Uko vizuri sana kwenye suala la ujenzi. Utafika mbali sana kijana. Ila Hilo neno linatamkwa hiden sioo haiden. Ingawa neno lake la msingi linaandikwa hide na kutamkwa haid. Kwa kifupi. Hide tamka haid. Hiden tamka hiden. Mungu akubariki kusanua mabosi na kuelimisha mafundi pia.
Daaaah huyu fundi jamaa kama kamfanyia makisudi yani kamtia hasara kubwa sana sasa uwe na pesa kama nimwenzangu namie pesa yetu ni yakuunga unga unatamani uende ukamchabange mapanga
Kamanda mimi na kesi hiyo navujiwa kweli ya kwangu ni dizzy ya sloppy invuja sana wamenikimbia na RB yao niko singida nitumie hata vijana wani wanilekebishie
Jamani wewe niache tu nimepata hasara mimi uwiiii. Nililetewa fundi anajidai mjuzi wa jpsum. Acha baada ya muda zilianguka zote rumu 3. Tails zime umuka. Naumia mimi jmn maana sinauwexo tena.
Anajua unacho pika bro lazima nikutafute bless
Good job 👍🏾
HONGERA SANA... Upo vizuri na kazi zako zinajieleza na tunakukubali sana..BIG UP
Hongera sanaa unajua KAZI yako tiles ni muhimu hazipitishi maji. Na unyevunyevu na hauwezi ona maji yakipenya KAZI nzuri.
Kwer kabisa upo sahihi nikijenga nitawaitaji🎉🎉❤
Watu hawataki kutafuta watalaam , wengi wanapenda akina Fundi Michael . Good job
Mimi kama Mkenya napenda Kiswahili cha Bongo. Mwalimu umefanya kazi nzuri.
Dogo uko vizuri saana, nayaona mafanikio yako ya baadae.
Yes Sira 😅😅😅😅😂😂😂
Nakuelewa sana kaka. Mungu akubariki sana kwa kuendelea kutusanua.
Mashallah kazi nzuri
Hongera unajuwa
Umetisha mkuu yamenikuta ayoo
Upo safi sn, heri yako kuwa mwalim mwema
Uko vzr mwamba👊
Nimekuelewa sana kwenye hii video. Hongera sana
Elimu zuri🎉🎉🎉 chukua mau yako
Safi sana bro
Safi sana mdogo wangu
May god bless you
Upo vizuri
Safi sana nekuelewa
Good job i have same problem
Nikweli kaka❤❤❤❤
Shukrani fundi
Nimependa sana hiii.... umeonyesha mambo mengi ambayo watu wanakosea.
Nakukubali fundi
ubarikiwe sana ntakutafuta
YES SIR!!!
Safi kk
😢😢😢Yani hiiii mijengo jengeni tu wala sina hamu nao
Hata mi sjatoneaga kuzipenda aina hizi mimi za kufunika kawaida ndio simple
Umetis bro
Woooiiiiii mi niliona ctaki shida nikawaambia nipaulieni imwage maji upande mmoja,,sikutaka izo mambo za utaalam kabisa
Kwakweli
Nitumie picha dear nione ulivyofanya
AlaaaH! Mambo yasiwe mengi,unamaliza ujenzi unaanza tena upya
Nimekupenda bure
Nimekupata.vizur
Asante sana kwa kutupa ufahamu, exallent bro
Usimlaumu sana fundi inawezekana mwenye nyumba ndio chanzo kupenda kuraisisha
Yalikuta na mimi haya
😂ila usiwe una tumia neno wadogo wangu. Video zako wengi wanao angalie ni watu wazima
Amesema wadau wangu,,
Sio wadogo,, Sema hapo kametumaliza Sana mafundi
Amesema wadau wangu,,
Sio wadogo,, Sema hapo kametumaliza Sana mafundi😂
Amesema wadau wangu,,
Sio wadogo,, Sema hapo kametumaliza Sana mafundi😂
Amesema wadau wangu,,
Sio wadogo,, Sema hapo kametumaliza Sana mafundi😂
Amesema wadau wangu,,
Sio wadogo,, Sema hapo kametumaliza Sana mafundi😂
Yes sir😂💪
Yaan mi nakuelewa sana
Sema gata bwana sio dude
Kwa hali hii unaweza kutafuta mtu na panga😎
Haswaaaa mana wañaona watu pesa wanaokota
yan acha
daahh fundi huyu amemfiris tajir nyumba ovyo kabisa
Yes sir
Hongera sana...waeza fika Kenya?
Uko vizuri sana kwenye suala la ujenzi. Utafika mbali sana kijana.
Ila Hilo neno linatamkwa hiden sioo haiden.
