MILLARDAYO: IMENITOA MACHOZI, BOSS RUGE AMENIIBUA NAJIULIZA NANI ATATUSHIKA MKONO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • #RIPRugeMutahaba #JasiriMuongozaNjia
    Millardayo anasema Watanzania watumia shuhuda zilizosemwa na Watu kama mfano kwa kuwa Boss Ruge alikuwa ni mtu anae amini kwenye vipaji bila elimu kubwa na kuna mengi anatamani yaendelee kuishi ikiwemo nyumba ya vipaji THT.

ความคิดเห็น • 252

  • @antonymchina3254
    @antonymchina3254 5 ปีที่แล้ว +463

    kama unaamin milad ayo anauwezo wa kufikia asilimia 80 ya ruge gonga like

    • @evaevance5932
      @evaevance5932 5 ปีที่แล้ว +2

      Antony Mchina hata Mimi naunga mkono

    • @berithaandersonn2234
      @berithaandersonn2234 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 5 ปีที่แล้ว

      Milard unaweza sana sana unaweza kua hata zaidi lkini kwa namna yko .kwa sabb kila mtu ana namna yke ya utendaji wa jambo lolote lile.Milard keep on your an excelent profesional journalist .

    • @maunoutamu4370
      @maunoutamu4370 5 ปีที่แล้ว

      Ayo be ruge and try it you can unaweza zaidi believe your self and we believe you,but R.I.p ruge god be with you

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 5 ปีที่แล้ว +149

    RIP Ruge!! Pole sana Millard, ila nina Imani wewe unaweza kua Ruge angalau kwa 80%. U can

    • @nAVIDtz
      @nAVIDtz 5 ปีที่แล้ว +2

      Hata mimi nina imani hio... RIP Boss Ruge

    • @antoinekatembo8124
      @antoinekatembo8124 5 ปีที่แล้ว +2

      Of course! Ndiyo Ayo anaweza kufanya vizuri kweli, jamaa huyo Ayo anamoyo wa kipekee pia

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino4958 5 ปีที่แล้ว +154

    Kufa kufaana wakati wako Ayo kuwa bos Ayo naamini ww ndio utakae ziba pengo la ruge asilimia 90 gonga like kama unakubali kama milladardayo mdawake wakupiga pesa umefika.

    • @witnessaloycemafuru9152
      @witnessaloycemafuru9152 5 ปีที่แล้ว

      puji montana pachino hahaa aya bana

    • @mohamudosman9505
      @mohamudosman9505 5 ปีที่แล้ว

      Namkubali ayo

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 5 ปีที่แล้ว +3

      Ata kipindi kanumba anakufa tulisema ray atazima pengo lakin haijawa ivo me naamin nafasi ya mtu ni ya mtu tu akiondoka hakuna anaeweza kufiti hakuna wa kuziba pengo la ruge millado atabak kuwa millado na ruge ni ruge

  • @wazarendotv7966
    @wazarendotv7966 5 ปีที่แล้ว +41

    KAMA UNAAMINI MILARD ANA HESHIMA NA HURUMA NA NIDHAMU NA ATAJAZA KWA ASILIMIA KUBWA YA PENGO LA BOSS RUGE EBU GONGA LIKE WATU WAONE ATA KAMA MILARD ALIPATA ZERO DARASAN

    • @jackienassari1438
      @jackienassari1438 5 ปีที่แล้ว

      Tunashukuru mungu kumpata mmeru mwenye busara na hekima zake @milardayo

    • @asiazuberi9722
      @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว

      Hakika

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +61

    Huyu kijana wa milad ayo,yuko makini sana ni mtangazaji mzuri kweli anatuwakilisha fresh mkoani

  • @superiorsucces5388
    @superiorsucces5388 5 ปีที่แล้ว +52

    kama unamkubali millard ayo bure kama mimi weka like tujuane

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +32

    Millard katika clouds nakuona utafika asilimia angalau 90% you are so talented, alafu upo real

    • @lucymboje3487
      @lucymboje3487 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa alikuwa boss was aina take r.i.p ruge

  • @ngoshamchele9664
    @ngoshamchele9664 5 ปีที่แล้ว +45

    Kaka nakuombea kwa Mungu uwe na moyo kama wa Bo's wako,pole millady

  • @marygabagambi3342
    @marygabagambi3342 5 ปีที่แล้ว +51

    Mwenyez Mungu akuzidishie hekima ukawe Ruge wa II, Milad u can!!!

