Salama Na BILLNASS SE6 EP57 | MJUKUU PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
Katika pita pita zangu siku si nyingi nilimsikia mtu akimzungumzia mgeni watu wa wiki hii kwamba ni ‘Jay Z’ wa Bongo na si kwasababu kamuoa mmoja wa wasanii hodari wa kike na ambao wako juu ki muziki, ila pia akili yake ya kibiashara kwa kiasi kikubwa imemfanya yeye aone hivyo. Kwa ufahamu wangu niliambiwa na kushuhudia suala la maneno na mawazo ‘kuumba’. Pale mtu au watu wanapo kuona na ukichanganya na juhudi zako na nia na madhumuni ya wewe kutaka kufika pale basi mengine kutimia huwa ni suala la wakati tu.
Hivyo pia ndivyo ambavyo mimi namuona Ndugu William Nicholaus Lyimo almaaruf Bill Nass. Mara yangu ya kwanza kukutana nae uso kwa macho ni miaka kama sita au saba iliyopita wakati nafanya kipindi cha Ngaz kwa Ngaz special edition. Ambacho mimi na Josh Murunga tulikua tunafanya ilikua kuwapa nafasi wasanii hodari kuwa ma host wa countdown hiyo ya ngoma zao kali 20 kwa wakati huo na kuzitolea maelezo yake. Kwa Bill Nass ilikua kama kumtafuta Kuku tu, yaani RAHISI sana. Alikua natural wataalam wanasema, kuanzia matamshi (haya wengi huwashusha hadhi kwa kiasi flani) mpaka swagg ambayo mtangazaji anatakiwa awe nayo kwake ilikua ipo. Kuvaa kwake, kuheshimu wakati na kuskiliza maelekezo na kisha kuyafanyia kazi ilikua 100, na mimi kwenye hili nilikua mtazamaji tu, kazi kubwa aliifanya Ndugu Josh akiwa kama Director. Yangu matumaini Bill Nass siku moja atataka kufanya kitu kama kile maana kitamfaa mno na itakua moja ya income zake nyingi ambazo anazo.
Kwake yeye kuamua kumuoa mmoja ya wasanii hodari wa kike ambaye ana mashabiki wengi na pengine wengi wao ni wanaume nadhani lilikua si amuzi mdogo kwao wote wawili. Wawili hawa mahusiano yao yalikua hadharani kwa sote kuyaona na kuwa na maoni nayo. Kuanzia ku leak kwa video yao ya faragha mpaka mahusiano ya mkewe na Marehemu Ruge, kila kitu kilikua nje nje. Je haya yaliathiri au kuyajenga mahusiano yao kwa kiasi gani?
Vipi kuhusu suala la Marehemu Godzilla ambaye kulikua na shutma kwamba alikua anauiga style yake na baadhi ya Radio zilikua zinampa nafasi yeye ili kumficha Zilla? Na je suala la kifo chake ambalo lilimleta yeye karibu na mtoto wa Zilla? Hii ilikua inamsumbua vipi wakati watu wanasema hivyo? Na je alikua anaona jinsi ambavyo ilikua inamsumbua Zilla?
Ukiachana na muziki Nenga pia ni mfanyabiashara mzuri tu ambaye amekua akitumia jina lake ipasavyo ili kuweza kujitengenezea kipato cha pembeni ambacho ni cha uhakika zaidi kuliko mziki ambao anafanya. Nna uhakika na yeye anajua kwamba ana uhakika wa kuuza electronics zaidi kwa mara nyingi kuliko uhakika wa kuwa na hit song nyingi kwa mwaka. Na hiyo haimaanishi kama yeye si msanii HODARI ila zaidi kwenye suala la wimbo kuwa mzuri lakini watu wasiupokee kama matarajio yanavyokua.
Humu pia tulichambua kiasi kuhusu jina lake ambalo amelirithi. Majukumu, biashara, mapenzi, urafiki, usia na familia.
Ningependa u enjoy kama ambavyo sisi tu enjoy wakati tunaongea.
Love,
Salama.
Support us through anchor.fm/yahs...
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
Audiomack Link bit.ly/YahSton...
TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Nenga kama Nenga namkubali sana huyu kaka ana busara katikakuongea kisomi sana salama my best interview so in Tanzania
Nandy qnd Bill are so true to themselves yani interview zao kwangu ni must watch
Yaaah sure Nenga unajuaa kupangilia vitu unajieleza vzr keep moving
Best show ever
Huyu jamaa ninamuangalia tangia ligindogo na Nisha chapisha frana ya chafu pozz mwenyewe2 mtaan kwangu for love kwa nenga ninamkubali vibaya kinomanoma Big love bro 🇹🇿🇮🇶🌍✌️
Hakunaga interview ya William billinas na Nandy inatonipitaga na always a play it more than ones...congratulations Brither am super proud of you ....2020 kuna mtu alikuwa anakuponda I told her billinas is genius and smart in and out waut you will this nansy kapata mme bora still hawakuamin but alla and all Yr here na kila kukicha unapaaa juuu ..congratulations alot nawapenda wewe na Nandy I wish mjue aiseee .Mungu awatangulieeee
Yani Mimi Naatafutaga hata za miaka Mingiiiiiiiiii Iliyopita naangalia
😂😂Kama mimi vile Yan huwa napenda sana kuwasikiliza
@@pendokissatu937 wewe ni mimi tena huwa narudia 😂😂😂😂😂😂
Jmn tupo wng kumbe daa kumpnda Mt ambae hujawah kukutan nae nikipaj et🤣🤣
Billnas yupo smart sana
Jamaa kweli ni educated asee
Salama jabil we ndo namba Moja wangu kati ya mtangazaji ninaekukubali mpaka napitiliza
Billy yuko composed,this guy is cool ..much love from 🇧🇭🇧🇭
Nenga ni future Mwana efuei
Allah kashasema kuwa mtu mwenye elimu na asiekuwa na elimu wapo tofaut sana napenda sana kuangalia interview za watu wengi na naonaga utofauti mkubwa sana wa mahojiano ya mtu aliesoma na ambae hajasoma
Hakuna zawadi nzuri kama upendo
Uyu kaka amevaa gold tupu aise napenda anavowekeza kwenye vitu vya thaman kama gold maana ata ukiishiwa unachakukiuza ukacover palipolegea. Safi sana
Baraaaah sana hiii Nenga
Anaitwa bless
Mziki mzuri puuh
No one will talk about the sound system and mic setting, congrats salama
Baby 🙌 blessing
Naomba intaviu ya ney wa mitego
This is Much Good
Mtoto wao anaitwa #Adom
Big Time
Kipindi chako Kiko poa sana! Mhoji Mike Tee
Respect sana hiki
Super Star Right Now
Keep On Mzee One of the big tanzanian rapper 🇹🇿
Maashalah
He is genius asee
I can guess the name, jina lake ni Dorothy
Good Words Big Thinking So Creative ☑️
very powerful
Top 20 watangazaji bora wa media Tanzania 🇹🇿 2023.
1.Millardayo
2.Salama jabir
3.Maulid kitenge
4.Fredrick Bundala(SNS)
5.jonijo
6.Lily Ommy Tambwe
7.B.Dozen
8.Adam mchomvu
9.Mamybaby Na Dullar planet bongo EATV.
10.Didashaibu wasafi media
11.Diva wasafi media
12.Meena Ally
13.Vido vidox ayotv
14.Ammygal Na yule gal wasafi media
15.Edo kumwembeee wasafi media
16.Mwijaku
17.Aaliyah wasafi media
18.Din Nassor Wa Dizzim online
19. Shilawadu kwisaaa na mzee wa maski
20. Mwijaku
Wa 5 mwamba nenga huyu hapa🥰
😀😀 kweli mungu ni fundi did see that gal friend
Big up
Hakika sana
Keep on miving ❤️
Salamaaaaa
talented one
Nenga congratulations kwa majibu mazuri, salama kazi nzuri sana, nakukubali sanaaa, from 254
Hauwezi, ukipatia hiyo? Ntakupa zawadi kubwa sanaa👏👏👏👏
Here We Go Mzee
The boy is talented
Maboi Nenga
Tanzanian Rapper is here
Blessing
Calm,thoughful convo
Mtoto wa Billnass anaitwa blessing au grace 😆😆😄
Gracious
Hilo Ni common hawezi kumpa atatafuta jina unique kdg😁😁😁
Naamin nimaombi na mungu amejibu
Kindly ☄️☄️
Sana mafioxo
Respect 🙏💋
Mtoto anaitwa Gianna
Bless
Kohoa Upale Tonge
Never Lie Mzee
🔥🔥🔥🔥
6:09 📌📌📌
12:54 📌📌📌
24:35 📌📌📌
"Me hata dingi simjui ndo mana story za dingi hazinisumbui" billnas
Haina interview mbovu
Nengaaa 😅
Whaaat??? He is the father of Dylan copyright no DNA needed at list he has a father am at peace now ,watching from ug love u Salam J thanks for the show mi nishabiki yako since 2008 EAtv
How do you know he’s the father?
Wow
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Salma una maswali ihi ya cm imenikosha
Sasa nandy umemwacha salama
jama is so deep sana pale alipo gusa swala la meaning ya majina tunayo wapa watoto wetu
Guid
Ahaaaaaaaa 😂
EDUCATED ONE ❤️
Billnass akili nyigi sana
Repsect Sana Kaka
ilove you all
Mishale mingi
JINA LENYE MAANA YA BARAKA KUTOKA KWA MUNGU NI NATALIAH. NAOMBA ZAWADI YANGU HHHHHH
I liked it 🥰but I would like to to see Diamond one day please
Anaitwa NTUNTUFYE NINI? KAMA WA MKOJAN 😂
Salama ile ya fetty densa mbn haijatok¿
💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Atakua anaitwa Blessing,,,,,,,,,Blessings
Gift
Michelle
Over sana
Nenga
🇹🇿🇹🇿🎼🎼🎼🎼
Nengaaa
Mchaga nenga
Mafioso
jama is so deep sana pale alipo gusa swala la meaning ya majina tunayo wapa watoto wetu
🔥🔥
Mafioso