NI MUUJIZA MIMI KUWA HAI HADI LEO, WENZANGU WAMEKUFA WOTE KISA TULI..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2023
  • NI MUUJIZA MIMI KUWA HAI HADI LEO, WENZANGU WAMEKUFA WOTE KISA TULI..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #NIMUUJIZAMIMIKUWAHAI #WENZANGUWAMEKUFAWOTE #tikitvkiakilizaidi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 80

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 ปีที่แล้ว +1

    Kunawatu wanapitia Mikasa mizito nyie hii dunia 🙌🙌

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว +1

    Kweli lila jambo ulimtanguliza mwenyezimungu na kumuomba kwa nia safi basi mwenyezimungu yukopamoja nawe kaka...ujana ni nusu ya wendawazimu mwenyezimungu atuepushe na tamaa za ujana tufanye kazi na pia tuache kuzini ukipendana na mtu cha kwanza vipimo vihusishwe kwanza kujua afya zenu. Asante kwa fundisho Zuri.

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว +4

    Ulimuharibia ujana wake ilitakiwa muoane kabla. Changamoto za ujana mwenyezimungu atunusuru

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Sasa kumuoa kungesaidia nini kwa mwanamke malaya

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 ปีที่แล้ว +2

    Duhh kumbe bado kunavitu nilikuwa sijavijua kwenye hii dunia dahh hata sitaki mashoga mimi maana ni balaa jamani.

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 ปีที่แล้ว +1

      Miemwenzako hizo habari zsmashoga sitaki hata kuzisikia

  • @ralmazidi6978
    @ralmazidi6978 ปีที่แล้ว +1

    Tik tv kiakili zaidi asante

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว +2

    Kk fanya ibada na pia uombe msamaha kwa uliyofanya
    Uombe toba
    Alafu Dumu na ushukuru sn allah kwa hilo

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mwanamke alikua bwawatena umalaya gani huwo kamamyama Allah atampa hakiyake

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +1

    Leo nmejifunza kitu kupitia hii Video Ahsante Tiki Tv💓💓💓💞💞

  • @ekaiamoja3155
    @ekaiamoja3155 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka, kweli inausunisha

  • @mushken65
    @mushken65 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kaka.Wanawake na wanaume wameoza kabisa siku hizi. Lazima ukae macho na uwacheki afya Yao kimakini kabla wajatumbukiza 🇰🇪

  • @lucymtitu3604
    @lucymtitu3604 ปีที่แล้ว +1

    Unapendwa na MUNGU

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +1

    Mtu Afi bila ya Ahadi yake na sababu yakifo chake. Nae ipo sababuyako uloandikiwa na Allah ambayo itakutoa Duniani waliyobaki watasema fulanikafana hiki ........ Ndiyo mwishowetu kilamtu anaenda nazake alicho qadiriwa

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 ปีที่แล้ว

    Kumbe kweli uchawi upo dahh

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว

    Ngoja nipate uhondo moe

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว +4

    Story nzur sana pole sana kaka ndyo maisha :

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +1

    Thanks bro Kelvin

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว +4

    Allah is great brother...ALLAH BARIK

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwenye kusubili majibu sasa kama nilikuwa nakuona vile😂😂

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 yani ukienda kupima hata uwe huna huo ugonjwa lakini mapigo yamoyo mbio

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 ปีที่แล้ว +1

    Nmejifunza kitu kikubwa sana leo hii dahh pole sana kaka Mungu azidi kukulinda Ameen

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว

    Kumbe siyo kila unayemuona kama binadamu siyo binadamu kweli hizi zama za mwisho

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 ปีที่แล้ว

    Dahh kadiri unavyozidi kueleza ndiyo inazidi kunoga

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +5

    Yani haichoshi hata kidogo, leo umenifungua akili kaka ungekuwa hujaoa ningekubali kuwa mke wako maana kwa mkasa huu unajua maisha ni nini na hata mwanamke awe mzuri kma jini hakuchanganyi ungekuwa wangu peke yangu.

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

      Wachache tupo ivi karibu kwangu tu

    • @latifaonesmo7629
      @latifaonesmo7629 ปีที่แล้ว

      Unamjua vizuri uyo unaetaka akuoe 🤣🤣 umenichekesha ndugu story tu umevutiwa na kijana

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

      @@latifaonesmo7629 ee amevutiwa na mtoa story kwa sababu ndo ameuelezea uhalisia wake alivyo na ndomana ndg yetu kavutiwa nae

    • @latifaonesmo7629
      @latifaonesmo7629 ปีที่แล้ว

      @@amanimanase8798 aliongea nikweli lkn mke kwasasa ana mana mke waliachana zaman tu tabia ya umalaya ana mungu kampa subra akikupenda bwana uyo ujiandae kufatwa kama siafu shida moja tu anamkono wa kupiga kwa wivu na pombe kupenda kunywa alikua mzuri uyo lkn kafubaa kwa ajili ya pombe hapo

    • @munabalushi2964
      @munabalushi2964 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Dhambi ya uzinzi mmmh Ni Bora kutubu dhambi na kuacha na kumufuata YESU TU MAANA tunateseka na hayo magonjwa Bado jehanamu ya Moto milele MAANA WAZINZI na waongo na dhambi zingine Ni jehanamu labuda tutubu dhambi na kuacha na kumufuata YESU NDO pona yetu

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว +3

    Big testimony May God be with you.

