Nimeota paka iko kitandani kwangu,nikajaribu kumfukuza akawa anasita kuondoka,mudakidogo nikaota nimelala najifunika shuka mpaka kicwani yule paka akiwa anajitaidi kuningata ila hakufanikiwa kuningata ju nilikua nilijifunika shuka mwili mzima.tahadhari niambie nini maana ya hiyo ndoto.🙏
A aleikum nimeota paka njee Ya nyumba na hakuingia na pia paka mwenyewe Rangi kama chai lakini upande moja amechomeka upande moja wote amechomeka . Na hajingia kwa nyumbani
Assalam aleykum sheikh..samahani kwa usumbufu😔,,,mimi nimeota paka wawili wamebebana (yule wa aliebebwa ni mweusi) na mmoja yupo peke yake wanaitana “asha,hawa,tondokeni”😥 wanatoka ndani nikaanza kuwasomea nimewasomea (nliwaelekezea viganja vyanga)😥adi wakafa,,yan wakati nasoma viganja vya mikono yangu vilikua vinatoa nguvu adi moshi😥
Nimeotapaka Mara tatu Nipaka weusi wananiparua mgongoni naskia maumivu pia huwa nawaona mbka nikistuka siwaoni hiyo niliota Mara ya Kwanza na ya pili. Mara ya tatu niliota paka wawili weusi lakini Mmoja nikamuua Sasa sijui Inamaana gani
A salaam Aleykum. Shekhe Mir nmeota paka mweupe yupo juu yakabat bidae yule paka akanirukia mie nkamuwahi nkamdaka nkamfinyanga finyanga hadi akaishiwa nguvu nkamuachia.. Baada ya kumuachia akajitahid kukimbia ajarudi tena,, hii ipoje shekhe wangu..
Shekhe nimeota paka wawili wameingia ndani kabla hawaja ingia uliaza upepo mkali kisha paka wawili wakaingi muda kidogo akaingia mdada lakini paka wale niliwashika wote
Nimeota natoka chumbani katika kutoka nikakutana na paka rangi ya kijivu na nikahitaji kukimbia lakini akanipunguzia kasi ya kukimbia na akaniingia kuazia miguuni alipofika kiunoni nikasoma ayatul kursiyy nikashituka kilichonishangaza ilipofika magharibi natoka chumbani nikamuona yule paka anatoka chumba chengine na kukimbia nje
Assalamualaikum ustadi me nliota Kuna sehem tunasafri na gar.... Tulivyofka katkat ya safar gar ilpata ajali lakin hakuna alieumia.... Tukawa tumetulia abiria hatuelew Cha kufanya ndio akapita paka tukaambiana tumpande paka ili safar iendelee .... Tukampanda yule paka .... Sasa hatujafka mbal yule paka akafa Tena akawa anatoa harufu balaa abiria tukashuka.... Nam nkastuk
Assalam alaykum,Shekh naomba unambie maana ya hii ndoto.. Mume wangu kaota anapigana Na paka wa 3 katika papatua yake akawa amewaminya shingo lkn mmoja akamponyoka akenda kumpara sehem zake za siri alivo shituka ameshika sehemu zake za siri akizivuta na kupiga ukelele... inamaana gani? Msaada plz
Naomba unisaidie mim nimeota nimechinja paja la paka nikataka kwenda kuuza nikaogopa nikaenda kuitupa Kwa siki la chooni lkn huyo mnyama sikumaliza kumchinja et ananitafta huku ananungunika hyo mnyama
Shehe Mimi nimeota nipo ndani ya nyumba ghafla akatokea paka akataka kunigusa nyayo zangu alivyo taka kunisogelea tuu ghafla akawa anzunguka mara akanguka akafa nikaona dam zinamchuruzika Nini maana yake shehe
Mungu atuepushie inshallah😢
mashallah mashallah Allah Akulipe kila la kheri inshallah
Walaikum salam warahmatullahi wabarakatuh
Sheikh mimi nimeota napigana na paka
Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh
Shukran ta sheykh
Mimi nimeota paka 2 nimewabeba nawapeleka sehemu
Subhanaah Allah
Mansha allah
Mana nimeota kuna mtu anawachinja paka kinyama wengii mpaka wanatoka kinyesi 😭😭🤦🏿💔
Nimeota paka wengi wameinhia ukumbini.kwangu nikawafukuza wote
Mashallah
naomba uniambie nijue tafadhali nakuomba
Nimeota paka iko kitandani kwangu,nikajaribu kumfukuza akawa anasita kuondoka,mudakidogo nikaota nimelala najifunika shuka mpaka kicwani yule paka akiwa anajitaidi kuningata ila hakufanikiwa kuningata ju nilikua nilijifunika shuka mwili mzima.tahadhari niambie nini maana ya hiyo ndoto.🙏
Nimeota paka anauwa mtoto wangu akafa na paka nae akafa huku ameng'ang'ania kwenye mkonon wa mtoto
A aleikum nimeota paka njee Ya nyumba na hakuingia na pia paka mwenyewe Rangi kama chai lakini upande moja amechomeka upande moja wote amechomeka . Na hajingia kwa nyumbani
Mh wakati wengine inakutea wasiwasi mana unapata vitu vya ajab😭😭
Asalam alaykum samahni shekhe me nimeota nimelala na watoto wapaka...inaman gan.
