Ambongile wewe mtu mzima na watoto wako wanaangalia mahojiano Yako,usiwe muongo,wewe uliisema uto atamfunga Al Hilali na akitoka huko NBC kuna watu watafingwa nyingi,Leo unasahau unaanza oo Wana umizana,kubali timu mbovu,wewe ni uto sio mchambuzi,sauti ya huzuni😂😂😂😂😂
🎉🎉
Dube alisajiliwa kiushabiki baada ya kupata tetesi kuwa simba wanamtaka Dube
Injinia atuachie timu yetu
Eti timu inongozwa na rais wa virabu Africa nikudhalilisha tasnia ya mpila