BAADA YA GOZIBET KUCHOMA GARI CASSIAN AMBADILIKIA JODEVE UNAUWA WATU EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 439

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Huyu mtumishi anaongee ukweli mtupu.Ubarikiwe sana.Mungunhachezewi.Maandiko yanasema Mungu alisema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
    Hao waliokwenda kumsujudia binadamu walipungukiwa maatifa ya kiroho kwa kudhani binadsmu anaweza kuwa na nguvu kuliko Mungu.Njia pekee ya wao kujinasua ni kufanya sara ya toba na rehema vinginevyo mwisho wao utakuwa mbaya sana.

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Mungu kasema walio wake atawalinda hadi mwisho wa Dunia ❤❤ Nabii mkubwa ni moja ni Yesu KRISTO mwenyewe badala yake hapana mwengine🎉🎉🎉

    • @ShedrackIsrael-u1v
      @ShedrackIsrael-u1v 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mungu akuokoe ...mtu unamfananisha na mtuu...

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 วันที่ผ่านมา +28

    Goodluck karibu tena kwa Mungu maana kuna Raha tele kwa Yesu kristu mnazareth mungu aliye hai nyota yako ingae to God be the glory hallelujah 💗

    • @christinemwakio7870
      @christinemwakio7870 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Welcome back Goodluck... Jesus is Lord and is so loving ❤ asante sana Ev. Cassian napenda ile kweli unayobeba Mungu akulinde mtumishi.... nasi Familia ya Cassian tuombeee Goodluck Mungu amlinde na kumficha kwa damu yake ya msalaba,... Mungu pia azidi kukuneeemesha mtumishi ujae na uwe na utele, ulindwe kwa jina la Yesu Kristo.
      Love frm Kenya 🇰🇪

    • @christinemwakio7870
      @christinemwakio7870 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Welcome back Goodluck... Jesus is Lord and is so loving ❤ asante sana Ev. Cassian napenda ile kweli unayobeba Mungu akulinde mtumishi.... nasi Familia ya Cassian tuombeee Goodluck Mungu amlinde na kumficha kwa damu yake ya msalaba,... Mungu pia azidi kukuneeemesha mtumishi ujae na uwe na utele, ulindwe kwa jina la Yesu Kristo.
      Love frm Kenya 🇰🇪

  • @JoyceHilya-z3s
    @JoyceHilya-z3s 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hongera sana goodluck kwa kuujua ukweli.Mungu akuinue zaidi

  • @ernestraymond4006
    @ernestraymond4006 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu,sio hawakuelewi wanatamaa na pesa za haraka kuelewa wanaelewa.

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    pascal cassian you are truly man of the Lord God.

  • @samwemajuhacium9614
    @samwemajuhacium9614 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtu aliyebaki na anayeongoza kuniaminisha maisha na kila nachokihisi inathibithishwa kuwa kweli, mwinjilist pascal Mungu akubariki🙏🙏🙏

  • @JULIETAVICTORSHITUPA
    @JULIETAVICTORSHITUPA 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu kumkomboa kijana wa mungu

  • @masheyn
    @masheyn 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kaka goodluck mungu atakulinda na mungu anakupenda saana hujajali samani ya gari umeona mungu ndy kila kitu

  • @devotamwaikonyole271
    @devotamwaikonyole271 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu akuinue mtumishi kweli lile gorofa

  • @Hussen581
    @Hussen581 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Mungu ataendelea kukulinda usiku na mchana mtumishi wa Bwana Paschal Cassian, Amen 🙏🇨🇦

  • @DeonisBihopho
    @DeonisBihopho วันที่ผ่านมา +11

    Hongera mtumishi wa MUngu upo sahihi wanaokupinga hawajielewi.wewe casian ulikuwa freemason ukatoka na mungu akakuokoa mungu akulinde ktk jina la yesu.endelea kukemea dhambi na upumbavu mchungaji mashimo naye njaa inamponza ipo siku ataumbuka

  • @flaviusrobert3197
    @flaviusrobert3197 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mtumishi wa Mungu, Mwenyezi Mungu azidi kukulinda

  • @WilsonElijah-g5p
    @WilsonElijah-g5p วันที่ผ่านมา +9

    Dah !!
    Ee Mungu tusaidie sisi waja wako twakuomba ee Baba yetu 🙏🙏

  • @WisdomCreated
    @WisdomCreated วันที่ผ่านมา +11

    Mtumishi sasa tumshukuru Mungu Aliye Hai na Yesu Kristo kuwa amemfunua Macho kijana wetu kutoka katika mikono ya shetan na kurejea kwa Mungu Aliye Hai

