Mtanzania anayeendesha Trucks Marekani - Unaanzaje kuwa Truck Driver USA? Andrew anaelezea
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025
- @Bongoyoungstar ambaye ametokea Tanzania anaishi Marekani, na ni Truck Driver. Vigezo ni vipi kuwa dereva wa trucks Marekani? Na Maisha ya truck drivers USA yapoje?
Subscribe kwenye channel ya Andrew www.youtube.com/@Bongotalkpodcast
Nimemaliza kak💖💖
Sasa mimi ni drv truck kwa muda wa miaka14 sasa, sasa nipitie njiagani mpaka kufika marekani na niendeshe huko??
Hallo
ulivyo muaga kama bono vile ,yaaani poa poa mkuu
Bwashee sana mwanang 🍉ikitu ipo uko
Congratulations young man, respect for you🇹🇿
Following up with u from East coast Africa mombasa Kenya
EBM, nilifika juzi juzi,nipo hapa Dallas Texas 🙏🙏🙏🙏huna Baya Mkuu ubarikiwe mileleee ❤❤❤❤❤
Bro vipi, umetumia njia zipi kufika US asee
That was good interaction with Andrew... when I see my African brothers doing great in the USA I always clap 👏👏👏 for them and that motivates guys back home to wanna come and join you guys .. Africa Unite 💪(Bob Marley).
EBM karibu Sana Nairobi 😊
Appreciate broo
Naipenda hiyo kazi tangia nikiwa mdogo nafika je huko
Hiyo kazi lazima nifanye because napenda san hiyo kaz ya track 🎉🎉🎉🎉 kabisa ni lazima🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sema in shaa Allah,( in God's will )
Asante kaka
Interview kama izi zinatuelemesha kwakupambana kiza more respect Sir
Nimependa huu ushauli wenu Mungu awabariki. nipo Delaware natamani sana kazi hii sijui nifanyeje?.
Hi
Hongela saana kaka nimependa jinsi unavo ongea bila kujishaua mim pia nidereva wa track nasafilisha mafuta from dar es salaam upto bujumbura burundi
Vipi hali kaka salama
Mahojiano mazuri sana. Big up for the good content. New fan from Kenya🎉
vp kwa Sisi Tunaohitaji kufika huko kufanya kazii...mnatusaidije..
nimempenda jamaa, hajapoteza tone yake ya Kiswahili🫡
Wachaga ndivyo walivyo lafuzi yao haipoteagi
Gud sana
Big up bro so inspired one day nami tutakua wote hapo
Kaka dua sanaa na mungu awe nawe kwan nami nipo nyumabyako na ukipata nafasi ya chansi usikose kutubeba itakavyo jaaliwa kwan nasi tupo nyuma yako kaka kila la hery kaka
Congratrition for Africa boi as eastern Africa boi sana sana bongo boi
Brother EBM naomba msaada wa kuweza kufika huko kufanya kazi kama ya Mr Urassa napenda kuw truck driver pls
My dream❤
Brother nakubalisn kaziyako. Tusaidie tunaweza kufikaje huko tuwe kama ww
Safi sana bro hiyo iko pouwa sana
Mfano kuna mtu ajui lugha ya kiingereza na anataka kuja kua truck driver Marekani anawezaje 👏👏
Ndio , unaweza .
Vip br Uko na mungu san
Nakutegemea sana blaza
Big up man
natamani sana kuzifanya hizi kazi
Thanks a lot
Hongera brother
Mimi nina uzoefu wa miaka 14 sasa ktk kuendesha truck pamoja na mabasi,hivyo nahitaji kuja marekani nifanyeje ila nauli ninayo yakunifikisha huko.
Kwanza jaza Greencard mwaka huu bro…Huwezi jua bahati yako…imeangukia wapi
Congratulations bro and keep it up
Kaka naomba connection
Brother Urassa habari za leo Mimi naitwa Kisagenta nipo Dam ndg yng mm napenda sana kazi yako unayoifanya naomba unionyeshe njia ya kuja huko Ili nije kufanya kazi kama ya kwako because by professional mm ni dereva huku Tanzania naomba msaada wa kufika huko tafadhali sana brother nakuombea kwa mungu akupe moyo wa hurima wa kunisaidia, mungu akubariki sana Mr Andrew Urassa.
Omba green card
@@khizralghawy9489habar
Please i really want to communicate with you but i don't know how can I communicate with you
Thanks
Watching from Kenya
Jamani hongera nifanyie michongo nije mm nalipiga pia
Uko sahihi brother but tusaidiane kimaisha nasi tutimize ndoto zetu za driver mimi kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nimenufaika na mahojiano nashukuru
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 MUNGU SIKIA MAOMBI YANGU NIWE INTERVIEWED 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amin.. mungu atakusaidia ndugu
@@UpepoVlogs Asante sanaa Naamini 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 nakupokea maombi yako pia
Utapa kazi usihofu mtegemee aliyekuumba anakujua zaidi jinsi moyo wako unavopambana
@@hawa6052 keep me in ur prayers ni itwe kwenye interview ya Green card ni mmoja wa washindi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾.
