FATA KANUNI HIZI KWENYE NYUMBA YAKO YA KUFICHA BATI ILI ISIVUJE SIKILIZA MWANZO MWISHO UJIFUNZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @JacksonthomasMihenga
    @JacksonthomasMihenga 9 วันที่ผ่านมา

    Nakuerewa sana jamaa

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 5 หลายเดือนก่อน +5

    Yanini yote hayo 😅wanaopenda hidden roof kazi kwenu.mimi huu mfumo sipendi hata kidogo asee hapana

  • @DanielLyamuya-lb2cs
    @DanielLyamuya-lb2cs 2 หลายเดือนก่อน +2

    Km ela yako ya mawazo usijenge iyoo nyumba

  • @sammywanjau
    @sammywanjau 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera ndungu yangu kwa maelezo mema ambayo yanaeleweka

  • @wanjirusarafina5187
    @wanjirusarafina5187 หลายเดือนก่อน

    Good advice 🙏🏽👏🏽👏🏽

  • @EmilyJohnKiyeyeu
    @EmilyJohnKiyeyeu 26 วันที่ผ่านมา

    Asante lakini mbao hazitakiwi kuzidi mpaka kwenye gata ,tofali za nyumba zilingane na ya ya gata ya mwisho na nizur zege yaan hapo bado kdg uweze

  • @rich-lr8tq
    @rich-lr8tq 26 วันที่ผ่านมา

    hizi siyo nyumba za kujenga kama wewe ni maskini, naona ni za gharama zaidi kuliko nyumba za kawaida

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 4 หลายเดือนก่อน

    Hizi nyumba sijui watu wanazipendea nini

  • @bakarikobelo1805
    @bakarikobelo1805 5 หลายเดือนก่อน

    Quotation yake ina gharimu kiasi gani nyumna ya vyumba 4, jiko, siting roo, na dining

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do 5 หลายเดือนก่อน

    Kupauwa kama hivi inagharimu bei gani niko ktk hatua hii vyumba vinne naomba Qutation yake pls

  • @hlb4lyf701
    @hlb4lyf701 2 หลายเดือนก่อน

    Uwe unaweka kwa chini link ya muendelezo wa kila content

  • @ayoubmasenza1598
    @ayoubmasenza1598 4 หลายเดือนก่อน

    Hizi nyumba ni ngumu sana

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 4 หลายเดือนก่อน

      ngumu kujenga au ngumu kwa maana ya uimara fafanua hapo