  • @Godfrey_lusekelo
    @Godfrey_lusekelo วันที่ผ่านมา +28

    Nimekusubiri Kwa muda mrefu sana Baba najua unaneno la KUSEMA Leo ❤❤

  • @greysonelias209
    @greysonelias209 วันที่ผ่านมา +5

    There are so many preachers in Tanzania but your the most

  • @MamaGirlsMamagirls-h8v
    @MamaGirlsMamagirls-h8v 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Bwana wetu yesu kristo apewe sifa mileleeeee❤❤🙏

  • @hxbbxb-g7i
    @hxbbxb-g7i วันที่ผ่านมา +6

    Kwakwer mngu akulinde mtumishi Wa mngu mim nakupenda Sana. Klaleo nikikuskia Imani yangu inazdi kujuwa Sana

  • @peterngatunga1527
    @peterngatunga1527 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asante Mungu Kwa kukumbuka Mtumishi wake Goodluck na kumnyakuwa katika moto .

  • @marthajames-fn7nm
    @marthajames-fn7nm 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ameen Ameen!!! MUNGU na akupatie zaidi ya yaliyo mahtaji yako mtumishi.

  • @KhadijahezronHezron
    @KhadijahezronHezron วันที่ผ่านมา +3

    Ameeen barikiwa mtumishi Mungu akulinde siku zote

  • @arnoldndolo1730
    @arnoldndolo1730 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Goodluck and pascal Mungu awalinde na awabariki

  • @Noella-o5c
    @Noella-o5c วันที่ผ่านมา +13

    Watumishi wa Mungu wa kweli muwekariku sana na Goodluck shetani anahasira kubwa kuoona jinsi amemutoka plz Mungu mulinde mujaawako Goodluck Damu yako Imuzunguke kwajina la Yesu Kristo Amen 🙏🙏😭😭

    • @ZawadKidunda
      @ZawadKidunda 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ASANTE mtumishi wa Mungu kutufumbua macho ya kiroho ubarikiwe

  • @elizaedward1851
    @elizaedward1851 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU Aliye hai, Hakika MUNGU ni Mwema❤

  • @RoseKimishabhalemi
    @RoseKimishabhalemi วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana cass endelea kunikinga kwa njia mkono wa MUNGU tuko pamojaYesu atukuzwe Amina

  • @GiftPallangyo-q5y
    @GiftPallangyo-q5y วันที่ผ่านมา +7

    It's really pastor Cassian......mungu akupe ufunuo zaid

  • @fredyelisha2686
    @fredyelisha2686 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana mtumishi wa Mungu ❤😊 ubarikiwe na Mungu akulinde katika huduma yako

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana mtumishi , kazi yako ni kubwa mno katika kuwafungua watu wengi hapa nchini na duniani , Mwenyezi Mungu akulinde sana sana kwani unazidi kuongeza maadui

  • @PatriciaSidi-c4w
    @PatriciaSidi-c4w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤Pastor uko sahihi sana na Mungu azidi kukulida na Mungu apingane nao wanao pingana nawe na usiogope Bwana yu kamoja nawe❤❤❤

  • @faithmoraa5993
    @faithmoraa5993 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen from Kenya, we love you on bahalf of 50 million kenyans

  • @catherineawinja7417
    @catherineawinja7417 วันที่ผ่านมา +7

    Nashukuru MUNGU maombi yetu haiendi bure am happy for good luck tutazidi kuomba

  • @DinahJ-ln8pr
    @DinahJ-ln8pr 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na wengine wanasema hangeonyeshana live ati achome kisiri siri Good luck God loves you

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbarikiwa oyeee

  • @BelthaKibona
    @BelthaKibona 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu awez kumwacha mtu wakee apotee lazima atumie watu ongela sana kulichoma mana maono uliyo onyeshwa siyo aliyonyweshwa mwingine Amn tena Amin mm paskali na mweelewa sana

  • @LOVELYAggie
    @LOVELYAggie 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Gudluck Mungu ako nawe kaa katika maombi

  • @exsonmwakalobo8865
    @exsonmwakalobo8865 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Amen mtumishi wa MUNGU pascal casian

