😂😂😂😂 twawajua tu sio kuwasikia mama Bado wako mpaka miaka hii 2023/08/30. waambie mama Mafans wangu msambweni kote ujumbe kwenu kwanzia Ramis, Dargumbe, kikoneni, majoreni, fingirika, kingwende hoyeee, watu wa mkwiro kisiwa mziki kwa upole mpaka shika adabu bila kuwasahu watu was 00 yaani zero zero ukiingia magaoni
Allahamdullillah,nyimbo zakale za nipa raha tuu.mie msafiri abdulaziz nuru!!!allah atujalie uhai,uzima bado za leta raha.mie kipenzi wa taarabu sana!!!...👍👍👍👍🙏🙏🙏💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪...
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
I guess im asking randomly but does anybody know a trick to log back into an instagram account? I was dumb forgot the login password. I love any assistance you can offer me.
Jamaniii Nakumbukaa Mbali sana nikiwa bado kadogo Mitaaa ya Chang'ombe B ikifika Ijumaaa natoka shule jumamosi kuna harusi jirani tunakesha Wimboo huuu ndio ulikuwa the Best hakuna wakufanishwaa naoo
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
Vipenzi wa Taarab ni wengi sana! Tunalienzi ziki hili!!
😂😂😂😂 twawajua tu sio kuwasikia mama Bado wako mpaka miaka hii 2023/08/30. waambie mama
Mafans wangu msambweni kote ujumbe kwenu kwanzia Ramis, Dargumbe, kikoneni, majoreni, fingirika, kingwende hoyeee, watu wa mkwiro kisiwa mziki kwa upole mpaka shika adabu bila kuwasahu watu was 00 yaani zero zero ukiingia magaoni
Khadija Yusuf na Zuhura Shaban,Mumejaaliwa Sauti,Nawapenda mpaka basi Khadija kopa.
2024🎤👌👌🎸🎸🎹🎶🎶📷🎼🎼 wow tamu sana 😘
2024 anyone?❤
April 2020 visadi kiwembe mbele ya maginius wa taarab wametulia tuliiiiiii
The best song ever lightened uswahilini Khadija hapa ulipeana ujumbe mahususi
Hata kwetu fisadi kiwembe wapo.nyunyuuuuuuuuu!
Nimekupenda sana dada ulikuwa vizuri sana
Nakumbuka KBC radio ya taifa Kenya kila SAA saba mchana inaweka nyimbo hizi miaka 25 iliyopita
Shukran sana kwa nyimbo zenu ,zina mafunzo sana..
Hongera mama kwa nyimbo zako nzur Hadi waleoo iko juu🙄❤
2022 mpooo vipenz vya taarab
Enzi zileee nko mdogo xana jgoma lnatamba xx nmekuwa mkubwaaaa alhamdulillaaah
Allahamdullillah,nyimbo zakale za nipa raha tuu.mie msafiri abdulaziz nuru!!!allah atujalie uhai,uzima bado za leta raha.mie kipenzi wa taarabu sana!!!...👍👍👍👍🙏🙏🙏💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪...
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
Twalibu Mohamedi q
Fisadi kiwembe mgombanishaji kiukweli haichuji pongezi kwako Hadija Yusuf
Mashairi ni mazuri na yana ujumbe.
Nakumbuka enzi zangu Dar. Miss the place.
Mnapatikana wapi. Naomba niwaalike kwetu mtuporomoshe taarab moto moto
Fisadi Kiwembe,,noma sana hata huku bara kunao wengi
Ataree 🔥 2020 tulioko pamoja Achia like yako Apo from +968
Namwona Mzee yusuphu anazikwenda kweli kweli af ngekuwepo pasinge kalika maana ngelizungusha buno atar nashangaa hamlisakati rumba jomoni!
I grew up listening to this song....2021 its still sweet
Ujumbe ni kweli
I guess im asking randomly but does anybody know a trick to log back into an instagram account?
I was dumb forgot the login password. I love any assistance you can offer me.
@Tatum Miller Instablaster ;)
Inanikumbusha kitaaaaambo nipo nachuma karafuu mzingani pemba
Fisadi kiwembe ngoma tamu bado yavuma
I remember doing this taarab in music festival and 2022
Did it in 2014
Still watching in 2021 🇶🇦🌹🇶🇦🌹🌹🙌
My mama's favourite 💕
Nampenda huyu dada mashaallah! Anaimba sana
Nakumbuka mbali sana 2004 adi 2006 pale travel time oteli
2021 my neighbor alihama wish ningekua nimemwekea hii nyimbo mchonganishi.
