SABABU YA KIFO CHA MBUNGE SHOGO CHATAJWA KANISANI, WAOMBOLEZAJI WAMWAGA MACHOZI "AMEACHA MAPACHA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 142

  • @SallyMinja

    Tuheshimu wanawake wanaotubebea mimba jamani,mimba zina mambo mengi,very beautiful & educated,"Marehemu alimentary sana watoto" pumzika kwa amanita shangazi/ mama mdogo.

  • @deborahmchona5584

    Inaonesha alikua na uzao wa mapacha nimeona kma kuna mapacha wanne wakufanana Mungu amlaze salama🙏

  • @naomibildad509

    Poleni sana familia na taifa kwa ujumla kwa kumpoteza mtu muhimu. Mungu awe faraja kwenu.

  • @mosesmasanja8295

    Poleni sana huyu marehemu nilisoma naye udsm engineering kuanzia MWAKA 1999 kwakweli alikuwa anapendeza kuwashinda wanawake wa Sheria ambao walikuwa wengi alafu wanavaa vizuri. Yaani wanafunzi wengi walipokuwa wanaambiwa ni engineer mwenzetu walikuwa wanakataa. Kunasiku tulikuwa na test na yeye alikuwa karibu yangu na ilikuwa ngumu basi alinihurumia yeye mwenyewe bila kumuomba alinipa paper lake niangalie. Kwakweli nilimuona mtu mwenye moyo safi. Namuombea kwa MUNGU mwenyezi apumzike salama.

  • @nathaliakoola2957

    Pole sana Profesa na familia kwa ujumla.

  • @pceodhc

    Mungu awape amani familia! 🙏🏾

  • @itanzaniaAS

    Maskini mapachaaa. Poleee❤

  • @magejuliani5293

    Pumzika kwa amani! Mungu akukuzie watoto! Mmmh! Mungu ndie ajuae kukosa hewa kwenye damu! Pumzika kwa amani! Umeacha alama ya kupenda watoto ktk familia

  • @Revinarenatus

    Poleni sana engel pamoja na sarida na Familia nzima

  • @itanzaniaAS

    NMEUMIAAAA SANAAAAAA. MTOTO hata mama hajamuona😢😢😢😢😢😢😢😢😢DAH

  • @user-xn8jh1yw1h

    May The Almighty God Rest Her Soul In Eternal Peace.

  • @SallyMinja

    Mungu ni pending apenda watu,ahsante kwa kupenda watoto, mimba zina mambo mengi jamani,pumzika shangazi/ mama mdogo, very beautiful & educated ❤

  • @Kidotii

    Pole sana Boss. Nsolo polen sana na familia yote!😢 R.I.P Dr.

  • @lakiabalozi5633

    Jamani na ni wifi wa yule dada wa RTD aliyefariki mwaka jana somebody sedoyeka

  • @hawaelymaricca7602

    Pumzika kwa Amani mdogo wetu , Tulikupenda lakini Mungu alikupenda Zaidi.

  • @EdithMangu

    Poleni sana familia ya mlozi hasa my ment nasoro mlozi

  • @eliamlozi756

    R.I.P.OUR SISTER

  • @esthersissamo1120

    Poleni sana wafiwa

  • @zamalisaide3209

    Innalillah wainnaa lillahi rajiun polen familya