MREJESHO: RAHMA BINT MODOGO ASIYE NA NDUGU HATA MMOJA AANZA MAISHA MAPYA NA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • MREJESHO: RAHMA BINT MODOGO ASIYE NA NDUGU HATA MMOJA AANZA MAISHA MAPYA NA..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #MREJESHO #RAHMABINTMDOGOASIYENANDUGU #UKWELIWAMAISHAYAKE #TIKITVKIAKILIZAIDI

ความคิดเห็น • 268

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 2 ปีที่แล้ว +19

    Jamani poleni sana, pole sana Kelvin ndo changamoto za kazi ila hongera sana Rahma umepata kwako Mashaallah Mungu akutunze na akutunzie mwanao, ulinilza sana.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว +2

      😢😢😢 Alhamdullilah. Wasomtaka wote kuna siku wao mwenyewe watamtafuta. Dunia duwara.. Rahma usimsahau yule Dada alokuwa na wewe mpaka Hospital...alikuwa mtu sana...

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 2 ปีที่แล้ว

      Alituliza wengi kwa kweli... baada ya dhiki huja faraja alhamdulillah

  • @ernestlaiza6084
    @ernestlaiza6084 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania ni nchi yenye watu tofauti wanahuruma MUNGU awazaidie kwa moyo huo👏👏

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 ปีที่แล้ว +32

    UMEFANYA VIZURI SANA
    KUMSAIDIA HUYO BINTI.
    UBARIKIWE BROTHER 🙌
    NA KWA USHAURI WANGU KWA USALAMA MWENYE NIA KUTOA MSADA WATABIDI WATUME TU KWA MTANDAONI. MSIENDE KWA MTU PRIVATE HAUITAJI KWENDA KWA MTU YOYOTE YULE KWAKE. YANI MAISHA YA SASA SIO YA USALAMA, WATU KWA SASA ROHO ZAO SIO ZA UBINADAMU.!!

    • @bintiwayesu2226
      @bintiwayesu2226 2 ปีที่แล้ว +4

      naunga mkono hoja dunia imebadilika kila mtu anawaza yake km kweli mtu anahitaji kutoa msaada atume kupitia mtandao msiende kwa mtu yeyote kwa usalama zaidi

    • @salmaseif6284
      @salmaseif6284 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata mm naunga mkono

  • @Farthun
    @Farthun 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah mngu amjaalie kila laheri

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 ปีที่แล้ว +2

    Manshallah usikate tamaa hatasikumoja mndogowangu ikosiku utayasahawu maumivu unayopitia inshallah 🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @sophiamakani6133
      @sophiamakani6133 2 ปีที่แล้ว

      Wooow congratulations kwa wale milijitolea kwa kumusaidia binti huyu mungu awazidishie

  • @maisarah6819
    @maisarah6819 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdhulillah🙏Allah akuongoze mdogo wangu.akupe siha nzur pamoja na mwanao.

    • @salhaali9284
      @salhaali9284 2 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @halimaomar2564
      @halimaomar2564 2 ปีที่แล้ว

      Rahma mwanangu mm nakupenda sana nataka uwe mmoja kati ya mamilia yangu japo sina kitu lkn napenda iwe hivyo na huyo mtt wko awe ni mjukuu wangu nina kaa tanga ndio maskani yangu nakukaribisha sana tupo pamoja allah akusaidia kumpata mama yk mwanangu

  • @alesiakayoka9121
    @alesiakayoka9121 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema, Hapo mdogo wangu pambania maisha yako Asiwepo wakutaka kuurudisha nyuma, na usishawishike kwa lolote walimwengu hawafai, pambana pambania .maisha yako na mwanao

  • @maryamalhabsi4364
    @maryamalhabsi4364 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 2 ปีที่แล้ว +1

    @Kelvin shago hongera, Mungu akutangulie Kwa kazi nzuri,tumia email address itakuwa rahisi

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah 🥰

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 ปีที่แล้ว +9

    Ila bado amtihan kikubwa asirusu kutembelewa bila kamera kwa maono yangu

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 ปีที่แล้ว +14

    Hongereni sana ndugu zety wallah awahifadhi na awalipe kheri lkn msijekutoa namba za rahma kwa mtu yeyote na msijemkawaonesha watu location ya hapo aishipo anaweza kuja kufanyiwa uhalifu nawaomba plz mhifadhini kwa njia yoyote

