PROFESA JANABI AUNGANA na RC MAKONDA KWENYE KAMBI ya KUTOA HUDUMA za MADAKTARI BINGWA ARUSHA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 4 หลายเดือนก่อน

    Mh. Makonda hongera sana. Nikimsikiliza Prof. Janabi na fedha walizopewa na Serikali ili kutibu hao watoto 16, nauliza, je! Kuna sababu gani za kutowatibu wananchi wote Bure? Je! Si muda muafaka kurudisha nchi pale tulipoanzia Kwenye welfare?

    • @Beauthoms
      @Beauthoms 4 หลายเดือนก่อน

      Sio raisi ivo kama unavofikiri

    • @Mapenzi2635
      @Mapenzi2635 4 หลายเดือนก่อน

      @@Beauthoms, ugumu upo wapi? Mtu moja alisema, kufikiri ni kazi ngumu ndiyo maana wengi huchagua ujinga

  • @cheyompongolo4513
    @cheyompongolo4513 4 หลายเดือนก่อน

    Najiuliza hawa wanaojadiliana hapa mnataka kunambia hawapo kwenye uwezo wa kiwafikia uongozi wa juu wa maamuzi? Kwa namna wanavyojadiliana utadhani hawapo nchini na si wajibu wao kuyafanya haya wamekuwa washauri na si wajibu wao na ni kana kwamba kuna anayehusika kuyafanya haya ameshindwa kutimiza wajibu wake " NAOMBA MNISAIDIE TUJADILI ILI TUBAINISHE ANAYEHUSIKA NA AMBAE AMESHINDWA KUWAJIBIKA KATIKA HILI, VINGINEVYO KWANGU MIMI NITAISHIA KUONA KWAMBA NI TAMTHILIA ZA AKINA JB"

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 4 หลายเดือนก่อน

    Najiuliza hao madaktari wanavipimo kama Ct scan MRT maana kama mtu anahitaji vipimo je wanavyo ?.Muhimbili kufanyiwa opresheni ya wanawake ni Million 4 hadi 5 je wasiokuwa na hizo fedha wataishi vipi ?