Yaan haya yangekuwa mambo ya kijahilia ndiyo ungeona watu wakikoment ila elimu kama hizi waislam hawashughuliki nazo kabisa tulivyo wajinga waislam hadi inauma

Mashaaallah ALLAH akupe kauli sabidi akuweke peponi
Jazaakallah ktk dunia na Akhera mwalimu wetu
Allah atuujaalie kufanya amali njema in shaa Allah
Allah akupe kauli thabiti akuondolee madhambi yako
Mungu akulaze Mahala Pema Peponi Sheikh Wetu.
Ameen
Mwenyezimungu ampe hukumu inayomstahiki mja wake.
Mungu akulipe
Allah akusamehe ulipo teleza !
Sema ukweli usidanganye
Yaan haya yangekuwa mambo ya kijahilia ndiyo ungeona watu wakikoment ila elimu kama hizi waislam hawashughuliki nazo kabisa tulivyo wajinga waislam hadi inauma
Mjinga peke yako!!!
Muongo huyu
Saiv ni salaf na aswar suna kaz tunayo mungu atujalie mwisho mwema wallah
Acha uongo mpumbavu wewe salad ndo watu washenzi duniani
Yaan haya yangekuwa mambo ya kijahilia ndiyo ungeona watu wakikoment ila elimu kama hizi waislam hawashughuliki nazo kabisa tulivyo wajinga waislam hadi inauma
wallahi umesema ukweli watu wameshuhulika na mambo ya kipuzi tu