  • @GraceJovit
    @GraceJovit วันที่ผ่านมา +9

    Mimi namuelewaga sana Mtumishi cssian,barikiwa sana,hongera sauti baba

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    HALELUYA SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU MWENYEZI AMEN
    ZABURI 57
    5 Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
    HALELUYA amen

  • @Reginamueninzuki
    @Reginamueninzuki วันที่ผ่านมา +3

    Amen mungu akubariki kwa kazi nzuri shetani awekwe mahali anastahili kuzimu dio kwake na ashinwe kwa jina la yesu

  • @irinenjombo3368
    @irinenjombo3368 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu azidi kukulinda daima Mtumishi nabarikiwa sana jinsi unavyoongea ukwel wa yale uliyopitia 🙏🙏

  • @navokisembo
    @navokisembo 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Good luck Mungu anakupenda saana karibu tena kwa Yesu Kristo . Yesu anakupenda na tunakupenda saaana.
    Bwana z Yesu apewe sifa saaana

    • @Priscakeneth
      @Priscakeneth 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mie nilikuwa napenda nyimbo zake lkn alivyokwenda kwa huyo shetan mkuu nilikosa moody ya kusikiliza

  • @fredyleonardmaths2546
    @fredyleonardmaths2546 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Amen Mtumish Cassian.Mungu akutunze

  • @ernestraymond4006
    @ernestraymond4006 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kawafungua vijana kwamba alienda njia ambayo sio sahihi..
    Mungu anazidi kuona ukuu wake kwa kuwaumbua ili tumrejee kwake Yohova Nisi

  • @duniayona6262
    @duniayona6262 วันที่ผ่านมา +2

    Amen
    napokea baraka hizo mtumishi

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja วันที่ผ่านมา +7

    Asante mchungaji Cassian wanatunduma border post tunakuombea mungu akupe nguvu endelea kukemea nguvu hizi za Giza barikiwa

  • @jacksonnyangwara3197
    @jacksonnyangwara3197 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Damu ya Yesu ipo juu yako ndugu na uzidi kukufunika🙏

  • @JosephinaJackson-kq6ms
    @JosephinaJackson-kq6ms วันที่ผ่านมา +5

    Hongera goodluck kwa uchokifanya na nataka nikwambie kuwa hutakufa bali utaishi na atakaepigana na wewe atapigana na MUNGU alie hai kwa kuwa wewe umekubali kumuaibisha shetani kwa Dunia nzima na MUNGU atakuheshimisha tena kwa Dunia nzima

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu azidi kukubariki nakukulinda Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi วันที่ผ่านมา +7

    Alishauriliwa na wengi hata mimi nilimwambia ,hyu kijana Mungu anampenda sana .

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire วันที่ผ่านมา +6

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa kazi nzuri unayoendelea kufanya. Na upendo ulionao kwa ajili yetu zote wana wa Mungu. Piga kelele kabisa usinyamaze. Kumbuka watu hata wakakupaka matope wakitukanana hawawezi ondoa neema ya Mungu ndani yako. Hata ukifanyiwa lipi neema iliopo ndani yako inakuinua tena. Songa mbele watajaribu lakini hawatakupata... wakirusha mawe yaokote kimya kimya ujenge nayo waendelekusikia kukuhusu unavyoendelea. Maadui wapofushwe macho yao wasikuone kamwe wala wasikukaribie, wakusikie tu kwa jina la Yesu.

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe Mtumishi wa Bwana Yesu amen

  • @janethtimotheobisekwa8328
    @janethtimotheobisekwa8328 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mnooo pasta endelea kuihubiri kweli ya MUNGU, nilikuwa cjakuelewa sasa nimekuelewa

  • @Shukushukushuku
    @Shukushukushuku วันที่ผ่านมา +6

    Mungu akushike mkono kaka goodluck gozbert

  • @JacklineSabaya
    @JacklineSabaya 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina ....usigope mtumishi wa mungu...bwana ni mungu wa vita atakupigania....

