Assalam aleyikum warahmatullaah shekhe mimi nimeota paka wengi weisu walitaka kula vifaranga wa kuku hapo hapo ni katokea nikaenda kuwasaidia wale vifaranga vya kuku ,nikawa nimeuwa paka 3 nyeusi paka wengine waka kimbia walivyo ona nimeuwa wale paka wa 3 sijui inatafsri nini
Shekhe mm nimeota paka wawili mmoja mke n mmoja mme. Lkn baad ya mda yule mke amefariki sjw maan yake nini
Shekhe mimi nimeota paka amenilukia seemu za sili na.kunikwalua paka mweusi ndoto iyo inamaanisha nini
Assalam aleyikum warahmatullaah shekhe mimi nimeota paka wengi weisu walitaka kula vifaranga wa kuku hapo hapo ni katokea nikaenda kuwasaidia wale vifaranga vya kuku ,nikawa nimeuwa paka 3 nyeusi paka wengine waka kimbia walivyo ona nimeuwa wale paka wa 3 sijui inatafsri nini
A, alaikum sheikh mm nmeota paka mweuc mkubwa lkn ana miguu mitano nyuma mitatu na mbele miwili na mkia wak mfupi