Gez Z wa Kenya wamepinda! Mtazame mrembo huyu akikata mauno mbele ya Polisi!

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 188

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 2 หลายเดือนก่อน +28

    Ndugu zetu wakenya daah.Hatari.
    But navyoona Kenya democracy ipo open sana compared na nchi zote za Africa.
    I like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน

      Uko sawa kaka. Tunawapenda sana

  • @elandaboyz
    @elandaboyz 2 หลายเดือนก่อน +15

    My country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love Kenya, sisi kama Gen z

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sq 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya is a free nation, we only fear mungu, hakuna kitu ingine👏💯

  • @jumanyanzi8709
    @jumanyanzi8709 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya democracy iko juu sana

  • @smartmuk8139
    @smartmuk8139 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya Democracy is 100 miles away from Tanzania. Kenya is king

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 2 หลายเดือนก่อน +22

    Daaah Sema huyu mdada ni pisi kali sana

  • @miaduana
    @miaduana 2 หลายเดือนก่อน +23

    They are enjoying the show 😂

  • @twaahbrown1042
    @twaahbrown1042 2 หลายเดือนก่อน +13

    Sio police wa Kenya Wana uvumilivu ni katiba yao huwezi kumpiga mtu public mbele ya camera harafu zaidi mwanmke anaenda jela hii sharia ipo Hadi South Africa police haruhusiwi kumpigaa raia hata afanye kosa gani.

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 หลายเดือนก่อน +20

    Polisi wa Kenya ni wasomi.. kacheza tu hana kosa lolote... Kenya wanajua vyema haki zao sio kama Sisi Ng'ombe wa Tanganyika!!!!

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wamemuhukumu kijana wenu bila ya hatia yoyote mpaka raia wakamchangia na kumlipia fine. Waache waendelee kuwahamasisha raia kwa matendo yao yadhulma. Wakati utafika hata huko niamini

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 2 หลายเดือนก่อน

      @@Jingajinga64 Amini kabisa Tanganyika itarudi ni swala la mda tu....Leo tunatawaliwa na Ndugu wa kambo anaamua chochote anauza malango ya Nchi bila woga...Kuna mazezeta kazi Yao ni kushangilia tu!!!!

    • @alifaki1980
      @alifaki1980 2 หลายเดือนก่อน

      Haha

  • @marymutai1440
    @marymutai1440 2 หลายเดือนก่อน +10

    I’m a Kenyan but, this is totally disrespect. Tz keep it up, you guys mko na nidhamu

    • @jullostephen9090
      @jullostephen9090 2 หลายเดือนก่อน +3

      You must be sick upstairs

    • @carolinekasiemeka9848
      @carolinekasiemeka9848 2 หลายเดือนก่อน +2

      Your name betrays you. I am not amused.

    • @marymutai1440
      @marymutai1440 2 หลายเดือนก่อน

      @@carolinekasiemeka9848 continued being Amused. Asante

    • @marymutai1440
      @marymutai1440 2 หลายเดือนก่อน +3

      @@jullostephen9090 I understand you Kenyans mko na malezi mabaya. Asante

    • @jullostephen9090
      @jullostephen9090 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@marymutai1440 malezi mazuri pelekea watu wa kwenu alaaa

  • @simonkylian12
    @simonkylian12 2 หลายเดือนก่อน +11

    Angekuwa mwanaume angekuwa kwa land cruiser

  • @salama1113
    @salama1113 2 หลายเดือนก่อน +12

    Uvumilivu au wamesoma wanajuwa hake yake😂😂😂😂

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii haijakaa sawa maana hii ni dharau...
    Ndugu zetu wakenya mnaharibu u serious wa kile mnachokipambania

    • @p.be.s
      @p.be.s 2 หลายเดือนก่อน

      Kaa kwa mamako na ujinga wako huo. Kenya ina sheria. Polisi si Mungu. Freedom or death.

  • @paulinewangila-cs6ys
    @paulinewangila-cs6ys 2 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu msichana aliomba ruhusa ili afanye hivi nilikuweko hapoooo😂

    • @Realme-xm3sh
      @Realme-xm3sh 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli atami nilikuwepo😂😅

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia 😂😅

  • @marymutai1440
    @marymutai1440 2 หลายเดือนก่อน +10

    Poor parenting in my country Kenya . So sad, nothing to be proud as a parent

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 2 หลายเดือนก่อน +3

      Exactly

    • @erickanyugo3253
      @erickanyugo3253 2 หลายเดือนก่อน +2

      Malaya wewe?!ll Tombwa

    • @trizahmwangi5020
      @trizahmwangi5020 2 หลายเดือนก่อน

      One comment wasn't enough? You want to mother us all? How many titt!es you've got? We're 50m strong.