  • @PhinooWitness
    @PhinooWitness 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Barikiwa sana ,let us serve God in truth and in sprite

  • @Noella-o5c
    @Noella-o5c วันที่ผ่านมา +2

    Watu tukokwenye safari moja yakwenda Mbinguni Mungu atutie nguvu kwapamoja tusikosaki Mbingu Mungu atusaidie amen

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg วันที่ผ่านมา +1

    Amina mtumishi wa Mungu hakika ni mda wa kuwa na Yesu wa kweli mimi nakuelewa sana mtumishi wew uko na Yesu wa kweli ......kijana uyo yupo sahii kuchoma gari moto mana si la halal Mungu amsaidie na wewe pia

  • @josephnchimbi-rp1lc
    @josephnchimbi-rp1lc วันที่ผ่านมา +4

    Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu🦋🦋🦋🦋

  • @KelvinMwasomola-v6e
    @KelvinMwasomola-v6e วันที่ผ่านมา +6

    Dah jaman usije kwenda tena kwa uyo pastor broo mludie mungu wako ludi mazabauni omba toba na mungu atakusikia kwakua nawewe ulikua unajua mludie mungu wako

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq วันที่ผ่านมา

      "Mludie" "ludi" ni nini ndugu. Hivi hii lugha ya Kiswahili mmeifanya ya kuchezea siyo? Tutaanza kuwacharaza bakora sasa

    • @aggy1489
      @aggy1489 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂​@@Brunn-mh2bq

  • @SusanBwalya-rv8cw
    @SusanBwalya-rv8cw 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi nipo lusaka zambia cassian mungu akulinde.akupe nguvu. Toboa baba shetani hana nguvu tena. Hii dunia sio yake ni ya mungu.

  • @AngelBarnabas-i5g
    @AngelBarnabas-i5g 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Roho mtakatifu tusaidie kutambua sio kila zawadi ni zawadi 🙏🏾

  • @danielmayo6130
    @danielmayo6130 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu aendelee kuwa pamoja nawe

  • @Simoni-l5e
    @Simoni-l5e วันที่ผ่านมา +3

    Kweli baba Mungu akubariki sana hapa ni kwenda mbele tu katika kusema kweli yote so hata wakifanya vita vita itakuwa juu ya mwanzilishi wa ukweli /YESU KRISTO yeye ndie atakae pigana ni yeye mwenyewe

  • @DanielNasibu-c2s
    @DanielNasibu-c2s 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Paschal Mungu akubaliki hata kama watu watakataa kweli itabaki kuwa kweli

  • @EdwardMasau
    @EdwardMasau 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Amen mtumishi mungu atusaidie sana

  • @lovedaud2201
    @lovedaud2201 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubariki Baba . Na azidi kukuinua sema kweli watu wapone

  • @salomeSamali
    @salomeSamali วันที่ผ่านมา +3

    Kwel kbs mtumishi kijani alitaka poteza ashukuliwa mungu kukutumia mtumishi wake

  • @Techer-AllenSalufu-cv1ub
    @Techer-AllenSalufu-cv1ub วันที่ผ่านมา +5

    Mungu!!! Ni mwema! Amsaidie godluck gozbet

  • @IribukaCelestin
    @IribukaCelestin 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Good luck karibu Tena kwa mungu

  • @JosephineTumaini-q7n
    @JosephineTumaini-q7n วันที่ผ่านมา +2

    Asante Mungu wangu kwakufunguwa kijana wako

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso วันที่ผ่านมา +1

    Amen umesema ukweli mtumishi wa Mungu tatizo waimbaji wengi wa Injili wakipata mafanikio wanajichanganya na mambo ya duniani wanajichanganya na wasanii wa nyimbo za kidunia Mungu akubariki sana kwa kuisema kweli

  • @BMMediatv-r1d
    @BMMediatv-r1d วันที่ผ่านมา +2

    Kwakweli nilikua nasubiri sana neno la paschal cassian juu ya hili,,

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu amsamehe na amrejeshee Utumishi wake Goodluck🙏

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amen mtumishi Asante 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @augustinnizigiyimana-p8e
    @augustinnizigiyimana-p8e 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu ni mweema.

  • @rebeccamaombi1457
    @rebeccamaombi1457 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kujitowa kuambiya watu ukweli. Nafurahi sana kumurudusha kakayetu ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

    • @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
      @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy วันที่ผ่านมา

      Endelea na matangazo ya freemason ndicho ulichotumwa kuonyesha mabango ya freemason tunalijua Hiro, nani akwite ndio shetani alikwita ndio maana hujawahi kuacha kupost na kuonyesha mapicha ya freemason, watanzania mfuTilieni huyu na mapicha ya free manson hajawai acha kuonyesha mapicha ya freemason, haya ndio masharti ya Cassian aendelee kuonyesha mapicha ya freemason

    • @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
      @AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy วันที่ผ่านมา

