TAAMKO LA SERIKALI Z'BAR WATU 4,500 WASHAPATWA NA UGONJWA HUU | HALI NI MBAYA | RED EYES

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
  • #Redeyes #Zanzibar #Afya #wizara
    Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 15

  • @user-zn7lz4rb6l
    @user-zn7lz4rb6l 6 หลายเดือนก่อน +2

    Namuomb Allah awaponyesh wote waliopat maradh haya n waliokua hawajpt Allah awahifadh ktokan n maradh hya In Shaa Allah.

  • @himaryamhaidar5612
    @himaryamhaidar5612 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atuepushe na maradhi na atukinge na Kila la shari Amiin

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 6 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙏

    • @suleimanrashid3918
      @suleimanrashid3918 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na hii tabia ya kuwafukuza wagonjwa kama mmbwa wanapo kwenda hospital muache tafadhali

    • @user-yx3ex4vy7o
      @user-yx3ex4vy7o 6 หลายเดือนก่อน +1

      Zanzibar na Tanzania wakosea.

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 6 หลายเดือนก่อน

    waziri anazungumza kama muangusha nazi havutii kumsikiliza wala hafahamiki, kama anaeimba. ndugu wandishi habari mara elfu. mpeni pole nyingi

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 6 หลายเดือนก่อน

    Washapata

  • @HashimPepea-mk8mj
    @HashimPepea-mk8mj 6 หลายเดือนก่อน

    Ndugu waandishi wa habarii 😂😂😂😂

  • @alihabib7640
    @alihabib7640 6 หลายเดือนก่อน

    Ndugu waandishi ndo nini kisha mmekaa weeeee km kufa c ndo tungelikuwa twishaa

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 6 หลายเดือนก่อน

    Mnasema Leo watu wiki hii mikuwa mnaweza kuwazuia watu wasisafiri mpaka utulivu upatikane Leo ushaingia ni janga hili ukilipata hufanyi kazi😢

  • @alhudhaify7810
    @alhudhaify7810 6 หลายเดือนก่อน

    Neno la ndugu waandishi wa habari mbn unalirudia sn?

    • @hajiharoub8125
      @hajiharoub8125 6 หลายเดือนก่อน

      Wanasiasa hao yeye anaona kama Yuko bungeni
      Muheshimiwa spika..........mheshimiwa spika...

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa ipo ilaugonjwa hautabuliki

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo mnapo wakosea wananchi mnawachagulia wananchi pakutibiwa

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 6 หลายเดือนก่อน

      😅