ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mwanaume akifanikiwa atahitaji mwanamke! Na mwanamke akifanikiwa ndipo yeye basi hahitaji mume
Mwanaume ▪️Analeta hela Mwanamke▪️Analeta hela ▪️Abebe ujauzito ▪️Ajifungue ▪️Alee ▪️Atunze familia & nyumba Kwa mfumo huu, tunashangaa ndoa kupungua kwa wanawake?
Huyu Kayla akija kudumu kwenye ndoa siku..niite Doggi nimekaa pale
Nabadoo sindio haki sawa kila mtu mjuaji😊
Kayla yupo kama mimi nataka tufanyiane sio mimi tu hapana
Inaonekana wazanzibari wenzangu hawa naomba huyo wa kulia tuzoze yupo vizuri na anajielewa
Mko vzr masha allah ❤
Nyinyi Hamna wanaume izo hina mumemtilia nani na Ramadhan hii? halaf hata mm siitaki 50/50 siitaki asaa
Mm naleta mahari
Kuna wanaume naonaga wa vi mwanamke vyao vi feminist. Wanatesekaga sana. Dunia kwao huwaga nzito
Hao wanafundisha nini ?
boring 😴
Mwanaume akifanikiwa atahitaji mwanamke! Na mwanamke akifanikiwa ndipo yeye basi hahitaji mume
Mwanaume
▪️Analeta hela
Mwanamke
▪️Analeta hela
▪️Abebe ujauzito
▪️Ajifungue
▪️Alee
▪️Atunze familia & nyumba
Kwa mfumo huu, tunashangaa ndoa kupungua kwa wanawake?