Tutaboresha mdau.. Sema kama unahitajikujua kuhusu Rand ya South Africa unaweza kwenda bank au ukasearch Google utaelewa.. Host hawezi kuuliza vyote Ila tutarekebisha siku zinazokuja..
@kazikazitvboda2boda 🙏inshaallah jitaidini mboleshe maana mimi ni shabiki mkubwa sana wa hii tv yenu Ila ndo nilikuwa nashauli tu kwa mfano watu wengi pia hawajui ata at africa kusini wanaongea rugha gani ilo nalo jaribu kulifanyia kazi kwenye interviw zako uliza tu ili iwe vyepesi mtu kujua mfano katika pita pita za mtu ata uko msumbiji unauliza kuhusu rugha na pesa zao ili imrahisishie mtazamaji..!!mungu awabariki kwa kuleta hiki kipindi
Hii ndio comment ya kwanza ya kitofauti, lakini kumbuka pale maswali yote presenter ameuliza ni maswali ya msingi. Maswali ya msingi ni kama maswali yapi? Na unataka Msimuliaji aongee bila kumeza mate hiyo interview ingekuwa ya ajabu sana.
Yaaaaaani Wewe Ndiyo Mimi Hilo Beach Lilinishinda nikainuwa Mikono Juu Nikarudi Bongo kujipanga Upya Bahati nzuri kufika Bongo Nikapata kazi Umangani Asaivi nipo Bahrain napambana Ila South Africa Beach Dume Lile🤣🤣🤣 😂😂😂
@kazikazitvboda2boda mpika moja mzazi nilikuwa naenda Botswana maeneo yangu hayo mpaka livingstone, kazungula border siku hizi kuna daraja noma inanikumbusha mbali sana 😄
Mdogo wangu kabisa huyu
Amesumbua sana nyumbani
Kumbe alikuwa wa moto kitambo hiko SEMA now amejitambua sana..
Sema mtangazaji unaferi unatakiwa ueleweshe maana sio wote wanaojua kuhusu land wengi wanajua kuhusu dora hauuliz maswali ya kujua vingi
Tutaboresha mdau.. Sema kama unahitajikujua kuhusu Rand ya South Africa unaweza kwenda bank au ukasearch Google utaelewa.. Host hawezi kuuliza vyote Ila tutarekebisha siku zinazokuja..
@kazikazitvboda2boda 🙏inshaallah jitaidini mboleshe maana mimi ni shabiki mkubwa sana wa hii tv yenu Ila ndo nilikuwa nashauli tu kwa mfano watu wengi pia hawajui ata at africa kusini wanaongea rugha gani ilo nalo jaribu kulifanyia kazi kwenye interviw zako uliza tu ili iwe vyepesi mtu kujua mfano katika pita pita za mtu ata uko msumbiji unauliza kuhusu rugha na pesa zao ili imrahisishie mtazamaji..!!mungu awabariki kwa kuleta hiki kipindi
Sema kaka Emzona umekata lile biti letu linalosindikiza mastory yetu linanogesha sana lile biti usiache kuligonga bhana kunapoa sana
Hahahaaa.. 🤣🤣🤣 Beat TH-cam wanazingua.. Watanidai mazingira kibao inakuwa kero tena.. SEMA nitalifanyia kazi..
Asante sana kwa maoni yako
@kazikazitvboda2boda barda kaka tupo pa1 safari na mziki.
Big up sana emzona na wadau wote wa kazikaziTV, nyonga tumeze mzee pindi la kijanja na maarifa ni mengi kupitia pindi hili.
Shukrani sana, kwa kutufuatilia tunakuahidi tutaendelea kukuletea vipindi zaidi na zaidi...
Big Up Bro pamoja
Smart sana Jamaa anajua Kujielezea.
@@ForeverCaptain Msafiri ndio anatakiwa awena story Na kujielezea zaidi
Yeah Nakubal sana Bro
Ndanda sio kilwa na wew Iko Mtwara
Sawa! Labda utuambie ndanda ni wapi?
@@kazikazitvboda2bodaIko mkoani Mtwara wilaya masasi
Presenter unaingilia ingilia sana story, uliza maswali ya msingi mara Moja moja
Hii ndio comment ya kwanza ya kitofauti, lakini kumbuka pale maswali yote presenter ameuliza ni maswali ya msingi. Maswali ya msingi ni kama maswali yapi? Na unataka Msimuliaji aongee bila kumeza mate hiyo interview ingekuwa ya ajabu sana.
Presenter anaongea sana, anaboa
Awee bad
Pamoja Sanaa.. Part2 iko njiani
Awee blood
😂😂😂😂dah mwanangu nimecheka sana ety kulia nataka kucheka nataka 😅😂😂😂
Dogo mudi msumbufu sana mtaani mbagala kiburugwa
Kumbe alikuwa mtataa
Sema nn wazee bless sana 👊👊nawakubali wapambanaji
Noma sana kakaa
Bless Bro
Bigup sana Travels🎉🎉🎉
Pamoja mdau wetu
amenikumbusha hizo border hatali sana mr D company
Boarder zipi ni hatari kwa utafiti wako..?
@kazikazitvboda2boda Tunduma nihatali sana hakuna usalama wezi kibao
love from Burundi nimeishinsouth africa maisha yahuko mangumu sana niamua kurudi nyumbani Burundi sasaivi maiya nimazuli sina hamu ata kidogo yahuko
South Africa ni nchi ngumu, inahitaji ujipange sana km unataka kuishi, you must be tough.. Person
@@kazikazitvboda2boda maisha magumu sana nimefanya kazi ya delivary johanesburg mwaka nasu nikaona nirudiye nyumbani
Home Tz now unyama Mwingi mzigo unapatikana ukijipinda
Yaaaaaani Wewe Ndiyo Mimi Hilo Beach Lilinishinda nikainuwa Mikono Juu Nikarudi Bongo kujipanga Upya Bahati nzuri kufika Bongo Nikapata kazi Umangani Asaivi nipo Bahrain napambana Ila South Africa Beach Dume Lile🤣🤣🤣 😂😂😂
Kaz kaz
One Love
Mpika sio powa wengi wamefungwa hapo usibahatishe uwe kamili gado docoment zikamilike
Hatari Zambia wamenuna sana
Mpika maeneo hayo..Tatizo la Zambia kuna vitu vidogo vidogo vya kipuuzi njia hiyo nimepita
Hata kama upo na mkopa wake wanasumbuaga wazee wa Zambia
Mpika sio poaa.. Ndugu
hata kwenu tz wanasubua sana Bora zambia mwanangu.kwasababu nimeshi sana zambia najua hiyo mipaka
@kazikazitvboda2boda mpika moja mzazi nilikuwa naenda Botswana maeneo yangu hayo mpaka livingstone, kazungula border siku hizi kuna daraja noma inanikumbusha mbali sana 😄
*mkoba
Part2 iko wap
Tuatilia page yetu vizuri, play list ya TRAVELLER BODA2BODA Lazima utaikuta ndugu
Muendelezo naupata wapi
Usiache kufuatilia, pia SUBSCRIBE ilitutakapo weka uwe wa kwanza kupata taarifa
😂😂😂😂dah mwanangu nimecheka sana ety kulia nataka kucheka nataka 😅😂😂😂
😅😅😅
😂😂😂😂dah mwanangu nimecheka sana ety kulia nataka kucheka nataka 😅😂😂😂
😂😂😂😂 Maisha kaka