    • @مباركا-ر3ف
      @مباركا-ر3ف 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli kabisa usemacho ndugu watanzania roho zimebadilika

    • @maryammdoe5801
      @maryammdoe5801 2 ปีที่แล้ว

      Naam dear si keshajulikana kua ni binti then anaishi peke yake hana usimamizi, mtu aweza kuja na gia ya kusema nakuja kuposa kumbe ndo wale wale

    • @maryjoshua6118
      @maryjoshua6118 2 ปีที่แล้ว

      Mwanangu Kelvin Mungu akubariki sana inhabitants kwa mwingine munguakubaki

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 2 ปีที่แล้ว +3

    Jaman niliisubir kwa hamu

  • @yassinihassan9819
    @yassinihassan9819 2 ปีที่แล้ว +13

    rahma mungu atakupa wepesi sote tunakupenda na mama yako utampata inshallah

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 2 ปีที่แล้ว

      Amin yarab

    • @alush3138
      @alush3138 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashallh kaka allh atakulip akusimamie kilahatua yamaishayakooo akujaalie uwemuislam tumefurah kumstir mwanamkemwezetu

    • @hafsahajiabeid5768
      @hafsahajiabeid5768 2 ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah

    • @hafsahajiabeid5768
      @hafsahajiabeid5768 2 ปีที่แล้ว +2

      Ila Rahma kama mama nakuomba utulie asije.mwanamme yoyote akakwambia nnakupenda wewe ukaingia ukaanza kuishi nae kimapenzi akitokea hivo ukasadikisha nawewe umempenda basi afanye taratibu za kihalali akuoe usikubali kuzini nae

    • @nooor1120
      @nooor1120 2 ปีที่แล้ว

      @@hafsahajiabeid5768 baarakallahu fiik

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa296 2 ปีที่แล้ว +1

    Rahma anaupendo

  • @noorlheyaljabri602
    @noorlheyaljabri602 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilah allh azidikukufanyiyawepesi binti

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 ปีที่แล้ว +2

    Wow,tiki tv mmefanya Kama Kaka Zahiri mungu akuongeze inshaAllah 🥰, kelvin mungu atakufikisha mbali inshaAllah

  • @mariayoeni6657
    @mariayoeni6657 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama hujaoa .... Mpendezeana sana jaman

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 ปีที่แล้ว +2

    Sahihi apo kod kubwa bora tujengee inshaallah

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 2 ปีที่แล้ว +4

    Kelvin mbona na mimi naanza kupata hisia kama za Amina kwako jamani

  • @neemakinukile9522
    @neemakinukile9522 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimepata faraja ya moyo leo kuona huyu mdg wangu kapata kwake Ooooh mungu mkubwa sana

  • @tabynas4485
    @tabynas4485 2 ปีที่แล้ว +2

    Alaf shayoo usinenepe jaman......

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      na weupe huo anao

    • @tabynas4485
      @tabynas4485 2 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 👌👌👌

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Nimerudi tena huku, anachoongea yule dada kule ndugu zangu tukipuuze, shayo kaanza mwacheni amalize, anaetaka kumsaidia rahma amsaidietuu, yy hana ndugu, naona sasa watu wanalazimisha awe ndugu yao, jamani msimuharie, msaidieni muondoke thawabu kwa Allah

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah, hongera sana Kelvin, kiukweli nimefurahi sna Mwanamke mwenzangu kupata sitara, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga my love 💕😘

    • @salhaali9284
      @salhaali9284 2 ปีที่แล้ว +1

      Amin

    • @عباسعباس-ش9ه4ت
      @عباسعباس-ش9ه4ت 2 ปีที่แล้ว +2

      Hongeara sana kelvin mungu awabariki

    • @halimaomar2564
      @halimaomar2564 2 ปีที่แล้ว +3

      Hongera sana najisikiafuraha sana mana huyu mtt rahma aliniliza sana lkn sikuwa na uwezo allah akusimamie zaid na zaid