Ingawa neno lake la msingi linaandikwa
hide na kutamkwa haid.
Kwa kifupi.
Hide tamka haid.
Hiden tamka hiden.
Mungu akubariki kusanua mabosi na kuelimisha mafundi pia.
Fuala wewe unajifagilia kizembe
Sema fundi ujenzi sio fundi matope fuala wewe
Waah huyo findi ametia hasara lkni kosa Liko kwa mwenyewe alifata urahisi
Mimi sio fundi Ila nimekuelewa sana
Mkali
Nimekuelewa kk
Sababu ya kupenda rahisi sasa itamgharimu
Daaaah hasara sana hii jamani 😢😢
Tunaiga uwezo hatuna wenzetu wenye nyumba zao nchi za kiarabu juu huko hawaweki bati ukipanda ni zege tupu 😢sasa mafundi nao wanavamia
Kaka nime kuku bar
Muda ukifika mm ntakuita Tunduma brother
Majiran zake wamepiga roof za kunyanyua very simple ila huyu mwenye nyumba kajifanya mzungu ili wamsifie kumbe kawekewa bwawa juu ya bati
Kila mtu anaamua nyumba yake aipaue kwa style gani sio lazima wafanane,shida nihuyo fundi ndio kamtia hasara.
Yes sir. Kumbe wenye shida hii tupo wengi. Mafundi wanatutia hasara jamani.kama hawajui kupauwa dizain hii si waseme ukweli tu.
😂
Usimuhumu mtu bila kujua anaamua yeye na ela yake
Hizi nyumba unyama sana ila mafundi jau
Yesaaaaaaaaa
Engineer swala langu hii contemporary roofing ni bri rahisi ku weka?
Hao mafundi ni wa kuweka ndani
Nimekusoma mr,hause
Daaaah huyu fundi jamaa kama kamfanyia makisudi yani kamtia hasara kubwa sana sasa uwe na pesa kama nimwenzangu namie pesa yetu ni yakuunga unga unatamani uende ukamchabange mapanga
Tiles sio solutions nimeona zinapitisha maji ktk maungio
Hasara kubwa sana
Tanzania wataniua, maji hawawezi "KUFLOATi"
Kweli
Kamanda mimi na kesi hiyo navujiwa kweli ya kwangu ni dizzy ya sloppy invuja sana wamenikimbia na RB yao niko singida nitumie hata vijana wani wanilekebishie
Niko Kenya nimejaribu kupiga no zako nyote hajigii
Uzuri nina.namba yako ww ndo utakae nipaulia nyumba
Mwambiee ahache kuiga akome
Acha ujinga ww
Kamera man wako kazingua hajui kitu kabisa
Hasaraa jamanii
Huyo fundi nae alizidi fundi wake msamehe
Hizi nyumba zakuficha paa ni balaa ata kurekebisha iko costly sana
Shida watu wanapenda vitu vya rahisi kwani bati tsh ngapi
Kaka mbona hupokei cm? Sasa wateja tunakupataje?
Nawakuchukiye lkn utuokowe
Natuma msg hujibu
Ni kweli kabisa, Harmonise, Diamond ni upuuzi tu
jamani mafdi wanachukua pesa zabure
Yani uwe unafundisha sio kujifanya unajua yote na kujikuta unajua zaidi
sooo sad yaumiza kwa kweli
Nyumba za Jenga uza izo, ndivo zilivo
Sasa uogopi huko juu ukipolomoka wakati imeshiba maji
Kudadeki fund niwakumsaka huyooo alie borongaa
mm nimeweka gatta ndogo but aivuji mwaka wa 8
Ni hasara kwel kwa ss wabangaizaji
Umesomeawapi
Jamani wewe niache tu nimepata hasara mimi uwiiii. Nililetewa fundi anajidai mjuzi wa jpsum. Acha baada ya muda zilianguka zote rumu 3. Tails zime umuka. Naumia mimi jmn maana sinauwexo tena.
Umenitisha uuwi😢😢😢
Pole
Na nikitaja unifanyie ww
Ujenzi huu niliukataa kabisa na unikome. Napauwa kisusu tu
Nikweri kabisa bola kupaua na borit tu
Duh
Shida hawana akili ata mimi si fundi naona tu hapo kunamakosa aisee inasikitisha sana
Yaah hapo hata kama sio fundi unaona kabisa wamebugi..
Acha ushamba
😢
Daaah umenifungua akili mr house hilo ndio tatizo nililonalo hapa kwangu kariakoo. Unaweza kuja kuniangalizia tatizo lililopo hapa kwangu?
Onaongea sawa ila umezingua kusema mafundi tope
🎉
Ahsantee