    • @kechegwakechegwa6088
      @kechegwakechegwa6088 5 ปีที่แล้ว

      Miradi nakukubali sana unaweza kuendeleza ya Marehemu mkafanikiwa wote

  • @BidayoTV
    @BidayoTV 5 ปีที่แล้ว +27

    #Millard nilitamani kusikia sana unasema nini kuhusu na msiba huu wa kitaifa. Asante na pole sana Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Pole sana #clouds#THT na watanzania wote.

  • @K25795
    @K25795 5 ปีที่แล้ว +10

    Kama nawe umeguswa kwa ruge kutoweka gonga like hapaaaa

  • @abuuanwar0076
    @abuuanwar0076 5 ปีที่แล้ว +16

    Omeongea vizuri sana Millard.. Very matured.

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 5 ปีที่แล้ว +10

    Kama unamkubali milad ayo gonga like apooo

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว +54

    You are the next Ruge wewe na Barnaba mmoja hapo awe kiongozi

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 5 ปีที่แล้ว +87

    Millady Ayo Mungu akusimamie ukawe Ruge Clouds

  • @Paty_wangu
    @Paty_wangu 5 ปีที่แล้ว +21

    Millard ayo anahojiwa na Millard ayo... R.IP Boss RUGE

  • @crollinpatrick4964
    @crollinpatrick4964 5 ปีที่แล้ว +6

    Ruge alipendwa na wengi kama yeye alivyowapenda na kujitolea kwa hali na mali kuona wengine wanafanikiwa. Lakini ukweli ni kwamba maandiko lazima yatimie na yametimia. Ruge tushamzika na amekwenda hatupo nae tena. Ni ngumu kuamini nakukubali matokeo. Tusikate tamaa kuona itakuaje bila Ruge, tukikata tamaa hata yeye huko aliko tangulia hatokua na furaha kwani lengo lake lilikua kuwainua vijana ili wajitegemee, moja ya mfano ni Millard ayo kufungua media yake binafsi bila bosi wake kujua na alipojua alimpongeza na kumsaidia, hii inadhihirisha ni nini hasa lilikua lengo la Ruge kwa vijana na jamii kwa ujumla. Tujipange upya kwa maisha bila Ruge. Maisha lazima yaendelee. RIP Ruge.

  • @alexchungu8823
    @alexchungu8823 5 ปีที่แล้ว +2

    From Texas, nawapata vizuri sana, r. I.p ruge the boss.

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 5 ปีที่แล้ว +18

    Huyu milard anaeza kua kama ruge au zaidi kabsaaa'wanasemaga nyota njema huonekana asubuhi'yani uyu ni ruge namba mbili

  • @mukhsmaujanja6416
    @mukhsmaujanja6416 5 ปีที่แล้ว +1

    pengo la boss luge ni kama la #kanumba..#shalo milionare ..#sajuki n.k..
    haliwez kuzbika..mungu humuumba kla mtu na baraka za kipekee

  • @condradedwin1088
    @condradedwin1088 5 ปีที่แล้ว +6

    pole mtu wangu wa nguvu, one day yes tutaona nawe heshima zako pole pole R. i. p ruge mwamba, jembe,kiongoz,daaa sijui nieseme nn

  • @pettyjongera1295
    @pettyjongera1295 4 ปีที่แล้ว

    Wallah Ally Kiba ulinifurahisha sana na kuongeza heshima yako kwa jamii kwa hiki kitendo cha ww kufika hadi Bukoba kumzika boss,,,,,,,,siyo mijitu ya Tandale haina shukrani

  • @tempolo9964
    @tempolo9964 5 ปีที่แล้ว +45

    Miongoni mwa Binadamu wachache waliobaki nchini ni pamoja na Millard Ayo... Tuwaoneshe upendo angali wako hai kwa kazi zao na juhudi zao.