  • @WinfridaNdege
    @WinfridaNdege 2 หลายเดือนก่อน +5

    Naona kama hana nidhamu😢

    • @erickanyugo3253
      @erickanyugo3253 2 หลายเดือนก่อน

      Babako ana nidhamu akilala na watoto wa shule?

  • @kiatu
    @kiatu 2 หลายเดือนก่อน +12

    Kiwango chao cha civil knowledge kiko juu sana - wengi ni graduates (mapolisi wa Kenya). Wanajua mipaka ya kazi zao.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 หลายเดือนก่อน

      @@kiatu mmmh

    • @alphablondponera2367
      @alphablondponera2367 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kiwango ch civil kikubwa polisi uko na silaha unaruhisu kushikwa shikwa ..hata marekani kwenyew hii sijaona

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@vanessalaizer4363Hey yo!! What's up?

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@alphablondponera2367 tuko juu sisi huku kenya usitufananishe na wengine haswa hao marekani wanodhalilisha ndugu zetu huko na kuwabagua. Tukimalizana na huyu mkuu huku tunakwenda huko lakini kwanza tutapitia hapo😅😂

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@vanessalaizer4363 Hey sis!! What's up?

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 หลายเดือนก่อน +12

    Ila majamaa Kenya Wanamasifa sana

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน

      Hehe😅😂 asante kaka ndivyo tulivyo ila tunawapenda sana

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 2 หลายเดือนก่อน

      @@Jingajinga64 😁😁😁

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yani mtu yupo uchii hana habar na khofu kwa mungu sijui hii dunia munaichukuliaje ninyi kina dada wa hivi yani makwapa matiti nje arafu anacheza mbele ya watu ambao so waume wake

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hamjui polisi wakenya ni washerati😂😂😂

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 หลายเดือนก่อน

      @@shery-bf8xh aaah vinapenda ngono ee?

  • @landmadvdmbeyacity9561
    @landmadvdmbeyacity9561 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hui ndo utofaut wa Tanzania na Kenya ucheze na bongo hivi

  • @MashaMbwana
    @MashaMbwana 2 หลายเดือนก่อน +8

    Jaman Gez Z manaake nini msinicheke lakini😊

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂maana yake ni kizazi kipya mwanya hawa watoto wa 2000 sasa

    • @DjsmokyUrban
      @DjsmokyUrban 2 หลายเดือนก่อน +2

      born 1997 mpaka 2012

    • @Proffyumz
      @Proffyumz 2 หลายเดือนก่อน +2

      generation Z

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni hawa ambao kwa Tanzania tunawaita watoto wa 2000. Kwa Kiingereza wana jina lao, wanafahamika kama generation z

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 2 หลายเดือนก่อน

      Asanteni kwa majibu

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 2 หลายเดือนก่อน +2

    Polisi wakenya c eti niwavumilivu wamechoka kutumiwa vibaya wakati wakubwa wanakula hela wao wakiambulia mishahara duni

  • @RamadhaniMohamedi-de2vc
    @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 หลายเดือนก่อน +5

    Malaya tu ivi kunamausiano gani kati ya mandamano nakukata viuno uwo ujinga wapambane na kitu chao uyo kaenda kutafuta kiki nakashaipata.

    • @PeterAmollo-pk2lo
      @PeterAmollo-pk2lo 2 หลายเดือนก่อน

      Kumbavu mkubwa wewe....🤬🤬🤬🤬

    • @graceamadi1096
      @graceamadi1096 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ramadhan alikuuzia ndio umuite malaya, stop judging maana ata wewe haujui kama utaingia mbinguni. She is creating her content

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 หลายเดือนก่อน

      @@graceamadi1096 tatizo sio kwenda mbinguni ishu ya hapo watu wanapambana na haki zao yeye anakata viuno ivi alifuata mandamano au kukata viuno usitete ujinga watu wanakufa wengine wanaumia yy anacheza mziki siwezi kukubaliana nailo sawa kila mtu na akilizake l'm so sorry for that.

