Hii ni kweli kabisa mtumishi, na ndio maana unaona hata katika mataifa yetu Africa wanaoshabikia team hizo unakuta wakati mwingine team yenye unapenda ikishindwa unapata vita nyumbani, wanapigana na watoto au wake zao,, unasikia hati mtu amejirusha toka gorofa juu akafa kisha hati team yake imeshindwa.. Ubarikiwe mtumishi atakayesikia na kutubu ataokolewa.
Akuna kitu nachukiya kama mpira Mungu amenisaidiya nimekuwa na panda sana pamaoja na miyeleka lakini Mungu amenifunguliya kwenye ndoto kuusu ayomambo nikayachukiya sana
Vitu vingi ni vyakipepo lakini italingana kama ni mtandao unautumiaaje? Unasikiliza nini unapost nini, wakati unakuja sim tutaacha maana wanaenda kukamata wengi kupitia sim.
BWANA YESU asifiwe mtumishi wa MUNGU pole na majukumu naomba kuuliza mtumishi wa BWANA Nina swali moja baba naomba nisaidie wewe Ni mwalimu Nina wimbo nimeimba kwa bit nikajirecodi kwa simu naweza kwenda studio wanitengenezee?
Ameen Ameen, ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana kwa injili ya kweli
hongela sana kaka! unatubariki napenda injili yako unajua nimejua ukweli kusikia injili yako bwana akubaliki sana
❤❤❤❤ ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara
Nashukuru mungu mimi sipendi ushabiki ,mipira,nyimbo za kidunia kama zile za akina diamondi.
Hii ni kweli kabisa mtumishi, na ndio maana unaona hata katika mataifa yetu Africa wanaoshabikia team hizo unakuta wakati mwingine team yenye unapenda ikishindwa unapata vita nyumbani, wanapigana na watoto au wake zao,, unasikia hati mtu amejirusha toka gorofa juu akafa kisha hati team yake imeshindwa..
Ubarikiwe mtumishi atakayesikia na kutubu ataokolewa.
Ubarikiwe mteule
Amina mtumishi wa MUNGU tunabarikiwa Sana hii ninuru katika giza
Asante kwakutujuza,mungu aendelee kukuonyesha tusiyoyajua tuyajue
Ndiyo mtumishi bwana yesu atukombowe Kwa maana mimi napenda mpira
Akuna kitu nachukiya kama mpira Mungu amenisaidiya nimekuwa na panda sana pamaoja na miyeleka lakini Mungu amenifunguliya kwenye ndoto kuusu ayomambo nikayachukiya sana
Mungu atulehemu
TUPATE WAPI TENA MTU KAMA HUYU KATIKA DUNIA YA SASA???? HAKIKA MUNGU AMEJISAZIA WATUMISHI HALISI
Nikweli kabx😢😢
Amina
Mtumishi ata simu ye una itumikisha ni ya ibilisi ata mutandao wa internet ni ya kuzimu
Vitu vingi ni vyakipepo lakini italingana kama ni mtandao unautumiaaje? Unasikiliza nini unapost nini, wakati unakuja sim tutaacha maana wanaenda kukamata wengi kupitia sim.
🎉🎉🎉🎉 kabisa @@MGALILAYABillionaire
@@allymwashambwa5920 Aaamen
@@allymwashambwa5920nlikuwa namkubal sana lkn sahiv naona kaingia kwenye njaa ya kusaka pesa
Sio kwamba Ni vya kipepo Ila matumizi yake ndio yanayo pelekea kuwa vya kishetani hii n technology ya Mungu ambayo shetan anaitumia vibaya