  • @condradedwin1088
    @condradedwin1088 5 ปีที่แล้ว +9

    siku zote nakuamini sana kamanda wangu big up sana na umeumia sana but kazi ya mungu haina makosa tumwombee tuu boss ruge najua nawe ipo sk kwa haya unayoyafanya kwa watanzania leo utakimbukwa tu bro

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aipumzishe Roho ya Boss ruge Mahalia pema peponi Amina

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว +43

    hakuna bossy anayependa maendeleo ya mfanyakaz wake luge naona alikuwa tofauti

  • @carolinejackson1959
    @carolinejackson1959 5 ปีที่แล้ว

    Msiba hauzoeleki, maombolezo hayaishi, uhai ni gharama isiyolipika.. kwa aliyefiwa na mtu wa karibu najua anaelewa sana, kinachouma zaidi wanakufa wale ambao wana mchango chanya kwa jamii.. pumzikeni kwa amani tunaamini njia ni moja 🙏

  • @innocentkimata7274
    @innocentkimata7274 5 ปีที่แล้ว +5

    Kiukweli RUGE alikuwa mtu muhimu sana yaaan amekuajili kwenye media yako na ww unafungua media yako ila still unafanya kazi kwake na mshahara unakupa kiukwel maboss wachache sana wanaoweza kufanya hivyo...!!

  • @AFRICANBRO
    @AFRICANBRO 5 ปีที่แล้ว

    @millardayo.....I can feel your pain....machozi yanakulenga. Pole sana bro.....its hard kufunguka ki ukweli. 😭😭😭poleni

  • @dorisndossi4734
    @dorisndossi4734 5 ปีที่แล้ว

    Pole millad your lovely with open hearts unaweza uwa kama ruge Mara 90 achana na mambo ya degree baba akiili uko nayo

  • @bimaisarankamia4153
    @bimaisarankamia4153 5 ปีที่แล้ว +1

    Milady anasauti nzuri mashaallh

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 5 ปีที่แล้ว +25

    Kati ya watangazaji ninao wakubali ni miradiayo ni kijana mwenye sauti nzuri ya utangazaji sauti yake naifananisha na sauti ya Barwani muuza ,R.IP kaka ruge

  • @chefamos4422
    @chefamos4422 5 ปีที่แล้ว +4

    Aaah inauma,ila mungu muache aitwe mungu.Amini Millard ayo 100% ndie ruge ...give m like kama unaamini kweli nayoongea

  • @amshlynebaby8495
    @amshlynebaby8495 5 ปีที่แล้ว +10

    pole sana aki niliumia poleni sana tz from 254

  • @habarikaonlinetv
    @habarikaonlinetv 5 ปีที่แล้ว +22

    My role modo Millard ayoo

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +38

    Siku zote wema nawatu wenye roho nzuri huwa hawaishi miaka mingi hapa duniani.

  • @rashidbakarisaid6985
    @rashidbakarisaid6985 5 ปีที่แล้ว +12

    Sema Nini Millard Umefanana na Sauti yako bigUpsana

  • @daviyona6797
    @daviyona6797 5 ปีที่แล้ว

    Kazi ya mungu haina makosa.... Kampenda zaidi.... Pole my brother

  • @mohammedihamisimoblack8878
    @mohammedihamisimoblack8878 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani katika mtu/ mtangazaji ambaye namuelewa hapa nchini Millard nakuelewa sana na kama nikipata mtoto wakiume aisee ntamuita MILLARD...narudia tena Millard nakuelewa mno braza napenda sana kazi yako aisee iwsh ndo ningekuwa mimi ndo wewe

  • @bestchapman2527
    @bestchapman2527 5 ปีที่แล้ว

    pole sana Millard Ayo, M/MUNGU awape faraja ndg jamaa na marafiki wote walooguswa na msiba huu! inauma kiukwel...

