Mashaallah mumeweza kweli kuonesha mamb yanayotendeka kwa baadhi ya watu ktk Mchana wa mwez mtukufu wa ramdhn. Kaz nzr ila musiucheleweshe sisi tunafuatilia
Maigizo hayapo katika uuislam nyie acheni MASIHARA NA HII DINI...quran imeletwa ifuatwe CY MAIGIZO......ACHENI MAMBO YA MAKAFIRI NA MAYAHUDI WAO NDO HUMUIGIZIA MUNGU SANAMU LAO WANALOLIABUDU.....WACHENI MCHEZO NA HIII DINI NYIE
Kazi mzur sana tena sana
Mashaallah mumeweza kweli kuonesha mamb yanayotendeka kwa baadhi ya watu ktk Mchana wa mwez mtukufu wa ramdhn. Kaz nzr ila musiucheleweshe sisi tunafuatilia
Jay😂😂😂😂😂😂😂❤
🎉🎉🎉🎉
Mashallah ♥️
Muna kaa sana kazi kutoka
Kazi mzuri
Yaan hapa Kwa huyu j km najiona ni mm iv : ya 5 iko wap
Jay mbona unamzonga mtoto wawatu unataka umharibie funga zake
Jey 😂😂
bas hicho kijiji watu wote hawafungi😂 na hyo anaepika ndo anaechangia watu kuto kufunga
Mda mwingine mnavuka mipaka ya dini hata Kama nikuigiza
Mbona mnauchelewesha ivi ila hongeren kwa kaz mzur
Maigizo hayapo katika uuislam nyie acheni MASIHARA NA HII DINI...quran imeletwa ifuatwe CY MAIGIZO......ACHENI MAMBO YA MAKAFIRI NA MAYAHUDI WAO NDO HUMUIGIZIA MUNGU SANAMU LAO WANALOLIABUDU.....WACHENI MCHEZO NA HIII DINI NYIE
Hii ni dini sasa wewe umefata nini huku tena
@@alhimnamussasaid3619 mnapotaja RAMADHANI....UNAFIKIRI KWA AKILI YAKO INAHUSU NN RAMADHANI????
Hujawa na dini hio unawez kutizam tizam huwezi uza sim yako iyo upumbav punguz Kwan ex iy