Nimekaa Titanic 2012-2013 Karibu na FNB Bank...Nimeingia Chaka la Jeppe So Poa....Kwasasa Hayo MACHAKA WATU WOTE WAMEHAMISHWA...KIP OKI SASA NI BONGE LA JUMBA LIMEPANGISHWA LIKO POA😅😅😅😅😅
Home boy acha uongo...number ni utaratibu uliowekwa ndani ya jela na wafungwa wa south africa...kwa sababu jela kuna usimamizi wa askari magereza na kuna usimamizi wa wafungwa..kwanza number sio usela kwa south africa...acha kudanganya watu...South africa yenyewe umekaa mwezi mmoja tu umeijuaje?...duh eti watu awasalimiani acha uongo...South africa kwanza mtu awezi kukupa msaada kama aujasalimia...
Nasubiri sana Part two aiseeeee jamaa ni story teller mzuri sana
Kama movie 💥kumbe harakat za mtanzania🇹🇿
Yeah..nimeelewa kuusu no 26,27,28.safi…👍
Unachalazia home boy unakesi
Daah brother fighter
Jamaa atakuwa anakula Gana Sana
Mwamba ni fighter
Dogo story yako imebamba captain aliyewasadia Allah ambariki big up 😂😂😂😂
Nipewe connection ya kufika ughaibuni
Hatari sana
Nimekaa Titanic 2012-2013 Karibu na FNB Bank...Nimeingia Chaka la Jeppe So Poa....Kwasasa Hayo MACHAKA WATU WOTE WAMEHAMISHWA...KIP OKI SASA NI BONGE LA JUMBA LIMEPANGISHWA LIKO POA😅😅😅😅😅
Huyu baba anachekesha kweli 😂😂😂😂
Mimi nina mwaka wa ishirini na tisa sasa sijawahi pata hata kovu.
Sio kwa ujanja wako mshukulu jalaliii
Me sipend ulize maswali ya kiwaki muache aongee
Stori nazopendaga,kwenda South au kuzamia meli kwenda ughaibun
Nimependa umewambia ukweli maana wabongo wengi waongo ubarikiwe mwenye sikiyo kasikia
Nime google hizo number nimeona jamaa anasema kweli dah
Usirudi uku
Samaki yule mkubwa!!!!
Namjua uyo tushaishi nae noth west nishapigana nae alikuwa anafanya kazi soloon kwa mussa max mzushi tu🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa iyo kupigana unaona deal
Huyu jamaa anaongea story zingine za uongo anaongezea.
Hakuna siku nimecheka kama leo eti hakuna habar ya saa hizi kule kila mtu ni rate rate😂😂😂😂😂😂
Part 2
Jamaa aliyatimba kachain Street
😂😂😂😂😂 njaa mbaya
Daaahh kinyozi wa kipara🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅
Umepita boda gan mtwala inaboda nyingi
Huyu kaka amekaa jela ipi aseme ,maana jela SA mfano Poorsemore ni hatali sana,
Rudi nyumbani uko hamna dili mzee
Chemwa Chemwa huyo mawenge kweri anachekesha sana
Muongo baharia 26 namba ya hela
Sio kweli nyandu toz kakudanganya ukiwa mnambanamba south umeingia chaka
LAKI MOJA AU HATA ELFU 40 . Mtu mwenye akili timam huwez kumdanganya .
Tupige stori tu sasa nimeshakusoma .
😂
Dah Leo ndo nimeelewa maana ya hizo namba sasa huyu nyandu tozi anajiitaga 26 anayajua hayo au mpumbavu tu
Amekaa south miaka mingi
Uyo nyandu ana Mke na mtoto South Africa kule kwake ni kama nyumbani
South ni Jandoni so Nyandu Tozzy anaishi maisha ya Jandoni
@themanofgod7562 Kwa hiyo na yeye alishaua mtu Kwa kisu akapewa hiyo 26 au anajiongelesha tu
Nyandu tozzy nae ashawahi kaa jela kule anazijua vema
Wewe uliyatimba
Namwa mbia Musa max hunampakazia🤣🤣🤣
Unatoa Siri za jandoni ww una kesi
Fix tupu😢
Kafanana na MANDONGA MTU KAZI .😅😅😅😅😅
Jela Hotel 🏨 South Africa.
Home boy acha uongo...number ni utaratibu uliowekwa ndani ya jela na wafungwa wa south africa...kwa sababu jela kuna usimamizi wa askari magereza na kuna usimamizi wa wafungwa..kwanza number sio usela kwa south africa...acha kudanganya watu...South africa yenyewe umekaa mwezi mmoja tu umeijuaje?...duh eti watu awasalimiani acha uongo...South africa kwanza mtu awezi kukupa msaada kama aujasalimia...
Manake nn izo namba kwa ao manyampara
😅😅😅😅
Africa kusini hakuna maajabu,story huwa ni zilezle
Acha kusikilizaga sasa