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 5 ปีที่แล้ว

    Kama ingelikua binadamu anakata rufa ya kifo mbele ya mungu na sisi tukngekata rufa turudishiwe ruge tuliye mpenda hapa duniani lakini tumeshindwa si juu tufanyeje . Ni wimbo wa marehemu marijani rajab mungu awalaze mahali mwema peponi amin

  • @raphaelluyela5666
    @raphaelluyela5666 5 ปีที่แล้ว

    Millady-ayo Pole Kaka tumeumia wote-ruge jembe-umeongea pw-hakika jipangeufikie kuwa-kipenzi chawananchi na mazuri aloyafanya ruge-inawezekana2 kikubwa-binafsi ruge-nimejifunza mengi(1)ukalim alokuwanao,kumheshimu kila-mtu,nakusikiliza shida/pia Mtoa ushauri mzuri wakujiamini naweza pambana-alitueleza ccm-kirumba ktk-fulsa ya ujasilia mali/mengi Sana aliongea alitushauri usibague Kazi,hakikisha unapata ridhiki halali-ukweli meng-mengi namkumbuka-leo tunapambana nipo-nitafika(apumzike Kwa amani-amina)

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +2

    Be strong millard Mungu yupo pamoja nanyi

  • @minemediaonline4467
    @minemediaonline4467 5 ปีที่แล้ว

    Binafsi sina ninaloweza kusema kwamba Ruge amelifanya kwangu, ila kwa shuhuda sa mamia ya watu enzi za uhai wake na baada ya umauti kumkuta zinanipa kufahamu Ruge alikuwa mtu wa tofauti sana. Niwapongeze sana ambao mmepata nafasi ya kusaidika nae ila niwasihi msiache kushare na wengine ambavyo mmevipata na zaidi ya yote niwapongeze mliothubutu kumzungumzia tangu akiwa hai.......

  • @julianarichard574
    @julianarichard574 5 ปีที่แล้ว +5

    Mmeru mwenzangu pole na wengine woteee polen sana jamn R.I.P RUGE the BOSS

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 5 ปีที่แล้ว

    duuuuhhh jamani mungu alimpa roho nzuri mungu amuweke mahala pema peponi amiina

  • @iddiking6963
    @iddiking6963 5 ปีที่แล้ว +15

    Kwel watu weng wameumia lakn binadamu tuelewe maisha yanapangwa na mungu ndo maana maisha yanamwisho

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 5 ปีที่แล้ว +28

    Unamuhoji boss wako

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 5 ปีที่แล้ว +1

      Namm ndonaona anamuoji my..

    • @jicholafursa7058
      @jicholafursa7058 5 ปีที่แล้ว +1

      hahh afu humwiti boss,wakati yy anamwita mkubwa wake boss

    • @shaffihsiraji3141
      @shaffihsiraji3141 5 ปีที่แล้ว +2

      Grace Kaniki dogo yupo kazini ndo ujue wanafanya kazi vizur na kwa ushirikiano boss mwenyewe haijarishi kahojiwa na nani amejielezea vizuri ametoa ushirikiano mzur kiufupi wako vizuri

  • @ashabakke4733
    @ashabakke4733 5 ปีที่แล้ว

    Naamini atatokea km Ruge. Tumuamini mungu. LET TRUST GOD. watu wengi wameguswa. R. I . P Boss Ruge.