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +2

      @@halimaomar2564 me too my dear

  • @nurazain6616
    @nurazain6616 2 ปีที่แล้ว

    Allha akusaidie na akuinuwe inshllha usivunjike moyo

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah kumbe alioko juu ni Kelvin mwenyewe aah mungu akubariki sana kakangu kazi nzuri sana ni jana tu niliomba mregesho wa huyu binti

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 ปีที่แล้ว

      Mashaallah mashaallah

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว

      Kaa tu apo mashaallah shayo anapiga hella na maungo juu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

    Muwe makini sanaa kama mtu anamsaada awatumiye tu sio kumfata na kama anakitu awaletee ofisini watu wabaya anaficha rahma isijekuwa walimbaka

  • @akilimalindevu520
    @akilimalindevu520 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole na hongera sana Kelvin umemsimamia Rahma kama ndugu yako wa damu.

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakika Allah amlipe kila la kheri

    • @aishakhatib3107
      @aishakhatib3107 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah nimefarijika, Allan akulipe khery ya dunia na Akhera Kevin, na Rahma Allah atakufungulia zaid inshaAllah, Innallah Maswabirin , tuko pamoja inshaAllah

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 2 ปีที่แล้ว +2

    Vp Rahma mdogo wangu ulipitia elimu ya dini? Kama hukubahatika naomba ma ukhty waliopo Dar wajitokeze kumsaidia kwa hilo. Allah awabariki wote walioshirikia kwa namna moja au nyingine kumsaidia Rahma...amiin

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo aliyetaka kumfanyia uhuni Allah anajua cha kumlipa, yaani mtu anamatatizo unataka kumuongezea matatizo pumbavu kabisa

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว +7

    Shukran sana kazi Nzur. Mwenyezi Mungu akutangulie katika kazi zako

  • @suzaynnekenyagah1438
    @suzaynnekenyagah1438 2 ปีที่แล้ว +4

    Was waiting to see how the lady have been progressing🙏🙏🙏🙏🙏🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹av been asking so much about the lady

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi xana tiki tv pamoja na Kelvin shayo

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli niliumia sana kutoka Kenya asante sana Kelvin mungu hawabariki sana

  • @swaumuramadhani7889
    @swaumuramadhani7889 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mungu awasimamie Tik TV na wote mlomsaidia

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 2 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdullillah, Mungu hamtupi mja wake.

  • @timanyere9052
    @timanyere9052 2 ปีที่แล้ว +1

    Alafu ana jielewa Sana Wala apepesi ameangalia chini vizur nice dear mungu akuongoze

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว

    Baba hakuwa na picha ya mama yako pengine pia hajuwi sura yako ya ukubwa tuonesheni picha ya mzazi wako miaka 20 sio mdogo wewe ulikuwa na miezi 3sio miaka

  • @yusrahamad2939
    @yusrahamad2939 2 ปีที่แล้ว

    Tunataka kujua habari zq huyu dada anaendeleaje

  • @adelmusalmy8603
    @adelmusalmy8603 2 ปีที่แล้ว

    Inasemekana mchango haimfikii rahma

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 6 หลายเดือนก่อน

    Umesema ukweli bro lakini kwasasa achana nao

  • @esterchomete6802
    @esterchomete6802 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubalki Kevn acha wanadamu waseme maana hawawezi juilika kuongea. Kupanda juu kulekebisha dilisha. Ni moja wapo ya msaada. Na kingine Rahma akiwa kwenye mikono yako yuko sehem salama. Achana na hao wanao kusema vibaya

  • @swaumdodoma7591
    @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha'Allah hongera sana klvn kwa juhudi zako umejitoa sana kwa huyu binti pia hongera sana rahma Masha'Allah kiukweli rahma ni binti anajielewa sana kwa changamoto alizozipitia ingekua mwingine angeshajiingiza Ata kwenye biashara za kimwili lakini aliona ni kheri auje uji kiukweli ameonyesha uthububu pia nimempeda sana kwa muone kano wake anahojiwa lakini macho anainamisha chini ndivo inavotakiwa kwa mtoto wa kike unapoongea na Unajua Kuna wanaume wanakutizama so vyema kukoda mimacho kama ilivo kawaida ya wanawake wengi maana Kuna wanawake wengine Ata akiongea na mwanaume unaona mwanaume ndo anaona aibu na kuinamisha macho 😁😁😁😁