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 หลายเดือนก่อน

      @@graceamadi1096 kwa mfano mbele kuna watu wanakufa alafu muda uwouwo unakwenda kucheza mziki ivi watu waliokua hapo watakuchukuliaje et?.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mamae km n askari wa Tz angelikwisha kula mtungo😀

    • @merkiller
      @merkiller 2 หลายเดือนก่อน

      Askari wa Tanzania ni kama mawatchmen huku kwetu banaaaaa,,,,,,, Tanzania Tanzania kitu gani

    • @edithmushy1010
      @edithmushy1010 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@merkillernjoo ujaribu Kama utarudi kwenu salama

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 หลายเดือนก่อน

    Sasa baada ya maandamano nini kimeendelea 😮

  • @princejamaalvevotv2525
    @princejamaalvevotv2525 2 หลายเดือนก่อน +1

    KENYA NCHI TAMU SANA ILA RUTO ANATUARIBIA NCHI THOUGH TUKO NGANGARI NA TAYARI KUMTOA KWA KITI 2027

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂 DONT DO THIS TO TANZANIA SOLDIER 😂😂

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 2 หลายเดือนก่อน +1

      Thubutu... hata utaweza hata kufikiria... 😂😂😂

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@exaverysimon1064 hawa wa Tz ni askari haswa sio askari jina tu.

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 2 หลายเดือนก่อน

      @@vanessalaizer4363 😀😅😅😅😅

    • @erickanyugo3253
      @erickanyugo3253 2 หลายเดือนก่อน

      Maumbwa...hata hawajasoma

  • @daudiakwabi128
    @daudiakwabi128 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya polisi wanaitwa, " waudumu wa polisi(( police service) na Tz wanaitwa jeshi la polisi ( police force). Hiyo ndiyo tofauti ya hizi nchi zetu.

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakae kwa kutulia kwan polisi hawataniwi

  • @kayagoAziza-z2c
    @kayagoAziza-z2c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wezi hao na mapepe wapigwe wote

  • @apostlewexsir
    @apostlewexsir 2 หลายเดือนก่อน

    Eish.

  • @stonetown578
    @stonetown578 2 หลายเดือนก่อน +6

    Polisi wa Kenya wana ustaarabu sana.

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 2 หลายเดือนก่อน +5

    Professionalism is what matters

    • @billjames1216
      @billjames1216 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani yy ni polisi ???ati professionalism

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umalaya tu ajielew

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tunavuta mpaka tear gas. Huku Hawa Gen Z ni balaa tupu😂

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tz angevunjwa na hiko kiuno .saiz angekuwa anaongea na POP

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu ndio alicia kanini

  • @suleiboy-bq6ln
    @suleiboy-bq6ln 2 หลายเดือนก่อน

    jamani hamjastukia hii nyege unaona anawapeleke kikundu wampige japo dole aje uku akunwe

  • @albertshao4834
    @albertshao4834 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu anataka mashine ya police 😂

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน

    Ila harmonize

  • @simondickson6412
    @simondickson6412 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hao waje tz tuone nn kitatokea😂😂😂

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 2 หลายเดือนก่อน

      Police wa Tanzania wanakimbia wote na hata kaa watake upolice tena, Gen Z ni noma eti usifanye utani kabisa

    • @Jibambeshow254k
      @Jibambeshow254k 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyi niwaoga 😂 siku mtaweka uogakando watawaheshimu n mtakua huru

    • @eldios831
      @eldios831 2 หลายเดือนก่อน

      Huko tutatuma Ian njoroge peke yake 😂😂😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 หลายเดือนก่อน +2

    Spati picha wangekua police wa Tanzania walivyo na masifa wangeondoka nae kimya kimya😂😂

  • @paulgitau6055
    @paulgitau6055 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania ni dictatorship,hamuwezani na Uhuru Kenya inayo,bado muko nyuma sana tena mbali wadau.

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂na umesahau wengine waliibia polisi 👮 tear gass

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huku TZ wafanyie hivyo wale wanaoitwa ffu uone 😂

    • @beingjoan3660
      @beingjoan3660 2 หลายเดือนก่อน

      Maandamano ya amani,got tht?