  • @estermwambuzi8728
    @estermwambuzi8728 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Milard

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว

    Mi uwa na amini matukio yakitolewa na Millard na clouds poleni mungu awape subra alale pema ruge mutahaba amen

  • @johanithatiba9616
    @johanithatiba9616 5 ปีที่แล้ว

    Mungu ampumzishe pahala pema. Pole sana bro! Kazi yetu tulobaki ni kumuombea.

  • @mwariworld6547
    @mwariworld6547 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu awape nguvu wakati huu mgumu .....rip boss Ruge .dearly missed .

  • @zulfamwinyi187
    @zulfamwinyi187 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali xna millard mungu akuzidishie kipaji chako inshaallah

  • @AnitaAnita-zz9xz
    @AnitaAnita-zz9xz 5 ปีที่แล้ว

    Don’t worry Millard God ako na wewe....mungu muweza wa yote am akenyan bt nimeumia tu,anyway kazi ya mungu kwakweli haina makosa

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 5 ปีที่แล้ว

    Dah ni mtu wa mfano alikuwa brother aisee,Ruge Mutahaba ...kuhusu boss kupenda mafanikio ya mfanyakazi wake mmmh ni wachache mno RIP BOSS MUNGU NI MWEMA MNO KUKUJALIA KUWEPO KWA UMRI ALIOKUJALIA ,NA KUFANYIKA DARAJA LA WENGI....RIP BOSS TANZANIA,THT WANA CLOUDS TUTAKUKUMBUKA MNO

  • @zulfazame6871
    @zulfazame6871 5 ปีที่แล้ว +2

    Nataman sana kuongea na mtu wa Clouds hushuhuda wangu jins ruge alivyo nisaidia bila kukutana nae Nataman 😢😢😢

  • @johnbernad1529
    @johnbernad1529 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana milad bwana alitoa na bwana ametwaa jinalabwana libarikiwe AMINA 🙏

  • @emmypaul7455
    @emmypaul7455 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupendaga Sana😍😍😍

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 5 ปีที่แล้ว

    Mnyama milard nakukubali sana Mwanangu

  • @mamahustru
    @mamahustru 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Ruge alikuwa mtanzania wa ajabu kweli. Mtanzania anayependa wengine wafanikiwe hata Kama yeye hafaidiki na mafanikio Yao? Asiyemchoyo hata wa maarifa tu? Aliyeamua kusaidia wengine hata asiowajua na bila ya kujitangaza kwamba anasaidia huyu na yule? Kweli alikuwa tajiri wa roho.

  • @faithflaviana7806
    @faithflaviana7806 5 ปีที่แล้ว

    Mungu atakusaidia miladayo utapata mtu kama ruge

  • @emmanuelshayo7023
    @emmanuelshayo7023 5 ปีที่แล้ว +2

    Miladi you are Ruge walk on his dream

  • @shamsaismail7707
    @shamsaismail7707 5 ปีที่แล้ว

    Innalillahi Wainna Illayhi Rajiuon..pumzika kwa Amani Ruge InShaAllah mola atawaleta Ruge wangine kwa uwezo wake Allah...

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 5 ปีที่แล้ว

    Mungu atalipa Ruge,anaswadakat jaaria kubwa sana.

  • @danyrobertz2078
    @danyrobertz2078 5 ปีที่แล้ว

    Napenda Millardayo ushike nyendo zake

  • @bahatimsingwa9123
    @bahatimsingwa9123 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana Millard Ayo!!