  • @prettyablaali5175
    @prettyablaali5175 2 ปีที่แล้ว +2

    Rahma mzuri na anajistiri Mashallah

  • @bashirabdullah3764
    @bashirabdullah3764 2 ปีที่แล้ว +2

    ماشاءالله

  • @ahmadmohd3771
    @ahmadmohd3771 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu mwandi shayo Kuna tuhuma.dhidi Yako kwamba unamtumia Rahma kujipatia mtonyo Kwa sababu ulimzuiya kuktumia no Yake unalazimisha atumie no ya kiki ila Hela zikija uwe unaminnya na Kuna dalili ya ya ukweli juu ya hili Kwa sababu yy ni mtu mzima na anatakiwa kusimamia mambo yake mwenyewe Tena na km si kweli toa ufafanuzi juu ya hizi tuhuma zilizotolewa ma na bi warda katika AQ online tv

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah kwahatuwa hiyo🙏🏽

  • @sophiamalenga2272
    @sophiamalenga2272 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmhhaya unatangaza Hadi nyumban

  • @raniajohn3685
    @raniajohn3685 2 ปีที่แล้ว

    Rahma huyo bwana ulozaa naye achana naye

  • @mishysuyya9821
    @mishysuyya9821 2 ปีที่แล้ว +1

    Anaheshima sana amezamia chini amejifinika kichwa madhaallsh

  • @ernestlaiza6084
    @ernestlaiza6084 2 ปีที่แล้ว

    HAKIKA MUNGU NI WAAJABU BINTI ATAKI MAZOEA KABIZAAA YA MASIMU MUNGU AKUPE MSIMAMO HUO

  • @ZakiaHamis-zg3yb
    @ZakiaHamis-zg3yb ปีที่แล้ว

    Weka namba yake usweje namba yako

  • @NusurasalimSalim
    @NusurasalimSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Pia kwann hutaki kusaidiwa kwa kupitia sim yako wamganda huyo tiki 😂😂waovyo sana ww

  • @NusurasalimSalim
    @NusurasalimSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenzio alikua ataka akusaidie weye wamganda huyo kaka eti huezi kusema ki2 bila yeye.aki sijui kakupea nini.ila dada alokuita chumban alikua lengo lake ni msaada kwako ila ukaona vp.na walotaka kukuowa walikua wakustili wewe ila ukaona sijui ki2 gani.mwanamke stara dada.

  • @mariamkitwana6148
    @mariamkitwana6148 2 ปีที่แล้ว

    yani huyu kaka mungu akulipe unamoyo

  • @MsodokiSokoine-k2x
    @MsodokiSokoine-k2x 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa makelele muziki na mtoto daa bas

  • @buranawadh320
    @buranawadh320 2 ปีที่แล้ว +3

    Please brother send me your information on site to help my daughter thank you

    • @umbopaday
      @umbopaday 2 ปีที่แล้ว

      Pesa haimfikii rehma

  • @ashaomari7972
    @ashaomari7972 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalipeni nyote mliosaidia hyu bint amiin amiin yarrab

  • @ashanassoro6492
    @ashanassoro6492 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah dada yangu mwisho wa dhiki ni faraja 🥰🥰 Allah akulinde wewe na mwanao ♥️

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama unatishiwa mdogo wangu,nenda karipoti polisi mdogo wangu

  • @farajatarimo7913
    @farajatarimo7913 2 ปีที่แล้ว

    Pole sanaaa kijana mwenzangu na we ni Rika moja na me hata kiumr pia ha2japishana
    Mengi magumu umepitia na umeyavumilia bil ya kukata tamaa kiukwely nimesikiliza simulizi yako me monyewee imenilizaa
    Imaaa nitazidi kukuombea mungu azidi kukuondoshea magumu yote na ukaishi maisha ya furaha Rahma pamoja na mwanao