@@hawa6052Amen Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 napokea
Jamaa very simple
Safi kaka karibu sout africa pia
Mridi yuko USA ..Kazi safi Mridi
Punguza ngeri kaka tunaokutazama tumetokea kigoma
Haya urasa uyo hapo na watz munaozaraugi wachaga mkae mkijua wachaga cc tunapambana kutafuta pesa na hatufagili mapenzi wachaga oyee
Brother mtangazaji naomba namba yko plz
2 week bro me sometime nakaa miezi 6 sijarudi home me safari zangu natoka tanzania naenda South Africa via botswana then narudi hadi kenya
Ohh no 😂 that’s too much bro
😁 Na huk vidum mnatoa kwa sh ngap mzee
Lesseni Dola 5,000 mpaka 6,000 hatari kazi lazima iwe na pesa mingi malipo yake
Blaza bikapusan 👍
Heloh nami naitaji kasi hii nipe mwelekeo kakangu
Ushauri mzuri mbarikiwe
Broo nipo Dallas TX, napenda kuongea na ww ikupendeze nipate namba yko
Wabongo kuongelea kipato Ni wagumu Mzee hata estimate za karibu tu hataki kutaja. 😅😅😅😅😅
On point anaficha details
Wabongo nawashauri mjifunze Kwanza lugha ya kiingereza vizuri kisha muanze mapambano ya kutafuta ajira huko U S A ,ni rahisi sana kusaidiwa na mmarekani mzungu au mweusi kuliko kusaidiwa na mbongo au mwafrika aliyetoka huku bara la afrika.
Apa ufaransa.( France) ni wanawake wana endesha izo Trucks.
Naomba mchongoooo mim tracker piaaaa
Njoo Australia 🇦🇺 kaka .mimi mwenyewe niko huku naendesha dump truck 🛻 kwenye coal mining..
Bro naomba namba yako kaka
Bro mm mwenyewe ni Operator wa heavy Machine
Kaka huo mchongo nauhitaji vipi naweza kufanyaje
❤ 4:24
Kaka piga kazi na mungu akubariki kwa hatua hiyo,,,,,
Mambo vp brother nipo dar naomba unipe mwongozo wa kupata kazi kama hiyo kaka
Ipo siku
Bro mimi niko tz nadrive truck, so natamani sana kuja kupiga kazi huko.
EBM Umekosa kumpata mwendesha ma truck Marekani? Hii nayo ni truck kweli?😀😀
These is a rental truck which people usually hire when moving around the US,after you done moving your stuff you return it to the moving company.
Unaweza rent as a business.
Hongera zako kaka EBM NA URASA
Tafadhali nipe namba zako Makuriro
S.a mimi mtanzania truck driver napataje kazi ya malori
Ipo siku tu mambo yatafunguka,we try again
Never give up. Believe on God
Mimi dereva niko kenya nitapata aje hii kazi ya dereva huko
Hongera kiongozi
Mh napenda sana truck
Kaka Sasa huko umeingiaje
Nashangaaa 😂 si tunasafir miez 3 hujarud home
😂😂pamoja na yote Lonlyness ni hali ya juu sana
Interested for this job when I come there
Nasasa analala wapi? Mbona ni rider truck? Nice yake ana rent?
vip above matrafic huko!
Andrew niaj??? camanda respect man pambana
tuna pataje hiyo michongo? actually nahitaji kufanya hiyo kazi marekani, nipo bongo, process ni zipi?
Daa nataman sana
Kama unaweza kuendesha gari Bongo utaweza kuendesha popote pale duniani.
Kazi safi sana unafanya EBM
Ilo siyo full truck,,,,,, inaitwa Box truck😅😅😅
Kaka unafanya job mi napenda Sana nikinja amerika. Je hizo trucks huendeshwa usiku pia?
Nime comment hii interview nikiwa Skagway Alaska in UNITED STATE OF AMERICA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸💪
Keep trucking 🖲️
Chaneli tuna pataje
Huyu sio mwanajeshi
Iyo ni ndogo ndiomaana 26 feet ndio maana una exit sehemu yote baba nenda endesha semi uone
Kasema Yakweke 👌🤗 na wewe je ?
Hii ni box 😅 truck bhana 😂😂
Naomba mchongoooo
Kaka habari za huko kiukweli nimependa kazi ya truck driver naomba unisaidie nieze kuja kufanya hiyo kqzi brother pls jina langu Kisagenta Mollel Birage naishi Dsm brother naomba msaada wako kaka pls
Truck zina utofauti iyi ni ndogo 26 ft but ile ya 53 ft haiendi kwakila gym facility.tafakali hayo.asante
Kuna gym on every small town. Ni excuse tu za watu
Natamani sana naninaipenda hiyo kazi
KWANINI UKO PEK YAKO HUWEZI KUWA NA UTINGO WAKO?
jamaa ana akili sana keep it up bro
Kaka ebm vipi ile app ulikua unatengeneza ya kufanya photo editing iko tayari?
Uyo jamaa ni mwanajeshi USA sio dereva truck
Huyu jamaa so mwanajeshi huyu
Kak habil zauko jinalagu naitwa mosesi napeda sana udeleva nikitu ambacho kipo moyoni kabisa nahitaji muusaada wako minipo TANZANIA