Assalam aleykum sheikh..samahani kwa usumbufu😔,,,mimi nimeota paka wawili wamebebana (yule wa aliebebwa ni mweusi) na mmoja yupo peke yake wanaitana “asha,hawa,tondokeni”😥 wanatoka ndani nikaanza kuwasomea nimewasomea (nliwaelekezea viganja vyanga)😥adi wakafa,,yan wakati nasoma viganja vya mikono yangu vilikua vinatoa nguvu adi moshi😥
Ulikuwa unawasomea nini
Sheh je ukiota paka amekufa
Na mungine yukatika hali ya mwisho
Nimeotapaka Mara tatu
Nipaka weusi wananiparua mgongoni naskia maumivu pia huwa nawaona mbka nikistuka siwaoni hiyo niliota Mara ya Kwanza na ya pili. Mara ya tatu niliota paka wawili weusi lakini Mmoja nikamuua Sasa sijui Inamaana gani
Je ukiota una he za na yy unambeba na nimzito paka mwenyewe mkubwa lakini hakutishii
Kutafunwa je na paka usingzn
A salaam Aleykum. Shekhe Mir nmeota paka mweupe yupo juu yakabat bidae yule paka akanirukia mie nkamuwahi nkamdaka nkamfinyanga finyanga hadi akaishiwa nguvu nkamuachia.. Baada ya kumuachia akajitahid kukimbia ajarudi tena,, hii ipoje shekhe wangu..
Isingeendelea kumfinyanga hadi afe
Asalam hlykm je ukiota unapigana na paka usingizini halafu ukampiga
Shikamoo mimi nimeota kuku akiwa mgonjwa
Mie mara nyingi naota paka mara ananisaidia nikiwa napigwa au mfano Leo nimeota paka af nimepata paka Leo leo
Umemuota paka kakupalula alafu akajigeuza mwanamke anakuongelesha
Nimeota tumeshirikiana na mwanangu tumemuua paka
Mąsha Alah
Nimeota nimeletewa paka, ila kafungwa miguu mitatu, mmoja upo haujafungwa, sasa eti namwambia nitampa nauli aende, paka huyu anaongea kabisa, . Sheikh naomba itafakari hii, paka kafungwa maana ongea
Shekhe nimeota paka wawili wameingia ndani kabla hawaja ingia uliaza upepo mkali kisha paka wawili wakaingi muda kidogo akaingia mdada lakini paka wale niliwashika wote
Mm niliota napigana Na paka
Nimeota paka wawili wananing'ata kwenye kidole gumba na baada ya hapo nikaota vidole viwili gunda kwenye mguu mmoja
Mimi nimeota baka amening'ata mguu wa kushoto mara tatu nikiwa nimelala
Nimeota na panya kuniona akatoroka baadaye katika nyumba yangu nikamwona paka na mtoto wake wamelala kama wametulia sasa hiyo inamanisha😮
Nimeota natoka chumbani katika kutoka nikakutana na paka rangi ya kijivu na nikahitaji kukimbia lakini akanipunguzia kasi ya kukimbia na akaniingia kuazia miguuni alipofika kiunoni nikasoma ayatul kursiyy nikashituka kilichonishangaza ilipofika magharibi natoka chumbani nikamuona yule paka anatoka chumba chengine na kukimbia nje
Naomba kujua tafadhali
Mimi nmeota kuku mweusi na nmeota manyoa imebaki ya mwisho na nikawa na boma nyumba pia
Warangi mweupe siyo kweupe sana macho yake meupe nini maana yake shehe
Ukiota paka amezaa watoto wawili
Mimi nimeota amezaa watoto watatu
Mimi nimeota paka kaingia ndani akajificha nyuma ya kiti
Ulionaje???
