwa Mungu, Mungu hatakuacha kamwe kwa upendo wako.

  • @mayusahussain8045
    @mayusahussain8045 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie na ufanikiwe Ameen

  • @batulisalumidrisa9588
    @batulisalumidrisa9588 5 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishie malipo pungua katika hitaji lako la moyoni

  • @madawakemikali776
    @madawakemikali776 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndio watauona ufamle wa mbinguni.....Hana kitu lakini moyo mungu kampa kweli! Duh! Mungu umfungulie njia kijaba huyu.....sio kama wengine wanazo ila kusaidia issue kwao.....serekali yetu pendwa muangalieni huu kijana....

  • @a.856
    @a.856 5 ปีที่แล้ว +9

    Kutoa ni moyo si utajiri👏👏👏

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 5 ปีที่แล้ว

    Hongera snaa kuna watu wana mamilion ila hawajafanya hv

  • @abdallahmbaga4007
    @abdallahmbaga4007 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mungu atakusaidiya

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kijana mwezetu

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atakulipa

  • @Verochanel123
    @Verochanel123 5 ปีที่แล้ว +1

    safi Sana kaka

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaaa mungu wjalie awawazee asee nabaki najiuliza ivi wazee kama awa inamana wanweza wakawa awana watoto wao wakubwa kbisa ambao wanafanya kazi zao kwl maake daa mazingira wanayoishi inatia uruma kijana mungu akubaliki utafanikiwa tu siku moja nautatimiza malengo yako kuwa saidia awo wazee

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 ปีที่แล้ว

      Mmh ndugu yangu unaweza ukawa na watoto lkn wasikupe msaada ,na ukaja kusaidiwa na mtoto mwingine kbs tena sio ndugu ,na ndoo mana mimi naheshimu sana mtoto yeyote hapa duniani .

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atupe moyo wa kutoa

  • @hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
    @hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @rahmazawadi5225
    @rahmazawadi5225 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie kaka inshallah

  • @meryriwa1912
    @meryriwa1912 5 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda sana kaka mola akujalie moyo huo daima

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana kijana daar

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kijana nakuona mbali mno

  • @asheryissa6100
    @asheryissa6100 5 ปีที่แล้ว

    Allah akubariki sana Allah atufanyie wepes sote hakika umenigusa san yaan😢

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 5 ปีที่แล้ว

    kweli kbs kutoa n moyo ww huna kitu lakn unawasaidia wazee big up broo

  • @deodatusrweyongeza2880
    @deodatusrweyongeza2880 3 ปีที่แล้ว

    Wew kijana ubarikiwe

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 5 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka

  • @mwanakherkione597
    @mwanakherkione597 3 ปีที่แล้ว

    Mungu muone uyu mjawako

  • @abdallajuma6262
    @abdallajuma6262 5 ปีที่แล้ว

    Safi Sana kijina

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 9 หลายเดือนก่อน

    Kijana mmoja ameizid serikali

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 9 หลายเดือนก่อน

    Yn kaka kunamatajiri awataki kutoa kbc lkn ww kdg chako unagawana kwl nimoyo wapekee unayo

  • @khadijaissaissa5824
    @khadijaissaissa5824 5 ปีที่แล้ว

    Hongera San kaka

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 3 ปีที่แล้ว

    Broo naomba unitafute kka au nipe namba yako

  • @OmanOman-ns3iw
    @OmanOman-ns3iw 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa unampaje mtoto jina mateso Iyo Ndio faida

  • @TatuMtumbuka
    @TatuMtumbuka 9 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi wa habari mzembe sana. Umeshindwa hata kuweka namba ya huyo kijana tumsapot kwa kazi anayofanya?

  • @joharikashindye8655
    @joharikashindye8655 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU akufanyie wepesi katika shughuli zako ufanikiwe kijana una moyo wa huruma jamani ama kweli kutoa ni moyo sio utajiri

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 21 วันที่ผ่านมา

    Hakika nimejifunza kutoa ni moyo sio utajiri

  • @africanoqueen9340
    @africanoqueen9340 5 ปีที่แล้ว

    Daaah kibondo kitambo saaaana

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 3 ปีที่แล้ว

    Poa Kaka kaza tu

  • @benedictamaganga614
    @benedictamaganga614 5 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu kijana apewe comoany.

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว

    Huyu bibi cheupe anaonekana enzi zake alikuwa.Wema.Sepetu

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli kuzaa co kupata looh unasaidiwa na watu wengine watoto wapo duuuh

  • @HassanDoza
    @HassanDoza 8 หลายเดือนก่อน

    Kutowa sio pesa kutowa moyo

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 5 ปีที่แล้ว

    ayo na ww una matangazo toka lini

  • @idayagangs124
    @idayagangs124 5 ปีที่แล้ว

    Ulichopanda ndicho utakachovuna

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 5 ปีที่แล้ว

    history huwa ni lazima ijiludie

  • @simonmwakyusa7347
    @simonmwakyusa7347 5 ปีที่แล้ว

    Hakika ubaarikiwe na mung awe nawe

  • @ObaChristopher
    @ObaChristopher 2 หลายเดือนก่อน

    Sf

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 5 ปีที่แล้ว

    Huyu sio yatima tena yatima niyule ambae hawezi kujitafutia riziki na kisha kuseidia sio vyombo vya habari kutangaza mnakosea wananchi hata mungu alisema ukitowa msaada mkono wa kulia ukitowa wakushoto usijuwe leo hii unakuta mtu anataka kusaidia mpaka vyombo vya habari viwepo hamupati kitu kwa mungu munatowa kwa kutaka kusifiwa duniani je kesho utasaidika na nn

    • @annakashelo9486
      @annakashelo9486 5 ปีที่แล้ว +2

      Sadia Abed vyombo vya habali sio vinawapa sifa wanaojitolea Bali vinahamasisha na wengine waige mfano mzur wawe na moyo wa kuwasaidia wahitaji kama ndugu Tito anavyosaidia wahitaji me binafsi nimejifunza ki2 kupitia Tito nitaanza kuwasaidia wahitaji na mungu anatanibariki zaidi

    • @annastaziamathew3950
      @annastaziamathew3950 5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 2 ปีที่แล้ว

      Roho mbayaaaa!!!!!??

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 5 หลายเดือนก่อน

      @@rosemuhandoofficial5676tena mbaya haswa

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 ปีที่แล้ว

    Mungu atakusaidieni