TAULO la BABA LEVO, NANDY Ashindwa KUJIZUIA, SHILOLE AMCHANA - "TUMBO KUBWA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2021
- TAULO la BABA LEVO, NANDY Ashindwa KUJIZUIA, SHILOLE AMCHANA - "TUMBO KUBWA"
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Wangapi wamekuja apa Kwa ajili ya Baba levo😂🤣🤣😂😂😂😂🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣tupo wengi mwanangu tumemfuata mwambwane🤣🤣🤣🤣
Nakupenda baba levo
Baba levo sio mzima
Baba levo na shishi mlipo mungu anawaona alafu mimba ya shishi imekuwa
Whaaaaat 😳huyu ndio chawa?mlevi tu
Shishi baba levo nawapenda sana
2:49 Dogo anamuogopa Babalevo. 😆😆😆 Anajua muda wowote jamaa linaweza kumfanya Topic!
🤣🤣🤣🤣🤣
Matajili hawali Sana baba levo tunajuana tulipotoka kula mzee
Sasa hv Baba Levo anatrend kuliko Ncumali😂😂😂😂😂Wcb4Life
Siokula enjoy nikula kujigalagaza 😂😂
Ni hataree baba levo
Sasa kwanini wasivae ndio waje kwenye camera kwani hawajui watu wengi wanangalia shilole nawe ongea tu kiswahili maana unatia aibu😏😏😏😏😏😏
Baba levo chizi aise hua sijutii kumuangalia aise
Babalevo simzima Huyu jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona eh
Bab levo on Top
Hahahahahaha yani huyu baba jmn "muda wakula jamani"
😂😂😂😂 mama levo na towel yake inakaa kama ana mimba ya mapacha 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@jenifajuma5395 😂😂😂😂😊
Kweli wabongo ushamba mnao eeeeeeeeh
Night dres za nn nandy
kama umeskia mbwa huyu gonga ka like kwa mbali
Yaani shilole mdomo wake wakupayuka tuuu
Yani hauna zipu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda sana baba levo
Ushamba kazi kweli amaa kweli mama levo Mshamba
Wewe dada fahdi
Hv uyo Kunguni ana akili sw sw kweli mbona mi naona kama anajdharrsha
Mbn coni wasanii hapo?
Nandy hizo nywele hazijakupendeza kabisa
King Yuko wap
Hapa nikula na kujigalagaza
🤣🤣🤣🤣🤣 anafurahi misosi chawa
Chawa kila Kona😂😂
Baba Levo watu wasinune 😆
Kwani huyu msanii baba levo chizi mbona haeleweki mitandaoni
Wewe ndio auelewek
Kudadeki kuleni pesa za dada yetu Nandy 😂
Baba Levo kawa chawa wa Nandi 😅😂😂
Baba levo ana tumbo 😂
Hawa kuku sio broila kweli
🙄🤭😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
Baba levo nashirole unajua natukwana kwaajili yenu nawapenda Sana jmn nipeni ata namba?
Baba levo kifua cheupe kama cha mwanamke alaf unakiachia ivyoo
😀😀😀😀😀
Sasa kaumbiwa vile atanyaj
No manners
Shilole tafuta vijiko vyaku pakulia chakula
Muwe mnamualika na giygiy jamanii
Hajafunguliwa bado
Gigi na Nandi tenaa my!
Si alisema hamjui nandy aalikwe kufanya Nini tena na kafungiwa na basata
Gigi angealikwa hapo angesha chafua hali ya hewa
Baba levo unaliwa kwasitailihizi simzima unaliwa na h baba ndomana ukatamani uzaena daimondi barazuliwe unampenda kula kunajela falawe
Munaliwaga wote
Hebu kamjaribu uone labda anaweza akukula ww😂😂😂
we ni mjinga san mwezio ndio mpunga insignia we unabwabwaja acha uchoko fanya kazi