Asalam aleykum
Assalamualaikum ustadi me nliota Kuna sehem tunasafri na gar.... Tulivyofka katkat ya safar gar ilpata ajali lakin hakuna alieumia.... Tukawa tumetulia abiria hatuelew Cha kufanya ndio akapita paka tukaambiana tumpande paka ili safar iendelee .... Tukampanda yule paka .... Sasa hatujafka mbal yule paka akafa Tena akawa anatoa harufu balaa abiria tukashuka.... Nam nkastuk
Nimeota paka kamchukua mwanangu
Ndio kuna mtu anaitwa sanura nilishangaa oman nilivyosikia sanura paka
A aleikum ukimuona paka wa kawaida tuu Rangi nyekundu na uka mgonga na gari akafa maana yake nini ?
Ukiota ngombe kilema
Hajafanya kitu kachuchumatu mupore sana
A,alaykum
ostaz mi nmeota paka mchafuu,lakini muda amegeuka amekua msafii, hujasema tafsiri yake !!
Shekhe mm nataka nikuulize swali kuhusu kuota paka,lkn naona hapo maswali mingi hujibu hata moja,INAKUAJEE HIVII!!!??
Mm niliota paka jike na dume wamegandana na pia watu wengi wanna watizama
Ndio ipo dawa ya kumgandisha mchawi niliona wakifundisha na tulifundishwa au kumchapa mchawi na fimbo ya muhogo
Je ukiota jina la Allah kwa kiarabu kwenye mbingu limejichora kwa harufi kubwa rangi ya dhahabu au nyeupe ya kungara inamaanisha nini shekhe
Mimi nimeota mbwa anammeza paka nini maanak 🙉
Mimi nimeota paka mudogo amekaa jirani na mimi kitadani kwangu
Mimi nimeota napigana na paka
Nini maana ya paka kunguka nyumba usiku akipiga kelele?
Nimeota ninamnyonga paka mpaka akafa
Utamkamata mwizi wako, au mchawi wako,
Mii nimemuota paka anazaa maana yake nini,, siku ya pili nikaota ng'ombe anazungumza
Maneno mengi punguza😂
Kuota paka wanafanya mapenzi maanake nini
Ukiota paka watatu wametoka kwenye mvungu wa kitanda chako na wawili wao wanafanya tendo la ndoa ina maana gani?
Kwahyoo nafanyaje ili yasinifike
As'salam alaikum warahmatullah wabarakatuh,,,Mimi niliwahi kuota kuona paka yuazaa,,,nn maana yake??
Na ukimuona paka mweusi yuko ndani Ya draw . Kabati Ndiyo nini
Assalam alaykum,Shekh naomba unambie maana ya hii ndoto.. Mume wangu kaota anapigana Na paka wa 3 katika papatua yake akawa amewaminya shingo lkn mmoja akamponyoka akenda kumpara sehem zake za siri alivo shituka ameshika sehemu zake za siri akizivuta na kupiga ukelele... inamaana gani? Msaada plz
Subhannallah pole my
Nimeota paka amekufa nje ya nyumba nini maana yake
Naomba unisaidie mim nimeota nimechinja paja la paka nikataka kwenda kuuza nikaogopa nikaenda kuitupa Kwa siki la chooni lkn huyo mnyama sikumaliza kumchinja et ananitafta huku ananungunika hyo mnyama
Asa Sheikh ndo unaturusha roho? Si utupe!😣
Nimeota punda wamebeba mizigo
Mimi nimeota paka ananing'ata nikamkamata nikaanza kupambananae nikamkamata kichwa gafla nikashtuka nikawa nimekamata kwanguvu tumbo lamkewangu