BANANA ZORRO - Muziki Zamani Ulitawaliwa na LOVE | Ampa Sifa Harmonize - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Sehemu ya pili ya mazungumzo kati yetu na Banana Zorro. Ametiririka mengi huku akielezea vibao vyake pendwa vya zamani ikiwemo mama yangu, zoba, nzela, na nyingine nyingi. Amezungumzia pia tofauti ya muziki wa sasa na zamani. usikose!
    #bananazorro #bongoproject #bongofleva #tanzania
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 5

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rafiki song is the best ever by Banana

  • @ZavaraTv
    @ZavaraTv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poa sana Wazee, #bongo_project

  • @Avibrtz
    @Avibrtz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama niwamafinga Iringa kwenye Kigoma all stars alifata nini hahaha ujue hawa watu wanatuchanganya na kama wale madogo makomando sijui niwawapi

    • @bongo_project
      @bongo_project  2 หลายเดือนก่อน

      Amezaliwa mafinga. Havihusiani na kabila wala alipokulia.