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 2 หลายเดือนก่อน +1

    Katiba inawalinda hawezi fanyiwa chochote ila ingekuwa. Huko kwenu kesho katekwa😂😂😂😂😂😂

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 2 หลายเดือนก่อน

    Waoooo ❤❤❤❤ wape dada

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂GNz noma kabisa

  • @irenematari6218
    @irenematari6218 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂vitoto vya raila😂😂😂kuna Africa af kuna Kenya nchi yangu ❤

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 2 หลายเดือนก่อน

    Tanzania wangembaka

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna video zinarekodiwa all around 😊

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao mapolice wenu Watanzania 🇹🇿 wanajua nyii ni waoga ndio maana mnaavurugwa tu wanavyotaka hapa kenya hio ukoloni tulikataa hatuko uzunguni kilamtu anauhuru 😂 bora tu usikeuke sheria

    • @eldios831
      @eldios831 2 หลายเดือนก่อน +1

      Don't confuse katiba njema tuliopigania na yenu inayo wafanya chawa wa rais

  • @bwwm7914
    @bwwm7914 2 หลายเดือนก่อน

    Ati polisi aliomba namba za simu kwa mazungumzo zaidi😢

  • @thamani5842
    @thamani5842 2 หลายเดือนก่อน +2

    ASKARI wa Tz popote mlipo msikubali huu ujinga mkiwa kazini

    • @rosemaryogambe4498
      @rosemaryogambe4498 2 หลายเดือนก่อน

      Hehe wachamakasiri bhana 😁

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hehe😂😅 wakati wenu utafika. Tulikuwepo hapo mulipo. Mukikua mutayajua

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 2 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ujinga. Polisi wa Kenya wamechoka

  • @mikesamba8465
    @mikesamba8465 2 หลายเดือนก่อน

    Don't talk about Kenyans ....

  • @deven.oauditx7547
    @deven.oauditx7547 2 หลายเดือนก่อน

    Ulitegemea polisi wamfukuze wakati anawaburudisha bure bila malipo?

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sio wavumilivu hao katiba inawalinda wananchi wakenya

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 2 หลายเดือนก่อน

    UTI inacheza

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน

    Ni hatari😂

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂ilove my country

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kaka umaharufu Gani Sasa sikila kitu una post brother commmm

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 2 หลายเดือนก่อน

      Ni channel yake na anahaki ya kufanya atakacho ,kwani wewe ndo nani mpaka umpangie?

  • @MusaJastini-po8hm
    @MusaJastini-po8hm 2 หลายเดือนก่อน

    Police wa tz hamna kitu apo teal washatumia nguvu lkn wa raia ambao Hana silaa yoyote mkonon lkn akisikia Kuna majambazi wanakimbia au wanakuja nakingo'ra k😊😊😊

  • @CHIM0N1T
    @CHIM0N1T 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka marekani tu hamna kosa alilofanya

  • @IrankundaAnit
    @IrankundaAnit 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke haokopi jeshi ataogopa mumwe wake😅😅😅😅

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 2 หลายเดือนก่อน

      Hatakiwi kumwogopa mume wake; ni wote kuheshimiana tu

  • @MjMohammed-nt6fq
    @MjMohammed-nt6fq 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie wakenya wapumbuvu njoeni tz unye mavi hadharani

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ingekuwa tz angepgwa rungu na ffu.mpka angemkumbuka bibi yke.

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 2 หลายเดือนก่อน

    They are enjoying the show..😂😂😂😂

  • @LiziWawuda
    @LiziWawuda 2 หลายเดือนก่อน

    Tanzania hakuna democracy

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanauchokozi na wakipigwa utaskiya ooh wametuuaa. (Ruto tu nikibaraka aende)

    • @billjames1216
      @billjames1216 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ww shinda hapo Tanzania uhuru wenu unategemea rais ss wakenya tunategemea katiba Ruto ni nani??sasa unataka wa uue mtu kwa sababu ya densi ndio maana africa hamuendelei na fikra za kijambazi

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@billjames1216kabisaa

  • @Blackboy_Africa
    @Blackboy_Africa 2 หลายเดือนก่อน

    Niowe Tanzania natafuta nini My child needs to be brave and strong, I must cry, here in Tanzania there is no difference between men and women😂😂

  • @nativeson1559
    @nativeson1559 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya my country.
    When people say Kenya sihami, they really mean it.
    Gen Z, you people are a little high.