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 2 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulilah si haha umepata pa kuishi In shaa Allah Mola atakufanyia wepesi katika maisha

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah, nimefurahi jamani Rahma wetu

  • @nurazain6616
    @nurazain6616 2 ปีที่แล้ว

    Pole sanaa mdogo wangu

  • @burudikanamaruma8950
    @burudikanamaruma8950 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm ni mwandishi wa simuliz nilikuwa nauomba huu mkasa wa dada Rahma niuandikie simuliz Kama itawezekana

  • @waridihamisi2059
    @waridihamisi2059 2 ปีที่แล้ว +4

    Ma Sha Allah mungu awajaalie nyote mlomsaidia Rahma Kwa pesa au maombi mungu awabariki

  • @richbird.123
    @richbird.123 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna siku tulikuwa na mdada mmoja mwenye shida kama ya rahma lkn huyu dada alikuwa kiziwi tukatoka wafadhili tukenda pale alipo tulikuwa hatupajui ila kulikuwa na mmoja wetu alipajua tukenda kupeleka vitu huko aliko bahati alikuwa na sehemu ya kukaa tukapeleka misaada yetu tulivyo maliza tukaondoka sasa huku nyuma huyu mmoja wetu Alie kuwa anapajua alirudi na kumdanganya .... Baadae tukaja kusikia kamtia mimba yule dada mbaya zaidi alikuwa tayari anawatoto wawili na hii mimba ni wa tatu naomba msaidieni huyu dada asihadaiwe na matapeli

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah atakufanyia wepesi mdogo wangu na atakuvua na mabalaa yote utaishi kwa amani na mtoto wako nakupenda mamy nimefrahi kukuona 😘💕tuko pamoja

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa msiwaambie watu anapoishi kama watu washaanza kumsumbuwa maskinii

  • @ziadaissa7550
    @ziadaissa7550 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naomb waliojaliw ridhik kubwa wamjengee aishi na mtto

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa296 2 ปีที่แล้ว +1

    Yote hayo mungu ndo aliyapanga lengo akukutanishe na mama yako

  • @agentinamatthew6868
    @agentinamatthew6868 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera rahma mwanangu, kwa ustahmilivu mkubwa uloonyesha pamoja na magumu uliyoyapitia hatimaye MUNGU kafanya njia, wewe ni mfano wa kuigwa katika mabinti, Mungu asikupungukie hekima, na afya wewe na mjukuu, Mungu anamakusudi nawewe kwa mabinti wa kitanzania ni wachache kama wewe uliemwekea Mungu tumaini lako hukutamani pesa za haraka kwa njia zisizo halali. MUNGU wa mbinguni akubariki sana akutunze wewe na mwanao

    • @salamasaid9525
      @salamasaid9525 2 ปีที่แล้ว +2

      Mashallah, àlhamdullilah,ila wasia wangu kwako walokusaidia wakati wa dhiki usije wasahau na walokutenda mabaya usiwalipe mabaya, Allah yu pamoja naww

    • @rehemaathhmani357
      @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว

      Aamiin

    • @veronicamusenya9082
      @veronicamusenya9082 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki na akutie nguvu.. Amen 🙏

  • @vanessadavid515
    @vanessadavid515 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 ปีที่แล้ว +2

    Oh kelvin Mungu hakubariki sana jamani tuko pamoja

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +4

    Wakwanza like jamani

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka unajuwa sana kumuhoji mtu hongera sana. Napia wa Tanzania tunamoyo wa upendo inshaallah Rahma mungu atakusaidia.

  • @muniraame1535
    @muniraame1535 2 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah,Rahma mshukuru mola, Allah akupe Kila la kheir na akuondolee Kila Shari, nakusihi usidanyike na wanaume wengi wanataka starehe na wakuharibia maisha yako tu hao tulia na mwanao umlee vizuri na Allah atakupa mume mwema

  • @salmasleyum8441
    @salmasleyum8441 2 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa nakuonea huruma sana ila mungu akipenda nitakachokipata japo mara moja moja nitakusaidia in sha allah