  • @mcjayz8686
    @mcjayz8686 5 ปีที่แล้ว +2

    Dar kweli millard ayo wewe ni mtu wa watu nakuelewa

  • @allymsuya5753
    @allymsuya5753 5 ปีที่แล้ว

    Good Interview na Pole Millard Ayo

  • @tabbymwalukumbi8865
    @tabbymwalukumbi8865 5 ปีที่แล้ว

    Pole Sana

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว

    Mungu atawashika mkono

  • @khalekichambo1131
    @khalekichambo1131 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole Millard

  • @eutychusmotanyatv
    @eutychusmotanyatv 5 ปีที่แล้ว

    Pole aisee

  • @hawaaziz8710
    @hawaaziz8710 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana ......msikate tamaa nanyinyi pia mfate mfano wa Ruge....msichague wala kuduarau watu

  • @tazamaelimbise8467
    @tazamaelimbise8467 5 ปีที่แล้ว

    Ayo unaweza

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 ปีที่แล้ว

    Milad ayo unastahil kuziba pengo LA ruge mtahaba unahuruma unamoyo wakipekee.mungu akutie nguvu

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว

    milard unaweza big up kwako kaka

  • @manofgodbabazero9237
    @manofgodbabazero9237 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana Millard bcoz ww ni Muazi Sana wa Maisha

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 5 ปีที่แล้ว

    Hawa watu wote mngekuwa mnasali, Yesu angekuwa ameisha rudi

  • @godfreyndyanabo2462
    @godfreyndyanabo2462 5 ปีที่แล้ว

    Ruge was something special

  • @madolovetanzani248
    @madolovetanzani248 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana mila

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 5 ปีที่แล้ว

    Fuata nyayo za boss kk nakuona ukiwa mbal. Mungu akutangulie

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 ปีที่แล้ว

    pole sana Millard Ayo mungu mwenyewe hawafariji

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 5 ปีที่แล้ว

    poleni sana millard ayo

  • @aishamohamed4412
    @aishamohamed4412 5 ปีที่แล้ว

    R I P ruge tutakukumbuka daima mungu akupe mwanga wamilele

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 5 ปีที่แล้ว +2

    R. I. P ruge Millard ayo ww unatakiwa ushike nafac ya boc naamin ww unaweza 100% nakukubal sn

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 4 ปีที่แล้ว +1

    I will remember u forever Boss Ruge

  • @mwanamisp0fu760
    @mwanamisp0fu760 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji yuko maakin na kazi yake sie m babaikaji thumbs kwake RIP RUGE

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว

    Pole 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @lucymwega784
    @lucymwega784 5 ปีที่แล้ว +32

    hizo dislike mnafikiria nini ama ninyi ndo mafreemason pateni kushindwa

    • @dorcaschris4097
      @dorcaschris4097 5 ปีที่แล้ว +2

      hahahahhaa ndio hao hao

    • @jackiejackie1272
      @jackiejackie1272 5 ปีที่แล้ว +1

      Wengine hawajui maana ya ilo dole lililoangalia chini kama mim mwanzo nilikuwa sijui

    • @bethadickson5242
      @bethadickson5242 5 ปีที่แล้ว

      kwakwel labda freemason

    • @lucymwega784
      @lucymwega784 5 ปีที่แล้ว

      @@bethadickson5242 ni mahaters unashindwa hadi kwenye msiba

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana broo milard

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana millard ayo

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 ปีที่แล้ว

    Pole bro Allah awape subra

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 5 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana Ruge pumzika kwa Amani

  • @nizahnyembe7866
    @nizahnyembe7866 5 ปีที่แล้ว

    Kama umeona milladayo kazeeka gonga like apa

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว

    Your next millard nakutabilia mbali sana

  • @tikaerabandie9635
    @tikaerabandie9635 5 ปีที่แล้ว

    millad umeongoa vizuri sana

  • @nidawiwitike8773
    @nidawiwitike8773 5 ปีที่แล้ว

    RIP ruge umetutoka katika kipnd ambacho watu wanauhtaji. na we ila broo ayoo ndy mtu sahih kuiziba pengo lako

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว

    miladi yupo vizuri nyayo zake zinaelekea uko kwa ruge asilimia 80

  • @anastaziadakho1161
    @anastaziadakho1161 5 ปีที่แล้ว

    pole mchaga wetu