😂😂😂😂😂
Ahsante Mama Khadija Yussuf, Fisadi Kiwembe kweli
Waambie huyo fisadi asiye jielewa mupe
Waulize kama wanamjua hyo fisadi kiwembe
Rohoza kutu wambiye 😂😂😂❤
nakihusudu sana....nakumbuka miaka za nyuma pale
Nani yuko hapa 28/02023.
Mashaalah🎉
Khadija yuthufu uko vizur nakupenda umenikosha mama
Fisadi kiwembe kutengenisha watu
Mg jamani wimbo mmoja sijauwona waita wakowengi wamekonda ijapo kuwa kidogo
Kwakila mwenye kukonda juwa
Ana donda ndugu
One of my favorite song
❤haloooo watu wote wa msambweni
Usisindatse Mulamu
Wimbo babu kubwa unatesa bila huruma.Mama zidi kutupa mavitu haya ya ajabu
2020🔥🔥🔥🔥
This is my favorite song slow and easy.
This happen to be my favourite of all Kadhija's songs!! She looks very beautiful in her natural skin. Lightening the skin is not good at all.
Khadija hujawai kua na show mbovu mama
2020 bado iko juu.
Eeee fisadi kiwembe uyoo🤣🤣 tumfanyenini sasa😂😂😂😂😘😘🤗🤔
Old is Gold
Fisadi kiwembe Khadija yusufu
2023 tarabu inatowa mawazo jamani
It's nice one
Wimbo wenye msisimko mkubwa
Helwa Fisadi kiwembe
Naam tunamjuaaa fisad kiwembe hasidi wa ndevu na kucha...haaaahaaaa
Masterpiece
Hii hunikumbusha mbali
2020👇
Wimbo mzuri sana
Wanaoangalia 2020 like hapa wimbo bado upo juu sana
Mashaallah
Still fav 2021
Fisadi kama fisadi
Khadija uko juu
Safisana 2020
Kazi Nzuri kwakweli nimependa pia mlivyokua halisia no carorit no mkorogo good sana
Hatari
Wakati taraabu ilikua tamu bado nasikiza 2018
fisadi kiwembe
Haloo mafisad viwembe hata 2023 bado mpo???
Fisadi kiwembe Ana roho mbaya
hapa ni kabla ya mikorogo na hivyo carolite havijaingia
Originally face
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
@@sabraame1916 🤣🤣🤣
kweli kabisa sasa hivi hana rangi ya kuzaliwa
Yeeeeeeba....
Naomba USO WA GUZO...
Dogodogo wachukua kuwafundisha uhuni..huna ata kuchagua mungu amesha kulaani😂
👌👌👌👌👌
Mwimb mzur sana
February 26,2021 🔥🔥
nimekupenda bureeeeee bi hadija kopaaaaaa
Sio kopa huyu
Ndio zao hizo mahasidi
Kama umemuona mzee yusuph akipiga kinanda enz hzo gonga like 2019
Yngu hio
Nakumbuka miaka zaman co mchezo
@@ayshamahariq6665 miaka iyo balaa
@@mfaummesimbamkuti4071 Nakwambia 🤣🤣
Atar
kabisaaa
2019
2020 gonga like yangu
2021 feb
Jamaniii Nakumbukaa Mbali sana nikiwa bado kadogo Mitaaa ya Chang'ombe B ikifika Ijumaaa natoka shule jumamosi kuna harusi jirani tunakesha Wimboo huuu ndio ulikuwa the Best hakuna wakufanishwaa naoo
Helwafisadikiwembe
kumbe hadija Yusuph ni mweusi ssa weupe kautoa wapi
Wewe ni fisadi kiwembe!!!
Kunywa maji mengi ndio siri y mafqnikio 😅😅😅😅😅😅 usiturteee ufisad kiwembe
Nice song
Very nice
Zilipendwa
😢 7:12
Nice song 💖 💖
Vp
16/12/2020 nipo hapa
Pamoja daar
Bado ipo ppwa naisikiliza 1/11/2021 nice nakupenda khadija yussfu
Zilizo pendwa
Kitna ganda song
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana wa kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine
Wimbo juu hauna wakulinganisha
Akika hadja yusuphu upo vzur.
Huyo ndo Khadija Yusuph mwenyewe katika ubora wake nampenda sana huyu dada anajua kuimba sana pia ana uwezo mkubwa sana kuimba, kutendea haki na kuzimiliki vizuri hadi nyimbo za waimbaji wengine