  • @bettynjoki-kk9sm
    @bettynjoki-kk9sm 2 หลายเดือนก่อน

    Wachana Na wakenya American ndogo

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 2 หลายเดือนก่อน

    Hahaah sio kuwa polisi wako soft kaka blaza ata polisi ni binadamu si wanaenjoy vitu vibichi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Mdada hana a habar

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 หลายเดือนก่อน

    Usogei apo kabis tz

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 2 หลายเดือนก่อน

    ujinga mtupu....wasichana hawana nidhamu...shenzi sana

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo siku police walikuwa waki wapa watu nyakula na pia kulikuwa na sherehe pale Uhuru Park
    Mambo kama hayo ni kitu chakawaida kwa sababu wako na uhuru na freedom of speech

  • @hafidhhafidh1441
    @hafidhhafidh1441 2 หลายเดือนก่อน

    Police wa kenya uzuri wao tunakula nao tunakaa nao mtaani ndio mna wengi huwa wanafanya kazi tu lkn hawana shida na watu wao

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Sky samahni hivi wale wasafrshaji wa mizigo wali nazi wali acha namba kwenye ile vdeo

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂askari wa bongo tena

  • @Gody360
    @Gody360 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya kichwa ngumu

  • @AmisseMwenetombwe
    @AmisseMwenetombwe 2 หลายเดือนก่อน

    Police wajanja na Akili nyingi. Wanajua Umbwa akipanda kwenye nyumba yani MTU amempandisha tuko chini.

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 หลายเดือนก่อน

    I like it so much 🤣🤣🤣🤣

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 หลายเดือนก่อน

    video inaonesha tu ameomba ruhusa

  • @robertmahenge3614
    @robertmahenge3614 2 หลายเดือนก่อน

    Wanajielewa❤

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 2 หลายเดือนก่อน

    Kenya ni inchi ambayo imesha endelea freedom of speech nime iona kwambali kenya poli watanzania huwezi mchezea hivyo au wa congo

  • @hajidagaweyne512
    @hajidagaweyne512 2 หลายเดือนก่อน

    Kkkkkk

  • @VenanciModrick
    @VenanciModrick 2 หลายเดือนก่อน

    Kamakwer niwabishi waje tz tujifunze

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 2 หลายเดือนก่อน

      Acha uoga jifunze mwenyewe backup ya wakenya unaitakia nini ,endeleeni hivyo hivyo na amani yenu

  • @minabw7301
    @minabw7301 2 หลายเดือนก่อน

    Ni Gen Z generation Z sio gez ndio maana huwa wakenya wanaonaga hatujui kingereza sababu ya watu kama nyie

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi wakenya niwasomi kwani wamuona aliomba ruhusa mwanzo

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 2 หลายเดือนก่อน

    Wakenya nawakubali wanajua kudai haki zao, sio machawa wetu mwinjaku na sepetu na steve mangiri wa ccm

  • @abhaijar4078
    @abhaijar4078 2 หลายเดือนก่อน

    Njoo Tanzanian kadada uone

  • @filmsx6484
    @filmsx6484 2 หลายเดือนก่อน

    SKy young killer katoa nyimbo kakudiss 😂😂😂😂😂😂😂😂 sema tusimfananishe na kizazi cha gen z yuko mbele ya muda kama kendrick lamar

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 หลายเดือนก่อน

    Wakenya hawana aibu kama waTz mana hapo ni kujirusha fahamu kama una aibu huezi fanya ivo

    • @cooljay9489
      @cooljay9489 2 หลายเดือนก่อน +1

      na wale wachezeao baikoko wakivua nguo

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 2 หลายเดือนก่อน

      @@cooljay9489 sio mbele ya vyombo vya dora weee! Wale si ni utamaduni ule ndugu. Usifananishe kifo na usingizi wewe

    • @p.be.s
      @p.be.s 2 หลายเดือนก่อน

      Ukoloni ndio aibu eti. Kenya hakuna ukoloni. Freedom or death.

    • @cooljay9489
      @cooljay9489 2 หลายเดือนก่อน

      @@vanessalaizer4363 kumbuka ina sheria zke hyo kucheza mbele ya police si kuvunja sheria.

    • @cooljay9489
      @cooljay9489 2 หลายเดือนก่อน

      @@vanessalaizer4363 utamaduni wa kuvua nguo hawaoni aibu

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 หลายเดือนก่อน

    Mamawee 🤣🤣😆😆😆😆

  • @alonerider7164
    @alonerider7164 2 หลายเดือนก่อน

    Haka kapis kakali.

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 2 หลายเดือนก่อน

    Polix wa tz wanajiona kama watowa roho mashahara unamfanya amuuwe ata nduguye

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน

    Gen Z

  • @fredlugano6146
    @fredlugano6146 2 หลายเดือนก่อน

    Polisi arogwa