TAFSIRI YA NDOTO KUOTA MVUA INANYESHA | TARAJIA KHERI NYINGI KATIKA MAISHA YAKO"SHEIKH ABUU JADAWI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @Maryamjuma-s8w
    @Maryamjuma-s8w 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikh Allah akujalie kheri inshallah

  • @YusufMuhammed-v1l
    @YusufMuhammed-v1l 5 หลายเดือนก่อน

    Inshaallaah Allah aniongoze amin 🤲🤲

  • @مريمااتاا
    @مريمااتاا 5 หลายเดือนก่อน

    Masha allah jazakallahu kheryy

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 ปีที่แล้ว +5

    Masha'allaaaah!
    Mimi napenda sana ilmu hii ya ndoto na nafuatilia. Naomba namba yako ya simu Shk.

  • @mwanaidiraimwanaidirai5662
    @mwanaidiraimwanaidirai5662 9 หลายเดือนก่อน

    Amin❤❤

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @AdamBwambale
    @AdamBwambale ปีที่แล้ว

    SHUKRANI SHEHK

  • @MuwezaNathan
    @MuwezaNathan 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa tfs zako nimeota nanyeshewa nanikaoga mikono Maji ya mvua

  • @MarthaMalashi
    @MarthaMalashi 8 หลายเดือนก่อน

    Asante. shehe

  • @salmakadede
    @salmakadede 8 หลายเดือนก่อน

    Shukrani

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @YusufMuhammed-v1l
    @YusufMuhammed-v1l 5 หลายเดือนก่อน

    Allaah huaqbar

  • @nibigirahassina9308
    @nibigirahassina9308 ปีที่แล้ว

    Inshaallah

  • @SalumuSandu-e8l
    @SalumuSandu-e8l 10 หลายเดือนก่อน

    A salaam alykum Mimi nimeota ndoto nipo ndani ya nyumba ya marehema bibi mzaa mama mvua inanyesha sana mabati yametoboka mvua inaingia ndani

  • @naomiwasike1814
    @naomiwasike1814 8 หลายเดือนก่อน

    Amini

  • @OmanOman-mg2vt
    @OmanOman-mg2vt ปีที่แล้ว

    Salaam aleykum warahma tullah wabarakatu jina langu ibrahim sheikhe mimi nimeota nachinja mtu nikachinja mpaka nikaachanisha kichwa baada yahapo ikabidi nikimbie hukunikifikilia marengo nilionayo kwamba sito yatimiza tena kabla yahii niliota mvua inanyesha

  • @halimaassanali2687
    @halimaassanali2687 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam waleykum .nimeota mvua inanyesha mdogo wangu ananyeshewa nikawa nimefunga mlango nikamfungulia mlango nikamkumbatia halafu nimjamzito nikafunga mlango . Mara nasikia kondoo wawili wananyeshewa nikawafungulia nawao mlango nikafunga..nn maana yake shehe

  • @FatumaOmary-gk8zy
    @FatumaOmary-gk8zy ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleykum mi nimeota nvua inanyesha lakini nikondani nyumba inavuja namaji yameingia ndani kitanda kimeloa godoro limeloa tepetepe nikashangaa sana mpaka godoro limeloa sana na kitanda kilikua kibovi kwa pembeni hivi

    • @SaidaKazuvi
      @SaidaKazuvi ปีที่แล้ว +1

      Waalaykumsalam msikilize vizur shekh amesema ndoto iliyosababisha madhara si nzuri.... hivo ni vema ukamtafuta ili akushauri zaidi

  • @AminaSaidi-y3g
    @AminaSaidi-y3g หลายเดือนก่อน

    Nimeota mvua imenyesha kwangu ilikuwa shwali tu ila kwajirani zangu mambo yamekuwa mabaya wakaja kuniomba niwasahidie hii inamaana gani

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum warhmatullah wabarakatuh shekhe wangu ,naomba nikuulize swali! Mimi nimeota nyumba ninayokaa imejaa maji mpaka kwenye madirisha, na nje kama bahari Haina kikomo nn manayake?

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 ปีที่แล้ว

    Assalam aleikum sheikh,tatizo SheIn wangu tunapo uliza hutupi majibu,kwa TH-cam,nimeota jeneza mbili zinamaiti ndanimwe ila wakawa hao watu si waisilam pakawa kunawatu wengi wanajiandaa kwenda kuzika,mudapunda mvua ikanyesha ila watuwakasema hatakama mvua imenyesh lazima twendekuzika hivohivo ndoto ikaishiahapo

  • @mariamusultan2659
    @mariamusultan2659 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum mimi nimeota ndoto nikiwa na watu wengi tuko kwenye kisomo cha dua na badae mvua ikaanza kunyesha.hii inabashiri nini 🙏🙏 lkn
    Naomba namba yako nina mengi sana

  • @FatmaMwalimu-p2p
    @FatmaMwalimu-p2p ปีที่แล้ว

    Mm nimeota ndiyo nayishewa namvua yenye utulivu na nimenyanyua.mikono naomba Dua ila sikujuwa Hina gani

  • @shanithadawson1943
    @shanithadawson1943 9 หลายเดือนก่อน

    Samahan nimeota mvua imeisha nying sana maji yakajaa nikawanatembea juu yake kuwaangalia wenzangu ila awakudhulika

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeota juzi mvua kubwa snaaa mpka miti inadondoka

  • @reen_yamagucci
    @reen_yamagucci หลายเดือนก่อน

    Nimeota mvua mpk nakinga maji kwenye ndoo

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 10 หลายเดือนก่อน

    Shekhe naomba uni saidie kila saa kinyw changu ki atamla kuw mama kafariki yanı wiki hii nzima kinyw changu kinatamka wakati mama yangu ni mzima jipo nipo mbali hebu niambie inamana gani

  • @neymakubi173
    @neymakubi173 ปีที่แล้ว

    Je ukiota mvua inanyesha lakini maji yanaingia uvunguni na mpaka godoro lime roa na uvunguni kulikua na kifaranga cha kuku cheusi kime kufa na mwanamke mwingine ame kitupa Nje

  • @AbasiSullemani
    @AbasiSullemani วันที่ผ่านมา

    Shee ukiota unajaza upepo baskeli kwa kutumiya pambu hlf unajaza kwa nguvu hlf baskeli inamzigo half taili haijai haraka maanayake nini

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 6 หลายเดือนก่อน

    Mvua ile ya lashalasha inanyesha imetulia nzuli, ila mim siloi naiangalia na inavyonyesha ardhi matone yake yakiwa yametonea ardhini vizuli na tope lake zuri naiangalia tuu uzuli wake

  • @cynthiamathias7913
    @cynthiamathias7913 ปีที่แล้ว

    Sasa vua ya upepo handi inaharibu nyumba tukakimbilia kwanyumba lakini hiyo nyumba ilikuwa dogo upepo ukapinga drisha kukawa kunataka kumbomoa lakini tukazimba ila bado ikawa inanyesha kubwa

  • @MwajySebe-qh8ik
    @MwajySebe-qh8ik ปีที่แล้ว

    Je ukiotaa mvua imesha nyesha majii nimeng sn yalio nyesha barabarani nikawa. Navukaa

  • @MarthaMalashi
    @MarthaMalashi 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeota. nanyeshewa. mvua. nikiwa. ndani. ya. nyumba. nikapata. balidi.

  • @SofiaUmande-ss1zj
    @SofiaUmande-ss1zj ปีที่แล้ว

    Nimota nyumba inanyesha chumban vitu vinalowa vyote na muda uwo nipo na mwanaume nilio achana nae