      Watanzania mfuatilieni huyu ajenti mkuu wa kuzimu, alipewa masharti asiache kuonyesha mipicha ya freemason, na kuchafua watumishi wa MUNGU, huyu akiacha kuzifanya hizi kazi za matangazo ya freemason na kuchafua watumishi wa MUNGU, huo ndio utakuwa mwisho wake wa kuishi duniani, ndio maana ataendelea kuchafua na kupotosha kwa nguvu zake zote

    • @jipsonmwampagatwa
      @jipsonmwampagatwa 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy ivi unaijua maana ya kweli wew

  • @georgedeo3726
    @georgedeo3726 วันที่ผ่านมา +2

    Duuh kwel nnakuelewa sana Mungu atusaidie

  • @DEMETRIUSHAULE-s4v
    @DEMETRIUSHAULE-s4v 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napenda sana injili yako Kamanda wa Yesu hakika wewe Umeitwa na Mungu

  • @LettyKafyisi
    @LettyKafyisi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good luck nibola umeiacha bila kujali shetani napesa zake, but Yesu kristo nimkuu💪💪💪

  • @joshuafelix3021
    @joshuafelix3021 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akubaliki sana

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna nabii hapo na Ii ni mmoja tu yesu kristu

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 วันที่ผ่านมา +3

    Amen Amen powerful message

  • @PriscaShaban
    @PriscaShaban 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu atuongoze

  • @Selestinabenedict
    @Selestinabenedict 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Good luck amefanya vizuri sana kwa kumabisha shetani hatharani, juu ya hilo Mungu wa mbinguni aliye hai atamlinda, tuna mfunika kwa damu ya Yesu kristo aliye hai itamfunika na kumlinda

  • @JofreyMsigwa
    @JofreyMsigwa 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @Sheilahcherls
    @Sheilahcherls 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunaokuelewa tunakuombea ulinzi wa mungu uwe juu yako wakati wote katika nyakati hizi za mwisho

  • @RedentaMahessa
    @RedentaMahessa วันที่ผ่านมา +2

    Mbarikiwe watumishi wa Mungu. ongeeni ukweli watu waache dhambi. Watubu dhambi Yesu anarudi. Mbarikiwe sana taji lenu lipo mbinguni

    • @hosianaeliud243
      @hosianaeliud243 วันที่ผ่านมา

      Wewe unajiona kamili acheni kujiesabia haki

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk วันที่ผ่านมา

      Sasa sindio Injili Hiyoo​@@hosianaeliud243

    • @RedentaMahessa
      @RedentaMahessa 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@hosianaeliud243Hakuna anae jihesabia haki. Ila tunawaombea Mungu awafungue faham zao. Warudi kama zamani.

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimebalikiwa kabisa Mungu akufiche kwa damu yake ❤

  • @asanianselm6759
    @asanianselm6759 วันที่ผ่านมา +3

    Barikiwa mtu mishi wa Mungu tumuombeye Mungu amurejesheye uduma wake uyu kaka goodlike

  • @marychongoro9476
    @marychongoro9476 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu tunaomba ulinzi kwa mtumishi wako Paschal Cassian

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j วันที่ผ่านมา +2

    Mmmmmmmm,jaman,eeee Yesu mnazareth!!!,tusaidie, tuvusheee,

  • @GeorgeIgnatio
    @GeorgeIgnatio วันที่ผ่านมา +4

    Ubarikiwe sana pastor Cassian

  • @CatherineDavid-bl1jc
    @CatherineDavid-bl1jc วันที่ผ่านมา +3

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

  • @HappinessMwambapa
    @HappinessMwambapa วันที่ผ่านมา +2

    YESU azidi kukutunza Sana na kukupigania kila kuitwapo leo, na Christina shusho aludishe hela za nabii huyohuyo

  • @son_of_faith
    @son_of_faith วันที่ผ่านมา +2

    Amen ndugu yangu, mungu azidi kukutumia na kukutia nguvu katka hi safari.
    Mungu atukutanishe tunene mawili jinsi vile kanionesha.

  • @ShoseMtui-m1s
    @ShoseMtui-m1s 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @EmmanuelWilfred-b5e
    @EmmanuelWilfred-b5e วันที่ผ่านมา +2

    Amina nakukuba mungu azidi zaidi kukutumia

  • @emilianagodwine6138
    @emilianagodwine6138 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    YESU Kristo Atukuzwe daima anayetusaidia kuyaelewa haya.

  • @RickDm
    @RickDm วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubariki mtumishi❤