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

    Kuna dada abanchafuwa kakvine jmn inabidi tukamchambe asituketee ujinga

  • @samilahmohammed3176
    @samilahmohammed3176 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliona Ile TV nyingi na nimeona uku pia nimegundua kelvin ulikua unafanya sahii kwako kwa kumlinda uyu msichana mana wengi wangemtaka labda kumuoa ama ata kumtapeli

  • @bennbenn5979
    @bennbenn5979 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman Rahma nimefrah mwenyewe nilikua nakuwaza na ulijua kuniliza alhamdulilah jaman

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 ปีที่แล้ว +1

    Kav mbona kama una kitambi kaka

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Rahma anafaa kusaidiwa na sisi ndio ndugu zake

  • @jafarikilunga370
    @jafarikilunga370 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallwah nimefurahi sana kumuona rahma akiwa na furaha tiki tv mko juu

  • @أمطارقالبحرية
    @أمطارقالبحرية 2 ปีที่แล้ว

    Rahma jitahidi kama hujui dini yako umtafute mtu akusomeshe dini yako
    Qur an
    Sala yako usiache
    Stara
    Jitahidi na ibada yako utafungukiwa
    Umuombe msaada Allah na msamaha
    Utafanikiwa

    • @أمطارقالبحرية
      @أمطارقالبحرية 2 ปีที่แล้ว

      Usitafute mahusiano kabla ya ndoa
      Allah akupe mume mwema akujaalie umpate mama yako
      Hwenda mama yako anaumia pia lkn kutokana na shindikizo la ndugu ndio akachukua maamuzi yako
      Muombee dua sana mama yako ipo siku mtakutana inshaallah

  • @jessehuho3301
    @jessehuho3301 2 ปีที่แล้ว

    Good work Shayo

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ana Akili akiwezeshwa ataweza kupigana na maisha

  • @muniramunira401
    @muniramunira401 2 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰

  • @frorenceetoile3016
    @frorenceetoile3016 2 ปีที่แล้ว +1

    Nafurahi saana mpaka 😭😭😭😭😭

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 ปีที่แล้ว +1

    Duunh kumbe uyo uko juu kelvin ,,mashallah Ashkuriwe Mwenyezimungu anaezidi kutuneemesha

  • @saidanassorsaida7429
    @saidanassorsaida7429 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana kevo

  • @zoab2699
    @zoab2699 2 ปีที่แล้ว

    Tunamsubiri kwa haam tumuone huyo mama anaitwa mama

  • @bintimwagonga3675
    @bintimwagonga3675 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah,ninatoa shukran kwa wale wote waliojitolea kumsaidia Rahma M/Mungu awazidishie Iman na patolazaidi na nguvu zaidi na ambao hawanapia nawaombea Mungu wawezeshwe ilituxidi kusaidia binadamu wenzetu wanaostahili kusaidiwa malipo tutaenda kuyaona siku ya mwisho inshaallah 🤲🤲

  • @theresiatairo7634
    @theresiatairo7634 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Kelvin na TIkI TV....pia naomba tafadhali tafadhali wasimtembelee Rahma nyumbani kwake kwa lengo la kumpatia msaada maana watu wanabadilika...kila anayetaka kutoa msaada aupitishe tiki tv

  • @twocountrieslady6307
    @twocountrieslady6307 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha,Allah tabaraka allah

  • @ashuraomary8859
    @ashuraomary8859 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaah mungu awabarik

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa296 2 ปีที่แล้ว +1

    Kelvin mungu akubariki sana

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilah kev mungu akubarik I kazi ya mikono yako

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH ukimupata mom ndokilakitu sinyo makosa ya mom bali umusameh namani hata yeye eda alikuwa anafikiria akashidwa ataazia wapi na yeye now hana tena dungu tz pole saaan ndogo wang usetowe number yako hahh mashaallah unakili acha watumie tik tv😚😚

  • @raniajohn3685
    @raniajohn3685 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu washenzi wanajifanya kumsaidia kumbe Wana taka kumfanya vibaya binadamu mpoje jamani

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 2 ปีที่แล้ว

      Wewe amini kama kelvin ni msamaria lakin mim sikubali kabisa na hasa sasa ukweli unafichuka kuwa hii ni dili tu. Mjinga huamin kila neno wenye busara huangalia mambo yendavo