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว

    Duuuhh🤔

  • @kendra371
    @kendra371 ปีที่แล้ว +1

    Ukimwi hiyo

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 ปีที่แล้ว

    Big up Tiki Tv kwa habari hii ni funzo kubwa

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +1

    Subhaanaallah 🤔🤔🤔🤔🤔

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

    pole Sana kaka angu,Mungu bado Anampango nawewe

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว +5

    Me ndo mana huwa nawashauli sana wanaume wenzangu ukikutana na mwanamke kabla ya kufanya nae tendo mkacheki afya kwanza wanawake wa siku hizi hawafai kabisa hasa wa jiji la darsalaam

    • @davidwaziri8176
      @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว

      Umakini unatakiwa Sana kaka

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

      Hujaongopa kaka hii ata mm huwa nipo makini sana hasa hawa viumbe wa kike wanaoishi mjini aisee ni wauaji mnoo,ee mungu nisaidie na namshukuru mungu huwa ananifanyia ulinzi mkubwa sana kwa hili

    • @mushken65
      @mushken65 ปีที่แล้ว

      Hata wanaume wameoza kabisa. Lazima uwacheki afya Yao hospitali kabla wajatumbukiza 🇰🇪

    • @julianayesayamwailolo8240
      @julianayesayamwailolo8240 ปีที่แล้ว +2

      Pande zote mbili wapendwa si wanawake tu hataa hao wanaume pia .

    • @mushken65
      @mushken65 ปีที่แล้ว

      @@julianayesayamwailolo8240 umenena kweli. Hata wanaume wameoza sana. Hata huyu Kaka kupinyoka kwake ni kimiujiza tuu. Alikuwa hata yeye anaenda/ anatamani sana kulamba hiyo asali ambayo ilikuwa na mdudu. Somo.kubwa. Usilambe vote ambazo vyaeleza. Pima Kwanzaa kama ni dhahabu ama ni kinyesi.

  • @amanimyolo1478
    @amanimyolo1478 ปีที่แล้ว +1

    Inna lillah wainna ilaih rajiuun

  • @habarikamili9408
    @habarikamili9408 ปีที่แล้ว

    Huyo siyo binadamu ni shetani tena Lusifa kabisa

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว

    Kunawatu wanabahati Yani wenzio wote waliopita Mahali na ww ulipopita wameiufa na ugonjwa ww hauna daah katoe sadaka kaka unaweza kua mziwanda wa mungu😱😱😱

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +1

      Subuhanallah ji kauli uako siyo nxuri . Anawaza awe,....... Inalillahi wainailahirajuun

  • @kikiswahili
    @kikiswahili ปีที่แล้ว

    Hadi nywele zimesisimka walahi

  • @latifaonesmo7629
    @latifaonesmo7629 ปีที่แล้ว

    Ndio ufanye uoe uache ukorofi tafuta mke mkapime afya nauishi na mke vizuri

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +1

    Shukuru sana mungu kaka na ww ungejua tayari kaburini

  • @user-eh4rc3cm9d
    @user-eh4rc3cm9d 9 หลายเดือนก่อน

    Kevn achana na iyo miguno😅😅😅

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว

    Sasa mlijuwaje kama kile kitu kina mmeza mwanzie

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว

    Shukuru mungu sana kaka maana bado anakupenda Mahali ulipokua umeingia sio kabisa Yani huyo dada mbona hana huruma hivyo jaman 🙌

    • @dianadaudi3380
      @dianadaudi3380 ปีที่แล้ว +1

      Tena mungu anampenda sana uwiiiiiih🤔

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว

    Tiki Tv mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @agnesnandutu3877
    @agnesnandutu3877 ปีที่แล้ว +1

    Alahamdhilillah kwa kila unalojaaliwa

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว

    😳😳😳

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +4

    Fanya haraka U-slimu maana ni Allah pekee ndiyo alikuokoa ndugu

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +1

      Sana umeona nduguyangu watu wanajisaulisha kumshukuru Allah

  • @lucymtitu3604
    @lucymtitu3604 ปีที่แล้ว +1

    Apo kweny kusubiri majibu, nimecheka kama mazuri 🤣🤣

  • @makinitv4891
    @makinitv4891 ปีที่แล้ว

    Tiki Tv nawakubali sana

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 ปีที่แล้ว +5

    Wa kwanza leo naombeni like zangu jamani

    • @theofrids2866
      @theofrids2866 ปีที่แล้ว +2

      Kifo hakina dini, uwe mwislamu, uwe mpagani, uwe mkristo kifo kitakuja tu siku yako ikifika. Huyu kaka hajafa siku yake haijafika, sio kwa kuwa ni muislamu. Inawezekana hao waliokufa wengi wao waislamu.

  • @remegiusesseven8822
    @remegiusesseven8822 ปีที่แล้ว

    Somo!!

  • @makinitv4891
    @makinitv4891 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwanini majini wengi ni Waislamu?

  • @kikiswahili
    @kikiswahili ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 ปีที่แล้ว +1

    Njoo katika dini haki ya uislamu hakika hautakufa.

    • @catherinensemwa3907
      @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +3

      Toka zako Yesu anatosha

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว +4

      Sijawahi kuona wagonjwa wakiombewa kwa jina la Allaha wakapona,😂😂😂 nachojua pepo magonjwa yanasalimu amri yakiombewa yatoke kwajina la Yesu na maushahidi yakutosha ila mgonjwa kaombewa kwa jina la Allah, mmmmh sijasikia sanasana mganga ndio anatibu kwa jina la Allah.

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 ปีที่แล้ว

      Kwani mkiristo huyu kwajina hilo analootwa jamani

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      @@ukhtyrayyan7884 Kapagawa huyo na mapepo