ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Thanks Tiki Tv n Mr. Shayo Good job
Sijui eti dk moja haijaisha nmekuwa wa 19
Huyu mshikaji kachoshwa na kilevi, ila Alhamdullillah haikauki mdomoni. Masha Allah
Huyo jini ndo kakufanya uachane na mkeo bila kujua ili uwe naye bro
Usimpakazie jini sikiliza history vizuri huyo mwamke aliyeachananaye alipata bwana mwengine wakati akiwa Kazini pamoja na ushamba wa jiji alizuzuka
😥😥😥😥😥 umeongea ukweli umenikumbusha mbali hadi nimelia jmn, yani nakumbuka hadi nilichubuka
Ohh pole sana
Nawe uliliwa kumbe poleee
Tamaa ya kuogerea na pira na watu usiowajua mpaka wakakubandua
Uliliwa tigo???pole sana
Hizo sadaka za style hiyo walikuwa wanatoa machifu na watemi tena waliongeza na rupia juu
Oooh very sad story mr shayo
Kumbe huwa mnajua na mbona hamseagi hadi leo shayo kakubana ndo unasema.
Mapenzi baharini tena jmn 🤔🤔🤔
ila watanzania nyie mwapenda ushirikina dah hatari😢😢😢
Baada ya kumuomba Mungu unaomba Majini 🤣🤣🤣🤣🤣
WaTanzania wamezama ndani ya ushirikina...Mrudieni mungu jamani!!!
Kweli baharia, wanawake wengi huwa wanaliwa sana kwa style hiyo na wanapiga kimy tu na wengine wameungua
Huyo mlevi mkubwa Chapombe huyo hata huyo mwanamke wake atakuwa alikuwa mvumilivu
Hatari sana
Inaogopeshe sana
Duhhh
Mshikaji amechangamka safi sana
😂😂😂name namuona kachangamka kaa pili pili yakihindi
Shayo umepatikana leo
Nikweli kabsa uko sahihi kaka kwa hilo ulilo sema
Mmmh.....unafanya shirki alafu unajisifu ovyoo
Mamba wale pale 👉 eti wanakumendea 🤣🤣🤣
Duuunh ila pole
Why this happening only in Tanzania and not other east African country?
Hatareee
Mara alhamdullilah mara majini
Du hatali aisee
Mtihani
Duuuu kaupiga mwingi 😅😅
Mtangazaji kama unataka kumkimbia mteja wako vile
Bro punguza pombe, hiyo sura ya Pombe kabisa
😂😂😂
Tena bora hakusubiri ahadi za ngwajima yupo baharini huku 😆😆
Duuh uyo jamaa
Kapitia misukosuko
Ila hongera si unapata pesa wee kula tu
Mshirikina uyu
Braza na sadaka zake Za Bahari🤦
Haya mwanzo mwisho
Uyu jama animaliza pole wangu ndio dunia 😢🔥
Mhhhh😆😆😆😆
dunia ina mambo mazito na magumu
Waaah uyu chapombe kabisa
Ila pombe mm spendi labda uache
😁😁😁 uyupombe hawezikuacha niasiliyake tangu mababu
@@jumakalukule5312 sawa je akilewa anakuasimkorofi laki naogopakipigo mm nipe nambazako
@@zalfazalfa7810 kwani yekasema anataka mwanamke ? au hujamuelewa ? unataka namba zangu ili ?
@@jumakalukule5312 zake sasa kweni kupenda nivibaya jama
@@jumakalukule5312 dini yangu inaniruhusu mm kumwambia mwanaume ambaenaona tunaeendana kua anioe
😂😂😂😂